Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

we nawe ...hiyo hela njoo nayo tukakupeleke kwenye bar zenye mademu wakali tupige monde ...mambo ya biashara achia wachaga

Kuna bar moja ipo sinza pale afrika sana. Inaitwa kangaroo , kwa kweli ni shida. Njooni mtanikuta hapo
 
Wakati unatafakari fungua account pale Mkombozi bank ziweke hapo. Baada ya miezi sita ukipata wazo muafaka kachungulie kwenye account. Unaweza kukuta balance inatosha 50.4m!
Escrow part II ipo mbioni!
 
Wakati unatafakari fungua account pale Mkombozi bank ziweke hapo. Baada ya miezi sita ukipata wazo muafaka kachungulie kwenye account. Unaweza kukuta balance inatosha 50.4m!
Escrow part II ipo mbioni!

hahaaaaaaa.. kuweni serious bhana
 
Lima uyoga mkuu
Unalipa haraka mana mavuno yake ya muda mfupi na soko lipo tele
 
km sio mzoefu itakukata tu
1om sio pesa
Dodoma pameshakuwa pagumu
kwani biashara ni za Msimu
  • Mazao ni Msimu kuanzia Julai hadi Novemba
  • Kulima nako ni Msimu kuanzia Novemba hadi April
  • Kuuza pembejea unatakiwa uleta majembe na mbegu uuze kuanzia Oktoba hadi Januari na mvua inyeshe!
  • Guest sasa hivi ni kichaa 10m haiwezi nunua pagale ukajenga na kuweka maji umeme na vitanda
  • Biashara ya maji na juice za azam ni kiamgazi km Oktoba hadi januari wakati wa joto kali
Mimi nipo Mjini kati na nina nyumba napangisha kwa ajili ya biashara kodi ni 300,000 hivyo kwa mwaka lazima utangulize 3.6m je shelves na mali zitatoka uweze kunilipa kodi ya 2016 nakushauri tuliza munkari na uanze na mtaji mdogo zaidi kwani wamekuuliza hela yote umeipata wapi ghafla, ni heri uwe na mali ya 10m kuliko cash (km ni kiinua mgongo watu wanamalizahata 70m kwa mwezi)
karibu Dodoma
 
Unaweza nunua hisa za swissport na ukapata faida nzuri tu baada ya miezi sita.
Unaweza tafuta sehemu yenye shida ya maji hasa mjini ukachimba kisima na kuanza ku-supply maji kwenye majumba na sehemu nyinginezo.
 
mtu anatafuta opinion nzuri .......we unaleta upuuzi wako

elewa kwanza nachomaanisha then ndo uropoke upumbav wako, haiwezekani mtu utafute kwa jasho then ukose cha kufanya kwann? asiitumie hiyo fedha kuendeleza kazi iliyompatia hicho kias, vinginevyo awe ameiokota hiyo fedha ama yupo mgodini kaokota jiwe ndo anaweza kosa cha kufanyia hiyo fedha
 
helow mimi mwanafunzi wa chuo kikuuu cha Dodoma ugavi na manunuzi mwaka wa mwisho nimejipanga na ninakiasi cha 5000000 nahitaji wap naweza wekeza ili kupata more profit
 
Dah... Nimesoma huu uzi tangu page ya kwanza mpaka ya mwisho na nimepata wazo jipya la kuingia nalo mwaka 2015. Eeh Mola nisaidie walau nitekeleze moja ya malengo yangu kwa msaada wako na thread hii....

Usisahau kutupa mrejesho baada ya mafanikio ya hilo wazo. Happy new year dada.
 
Mr mbu Nina mashamba makubwa,naomba mtaji tuingie ubia tufanye kilimo cha kisasa,nakwambia hutajuta me mbu

Kilimo cha mazao gani, upo mkoa gani?
 
Ng`ombe kweli wanalipa ( maziwa sio nyama),lakini jamaa yuko nje ya nchi. Mziki wa kutunza ng`ombe ukiwa mbali,tena ng`ombe wa maziwa si mchezo. Angekuwa Bongo ningemsaidia kumwonyesha kiwanja safi cha kufugia ng`ombe hao.

Hivi amebainisha kama ni kweli yu nje ya nchi? Na kama ni hivo mbona hakuzungumzia kabisa kuhusu msimamizi?
 
...shabaash! sasa Malila hebu nipatie mifano miwili mitatu ya hizo 'high risk business', ukiondoa biashara kichaa kama 'unga' nk...maana kuna watu watafikiria huku ilhali watu tuna heshima zetu.

Ni biashara gani ya muda mrefu ambayo naweza kuzitumbukiza hizi 10m/=, na huo muda mrefu unakadiria muda gani na returns zake kwa makisio?



...chief! sina pa kuzirudisha ndugu yangu, zishakuwa zangu hizi...ndio maana nataka nizizungushe zipate kuzaa.



...stanmokiwa, huu ushauri wako ni mzuri sana na nitaufanyia kazi, kwani umenionyesha naweza tumia 65% tu ya Mtaji! Je, Soko la maziwa si mbaya sana, au ndio kutegemeana na location?



...umeniacha feri mkuu, ngoja niachane nayo hiyo biashara ya 'kuchoma ndizi!'



...nilivyomuelewa mimi, amesema ni kiasi/wastani kama 1.5m/= kwa miezi mitatu kwa hao ng'ombe watano.



...Fidel80 hilo la biashara ya piki piki ni wazo zuri, hasa Kwakuwa vibajaj navyo vinazidi mijini,....ila nimevutiwa zaidi na hilo wazo la mgahawa... maana'ke watu watake wasitake watakula, hasa watu wa maofisini... siku za kazi (i.e Jumatatu-Ijumaa) mfano pale Dar City Centre ule mgahawa wa HEE-DEE! ...naliweka wazo lako kwenye daftari nije nilitafakur baadae, thanks!



...Farmer, maisha ndivyo yalivyo; kuna watu wanamipango ya biashara bila mitaji, na kuna wenye mitaji bila mipango ya biashara. Ndio maana nimetumbukiza karata hapa nipate mawazo ya wote.



...Mensarum shukran. Nadhani nanyi biashara yenu ni kutoa ushauri! Ni wazo mojawapo umenipatia, shukran... tutawasiliana.

Mmh! Yani unahitaji kuonyeshwa pa kuyapeleka hayo maziwa! Yani mfano akwambie "peleka makanisani, misikitini, kituo cha polisi, jeshini, hospitalini n.k?" Nina wasiwasi bado utamuhoji eti UKIFIKA UWAAMBIAJE.
 
helow mimi mwanafunzi wa chuo kikuuu cha Dodoma ugavi na manunuzi mwaka wa mwisho nimejipanga na ninakiasi cha 5000000 nahitaji wap naweza wekeza ili kupata more profit

Kwa ww mkinga hiyo ni hela nyingi sana, rudi Makete kawaone wazee wakuelekeze namna ya kuanza na masharti yake
 
Uzi huu ni wa kitambo kidogo, wakati huo alikuwa majuu, sasa hivi tuko wote Mkuranga tunaokota mabibo !!!!!!!!

......umeona ee?

....hahhaha, halafu jamaa wana hoji kwa hasira kweli badala ya kuchukua business ideas mbali mbali zilizomo humu.
Anyway, hamadi kibindoni, tunasonga mbele.
Heshima mbele mkuu Malila, umetufungua akili kwa mengi uliyotufunza humu.

Nataka kujaribu "kwa fujo" kilimo cha zao la ufuta kijijini Mkenge, (Between Kimazichana na Mkuranga.)
 
Back
Top Bottom