Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Kila mtu anaweza kufanikiwa na kuwa wenye pesa na kufurahia maisha pamoja na kusafir nchi mbalimbali kama ataamua na kujitolea kwa moyo mmoja,hili linawezekana na ORLFLAME imetupa nafac hii; kwa kuwa mrembo,kuvuta mkwanja na kufurahia maisha.kwa mawasiliano zaid piga 0657438139
 




HONGERA sasa nunua kiwanja, jenga nyumba ya kupangisha, pia nunua sehemu za mjini ambazo co rahis kupata matatizo mf upanuz wa barabara jenga vyumba vyako vya maduka pangisha. kama vp upu mjini nunua sehemun kubwa jenge nyumba kubwa ya wageni a.k.a gest pia fungua bar hapo hapo. n unua gari ya mizigo iwe inatembeza mizigo maeneo ya town. nakwambia hizi mbishe zinalipa hazina vikwazo. chukua robo tatu ya huo mpunga. nyingine endelea kuweka, pia usiwe bishoo upoteze kwa wanawake au ulevi ni hayo tu ndugu yangu.
ni pm no yako nkupe maujanja zaid







































 
Milioni 10 si nyingi ukiwa Huna wazo la biashara. ...

Ushauri weka benki fixed deposit hata miezi sita soma game kwanza ukiwa Huna hela. Ukishapata wazo anza kuwekeza kiasi kidogo hata 1M angalia mwelekeo wa biashara.

Ukiona inakwenda vizuri songa mbele. ..ukiwa na papara pesa inakata na utashangaa.

10m sio pesa nyingi
 




HONGERA sasa nunua kiwanja, jenga nyumba ya kupangisha, pia nunua sehemu za mjini ambazo co rahis kupata matatizo mf upanuz wa barabara jenga vyumba vyako vya maduka pangisha. kama vp upu mjini nunua sehemun kubwa jenge nyumba kubwa ya wageni a.k.a gest pia fungua bar hapo hapo. n unua gari ya mizigo iwe inatembeza mizigo maeneo ya town. nakwambia hizi mbishe zinalipa hazina vikwazo. chukua robo tatu ya huo mpunga. nyingine endelea kuweka, pia usiwe bishoo upoteze kwa wanawake au ulevi ni hayo tu ndugu yangu.
ni pm no yako nkupe maujanja zaid








































Ni kwa hiyo milioni kumi tu?
 
Futa kabisa wazo hilo.
Kwanza kwa pesa hiyo huwezi kununua bodaboda nane.
Halafu usiwekeze kwenye Biashara moja.
Ushauri wa bure:
10m,unaiona ni pesa kubwa,lakini kiukweli ni pesa ndogo sana.Ila inaweza kuzalisha pesa kubwa kama ukituliza kichwa chako.
Na hali ilivyo ni kwamba bado unapapara,nakushauri iweke Bank kama miezi mitatu kisha ndio uifanyie mradi wako unaotaka kufanya.La sivyo utajuta.

Kwanza nakushauri toa kama 700,000 umtolee sadaka Marehem ili upate Baraka zake,maana bila yeye usingezipata.
na tabia ya pesa za Urithi,yaani kama ulitoa hata elfu moja katika hizo ukaenda kunywea bia basi hata ufanye nini umaskini ni wa kwako hadi unaingingia kaburini.Maana wafu wanaona matendo yetu
umenitisha mkuu maana na mm nilikua naelekea kwenye mradi huo.


Shaking my head.
 
Uache benki mpunga wote... Chukua milioni 1, kainunulie dollar... Dollar ina panda kila siku...ikipanda utakwenda kuiuza... Mfano miaka michache tu nyuma dollar ilikuwa 1200 lakini leo ni zaidi ya 2000 kama ulinunua kipindi hicho leo ungepata faida maradufu!! Chukua million mbili katika kiasi kilichobaki - fungua duka la kuuza nafaka, uza mchele, maharage, unga wa sembe n.k hii ndio biashara inayolipa kuliko zote Tz - maana kila siku lazima watu wale! Benki utakuwa umebakiwa na million saba - hiyo ni akiba ya baadae - katika biashara yako usisahau kuweka akiba asilimia kumi ya faida unayopata! Mfano ukipata elfu kumi weka elfu moja! Kila la kheri!
 
kuwa mjanja bana matumizi tena inategemea na eneo, soma maeneo ambayo yanaanza kujengeka kimaendeleo kuwa mji ww wekeza huko

Mkuu akiingiza kwenye ujenzi haijalishi ni wapi itakatia njiani,sasa ikishakata atapataje faida.
Kumbuka hata sehemu ambazo miji haijakua gharama za ujenzi ni zile zile.Hata akinunua kiwanja kwa elfu tano bado hiyo pesa haitatosha kujenga mkuu.
 
Habari zenu wana jukwaa!

Mimi ni mjasiriamali niko Morogoro mjin! Nimehangaika sana kwenye vibiashara vyangu vidogo kwa takriban miaka 10 sasa hivyo nimefanikiwa kupata tsh ml 5 hivyo ninaomba mchango wa mawazo yenu jaman nifanye biashara gani ili niweze kujipatia kipato cha kila siku japo hata 10 elfu kwa siku sio mbaya.

Natanguliza shukrani zangu kwenu wana jamii
 
Binafsi nisingekushauri pesa zote kuwekeza kwenye biashara moja, very risk. Ninachoweza kushauri kwa uzoefu wako unaweza kuangalia miradi midogomidogo kama miwili hivi, hiyo husaidia kutegemezana, na mapato yatakua haraka. Ukiwekeza sehemu moja na kusipotokea mafanikio maana yake imekula kwako na itabidi kuanza upya.

Usidharau miradi midogomidogo hulipa sana.
 
Nikuulize kwanza wewe mwanajukwaa ungependa au unavutiwa na biashara gani?au shughuli gani nyingine yoyote
 
kuna mtu alinishaur nifanye biashara ya cm kwa sababu mm mi mtundu xn wa kurekebisha cm hivyo nikaona nisikurupuke ni bora nije umu jukwaan kuomba ushaur ili baadae nisije nikaangukia pua kaka! nashkuru kwa kuniuliza hilo swali nahis apo kuna mawazo naweza nikapata
 
boresha hiyo biashara yako iliokufanya ukapata iyo m5. coz mtaji umekua then unauzoef nayo!!!
 
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na
kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na
kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika
Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya
na Makampuni mbalimbali.
5. ** Kuanzisha kituo cha redio na televisheni
6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya
electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na
vifaa vya compyuta na mawasiliano.
7. ** Kuuza software; mfano Antivirus, Operating
Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k
8. Kushona na kuuza nguo.
9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit,
socks,
batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo,
Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine.
11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na
vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.
12. ** Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu.
13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza
popcorn na kuziuza.
14. Kusajili namba za simu na kuuza vocha
15. Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta
na zinazotumia mafuta
16. ** Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na
hali ya hewa ya sehemu husika.
17. Kuuza Mitumba
18. ** Kusimamia miradi mbalimbali
19. Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali
20. Kufungua banda la chakula na chips
21. Kukodisha turubai viti na meza
22. Kufungua Supermarket
23. Kufungua Saluni
24. Kufungua Bucha
25. Video Shooting & Editing.
26. ** Kufungua Internet cafe
27. Duka la kuuza matunda
28. Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za
mkononi na landline.
29. Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement,
vifaa
vya umeme, duka la mabati
30. Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba
na
miradi ya ICT
31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k
32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building
contractor)
33. Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua
(solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya
solar n.k
34. ** Kuuza maji kwa jumla na rejaleja.
35. Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.
36. Kukodisha Music
37. Kuanzisha Mradi wa Taxi
38. ** Kuanzisha mradi wa Daladala
39. Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops,
converters,
HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa
vingine.
40. ** Kununua magenerator na kukodisha
41. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu
42. ** Kufungua kampuni ya kutoa huduma za
internet (ISP)
43. Kuuza mabati na vigae
44. Kujenga apartments
45. ** Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au
mafuta ya aina zote
46. Kufungua Duka la samaki
47. Kufungua Duka la nafaka
48. ** · Kufungua Shule za Awali, Shule za
Msingi,
Sekondari na Vyuo.
49. Kujenga hostel
50. Kuuza vocha na ving’amuzi vya DStv, Zuku,
Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.
51. ** · Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na
kuuza katika viwanda na wananchi.
52. Ufundi simu
53. Kufungua Hospitali, Zahanati.
54. Maabara ya Macho, Meno
55. ** Kuchimba/Kuuza Madini
56. ** Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu
na
fax
57. Kuuza miti na mbao
58. Kufungua Grocery, bar
59. Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha
60. ** Kucharge simu/battery
61. Duka la TV na vifaa vingine
62. Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika
sherehe na tamasha mbalimbali (catering).
63. ** Banda la kupigisha simu
64. Kuuza na kushona Uniform za shule
65. Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.
66. Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki
na
magari
67. Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe
68. Kuuza fanicha
69. Kufungua sehemu ya kuziba pancha za
matairi
ya magari na mitambo.
70. Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)
71. Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.
72. Kuuza vioo
73. Kushona na kukodisha nguo za harusi
74. ** Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari
75. Kuuza mashine za kuchomelea (welding
machine).
76. Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets
etc)
77. ** Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha
wanafunzi
78. Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vya
redio na televisheni
79. ** Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni
(TV
Games)
80. ** Kufungua benki
81. Kuwa na malori ya kubeba kokoto na
mchanga
82. Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k
83. Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
84. Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na
winchi (crane)
85. Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.
86. ** Kuanzisha viwanda mbalimbali
87. Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbali
zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom,
TTCL, AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.
88. ** Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa
sherehe,
mikutano mbalimbali
89. Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa
barabara na kukodisha
90. Kutengeneza antenna na kuuza
91. Kufungua mradi wa Machine za kusafisha,
kutoboa na kuchana mbao
92. ** Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya
Umeme
wa kutumia upepo
93. Biashara ya kuagiza magari
94. Kufanya biashara za Jukebox
95. ** Kukodisha matenki ya maji**
96. Kufungua duka la kuuza Asali
97. Kutengeneza Mikokoteni/ matoroli na
kuikodisha
98. Kufungua Duka la vinyago, batiki
99. Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY,
MPESA,
TIGOPESA, EZY PESA
100. ** Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi
(Gym).
101. Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi.
102. Kufungua duka la kuuza dawa (pharmacy).
103. Kufungua Kampuni ya Ulinzi
104. Kufungua kampuni ya "Clearing and
fowarding"
105. Kuchezesha vikaragosi
106. Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki
107. Kuuza baiskeli
108. Kuuza magodoro
109. Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya
matumizi
ya nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe,
vijiko,
110. Kuuza marumaru (limestones)
111. Kuuza kokoto
112. Kuuza mchanga
113. Kufundisha Tuisheni
114. Biashara za bima
115. ** Kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia ya
anga (ndege)
116. Biashara za kitalii
117. Biashara za meli na maboti.
118. ** Kampuni ya kuchimba visima
119. Kufungua ofisi ya wakili/mawakili wa
kujitegemea
120. Kuuza mkaa
121. Kutengeneza mashine za kutengeneza tofali
122. ** Kampuni ya kupima ardhi
123. Kampuni ya magazeti
124. Kuchapa (printing) magazeti
125. Kuuza magazeti
126. ** Kuchimba mafuta
127. Kiwanda cha kutengeneza mabati
128. Kiwanda cha kutengeneza fanicha
129. Kiwanda cha kutengeneza matairi
130. Kutengeneza vitanda vya chuma
131. ** Kununua nyumba katika Maghorofa
(Apartments) na kuzikodisha.
132. Kukodisha makapeti
133. Kupamba maharusi na kumbi za harusi/
sherehe.
134. Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka.
135. Kazi ya ususi na kusafisha kucha.
136. Kuuza Gypsum
137. Malori ya kubeba mafuta na Mizigo
138. Duka la kuuza mboga za majani
139. Duka la kuuza maua.
140. Kampuni ya kuzoa takataka
141. Kampuni ya kuuza magari
142. ** Kuuza viwanja
143. Uvuvi
144. Kutengeneza na kuuza nguzo za kujengea
fensi
145. Uchoraji wa mabango.
146. Duka la kuuza silaha
147. Ukumbi wa kuonesha mpira
148. Biashara ya mlm (network marketing)
149. ** Yadi kwa ajili ya kupaki magari
150. Mradi wa trekta za kukodisha kwa ajili ya
kilimo
KAMA YOTE HAYA UMESHINDWA KUPATA LA
KUFANYA, WEWE UTAKUWA USHAPOTEA,
ENDELEA NA UTARATIBU WAKO WA KUILAUMU
SERIKALI
N/B: RUKSA KUSHARE NA MWENZAKO KAMA
MIMI NILIVYOSHEA KUTOKA KWA MWINGINE
 
Habari zenu wana jukwaa!

Mimi ni mjasiriamali niko Morogoro mjin! Nimehangaika sana kwenye vibiashara vyangu vidogo kwa takriban miaka 10 sasa hivyo nimefanikiwa kupata tsh ml 5 hivyo ninaomba mchango wa mawazo yenu jaman nifanye biashara gani ili niweze kujipatia kipato cha kila siku japo hata 10 elfu kwa siku sio mbaya.

Natanguliza shukrani zangu kwenu wana jamii



endeleza ile biashara iliyokuingizia hiyo mil 5.
USIVIDHARAU HIVYO VIDOGO VINALIPA
 
nina wazo la kuanzisha curio shops!! msaada plz kwa hyo business
 
Back
Top Bottom