Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

!
!
Chakula..... Biashara ya chakula kibichi. Mfano unaweza ukaenda kyela na hiyo hela ukanunua mpunga ambao kwa sasa ni kama 10,000 kwa debe moja. Ukinunua kama wa 4,000,000 hivi baada ya miezi Miwili mzee utakuwa na zaidi ya 5,000,000 guarantee. Ukifika Kyela niambie nitakuunganisha na pa kulala bureeee na nitakupa connections pia za michango hiyo. Au njoo pm tuyajenge.
22
 
Habari za muda huu, Naombeni ushauri nifanye biashara gani, Nina kiasi cha mil 5 nashindwa kuamua nifanye biashara gani, nahisi naweza katia mtaji mapema. Naombeni ushauri sio matusi na maneno ya kukatishana tamaa. Nipo SONGEA-RUVUMA
3aa31c052d3ed12ee8dd4de07f290ac1.jpg
Fungua akaunti saba kwenye AIM kwa mwaka utajikuta una million zaidi ya 500 without pain and failures
 
!
!
Chakula..... Biashara ya chakula kibichi. Mfano unaweza ukaenda kyela na hiyo hela ukanunua mpunga ambao kwa sasa ni kama 10,000 kwa debe moja. Ukinunua kama wa 4,000,000 hivi baada ya miezi Miwili mzee utakuwa na zaidi ya 5,000,000 guarantee. Ukifika Kyela niambie nitakuunganisha na pa kulala bureeee na nitakupa connections pia za michango hiyo. Au njoo pm tuyajenge.
M 5,000,000 ni faida ama million 5-4?
 
Mkuu nataka kujenga godauni kwa ajili ya kuifadhi mazao je vipi inaweza kuwa biashara nzuri najengea kyela maenep ya nkuyu kuna kiwanja nimenunua maeneo hayo kina ukubwa wa 18 mita upana na 130m urefu kyela ni home mkuu
 
!
!
Chakula..... Biashara ya chakula kibichi. Mfano unaweza ukaenda kyela na hiyo hela ukanunua mpunga ambao kwa sasa ni kama 10,000 kwa debe moja. Ukinunua kama wa 4,000,000 hivi baada ya miezi Miwili mzee utakuwa na zaidi ya 5,000,000 guarantee. Ukifika Kyela niambie nitakuunganisha na pa kulala bureeee na nitakupa connections pia za michango hiyo. Au njoo pm tuyajenge.
Asante ndugu huu ndio utu. Ntaku PM, ngoja niendelee kukusanya mawazo
 
Niliweka kidogo kidogo km mil 3 na mil 2 niliuza pkpk yangu moja baada ya kuona inaanza kusumbua
Sawa..sasa mkuu ww kwanza unapenda au unafikiria nn ktk kichwa chako saiv kuhusu biashara naamin unawazo yko kwanza kichwan afu ndo umekuja kutuuliza sisi ili tukushaur mi siamin km una hela zote izo afu huna plan mkuun.wakat unaeka ela zako izo naamin ulieka kwa lengo kuja kufanya ktu....afu suala la kuomba watu.wakuwambie ufanye biashara gan bila kujua interest yko ktk biashara ni ipi..ni tabu mkuu..sababu kuna mtu atakambia uingie ktk kilimo,mwingne labda ufungue duka la spare parts..au mwingne ufumgue biashara ya maduka ya jumla mfno ya nguo,bidhaa mbal mbal..sawa utaambiwa yote haya lkn hatujui ww mwenyew ni aina.ip ya.biashara.unaipenda...

Mi cha kukushaur tu hpo tu ulipo tumia mazingira yko yaan yasome kipi kimekosekana na kinahitajika haraka kt biashara hayo maeneo afu ufanye kitu.pia usiingize hela yote iyo ktk unapoonza iyo biashara tumia kiasi kidogo kingne kiwe kiangalizo maana ktk biashara kuna kuwin na kufail..so km utafail ela nyingne ipo ya kuanzia izo ela ni nying ktk kuanza biashara zetu ndogo ndogo pia ni ndogo ktk biashara zetu kubwa kubwa so kuwa makin ktk uchaguaji wa biashara mtaji usiwe mkubwa kuliko kiasi ulichonacho....pia kingne biashara inayoaanza na mtaji mdogo ni nzur zaid maana utaiyona faida yko inayoingia pia ni rahic kuizungusha pia...

Pia usisahau kanuni ya biashara ..
Ukitaka ufanikiwa ktk biashara.yyte lazm uwe na sera ya ubanaj wa matumizi yaan uwe mbahili,
Pil iyo biashara utakayoianzisha lazm uipe mda mwing wa kuingalia yan..iwe chin.ya uwaangalizi mkubwa sana..mfno unaduka la spare parts umefungua unaanza kumueka mtu wa kumlipa wakat ww upo na.hauna.shuhur yyte ya kukueka mbal na biashars.yako...
Kila lakher mkuu ktk biashars zako
 
Habari za muda huu, Naombeni ushauri nifanye biashara gani, Nina kiasi cha mil 5 nashindwa kuamua nifanye biashara gani, nahisi naweza katia mtaji mapema. Naombeni ushauri sio matusi na maneno ya kukatishana tamaa. Nipo SONGEA-RUVUMA
3aa31c052d3ed12ee8dd4de07f290ac1.jpg
Ushauri wangu, Fanya biashara ya kununua na kuuza viazi. Njoo Njombe unanunua viaz kwa wakulima na kupeleka mtwara. Aiseeee.... Yaaani..
 
Ni kilimo au biashara ya mazao ty ambayo ukiifanya kwa umakini huwezi yumba... na faida ni nusu kwa nusu...

Km uko serious nichek inbox nikuunge na mdau mupige kazi ana heka 40 analima mahindi ni mzoefu afu kijana tu
 
Back
Top Bottom