Ndugu wa Trump
JF-Expert Member
- Nov 9, 2016
- 958
- 703
Hebu nirushie 50,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
22!
!
Chakula..... Biashara ya chakula kibichi. Mfano unaweza ukaenda kyela na hiyo hela ukanunua mpunga ambao kwa sasa ni kama 10,000 kwa debe moja. Ukinunua kama wa 4,000,000 hivi baada ya miezi Miwili mzee utakuwa na zaidi ya 5,000,000 guarantee. Ukifika Kyela niambie nitakuunganisha na pa kulala bureeee na nitakupa connections pia za michango hiyo. Au njoo pm tuyajenge.
Fungua akaunti saba kwenye AIM kwa mwaka utajikuta una million zaidi ya 500 without pain and failuresHabari za muda huu, Naombeni ushauri nifanye biashara gani, Nina kiasi cha mil 5 nashindwa kuamua nifanye biashara gani, nahisi naweza katia mtaji mapema. Naombeni ushauri sio matusi na maneno ya kukatishana tamaa. Nipo SONGEA-RUVUMA![]()
Hata mimi sijaelewa, hiyo pesa kapewa, kaokota au kakopa! Kama ni mkopo basi ajue ana hatari. Pesa ya mkopo siyo ya kujifunzia biashara.Aisee..ulizipateje kwanza izo tuanze hpo
M 5,000,000 ni faida ama million 5-4?!
!
Chakula..... Biashara ya chakula kibichi. Mfano unaweza ukaenda kyela na hiyo hela ukanunua mpunga ambao kwa sasa ni kama 10,000 kwa debe moja. Ukinunua kama wa 4,000,000 hivi baada ya miezi Miwili mzee utakuwa na zaidi ya 5,000,000 guarantee. Ukifika Kyela niambie nitakuunganisha na pa kulala bureeee na nitakupa connections pia za michango hiyo. Au njoo pm tuyajenge.
Mkuu nataka kujenga godauni kwa ajili ya kuifadhi mazao je vipi inaweza kuwa biashara nzuri najengea kyela maenep ya nkuyu kuna kiwanja nimenunua maeneo hayo kina ukubwa wa 18 mita upana na 130m urefu kyela ni home mkuu!
!
Chakula..... Biashara ya chakula kibichi. Mfano unaweza ukaenda kyela na hiyo hela ukanunua mpunga ambao kwa sasa ni kama 10,000 kwa debe moja. Ukinunua kama wa 4,000,000 hivi baada ya miezi Miwili mzee utakuwa na zaidi ya 5,000,000 guarantee. Ukifika Kyela niambie nitakuunganisha na pa kulala bureeee na nitakupa connections pia za michango hiyo. Au njoo pm tuyajenge.
Unaweza kutufafanulia kidogo mzee?mahindi
Asante ndugu huu ndio utu. Ntaku PM, ngoja niendelee kukusanya mawazo!
!
Chakula..... Biashara ya chakula kibichi. Mfano unaweza ukaenda kyela na hiyo hela ukanunua mpunga ambao kwa sasa ni kama 10,000 kwa debe moja. Ukinunua kama wa 4,000,000 hivi baada ya miezi Miwili mzee utakuwa na zaidi ya 5,000,000 guarantee. Ukifika Kyela niambie nitakuunganisha na pa kulala bureeee na nitakupa connections pia za michango hiyo. Au njoo pm tuyajenge.
Nilime au ninunue.? Na wapi napata soko zurimahindi
Niliweka kidogo kidogo km mil 3 na mil 2 niliuza pkpk yangu moja baada ya kuona inaanza kusumbuaAisee..ulizipateje kwanza izo tuanze hpo
Sawa..sasa mkuu ww kwanza unapenda au unafikiria nn ktk kichwa chako saiv kuhusu biashara naamin unawazo yko kwanza kichwan afu ndo umekuja kutuuliza sisi ili tukushaur mi siamin km una hela zote izo afu huna plan mkuun.wakat unaeka ela zako izo naamin ulieka kwa lengo kuja kufanya ktu....afu suala la kuomba watu.wakuwambie ufanye biashara gan bila kujua interest yko ktk biashara ni ipi..ni tabu mkuu..sababu kuna mtu atakambia uingie ktk kilimo,mwingne labda ufungue duka la spare parts..au mwingne ufumgue biashara ya maduka ya jumla mfno ya nguo,bidhaa mbal mbal..sawa utaambiwa yote haya lkn hatujui ww mwenyew ni aina.ip ya.biashara.unaipenda...Niliweka kidogo kidogo km mil 3 na mil 2 niliuza pkpk yangu moja baada ya kuona inaanza kusumbua
Niliweka kidogo kidogo km mil 3 na mil 2 niliuza pkpk yangu moja baada ya kuona inaanza kusumbua
Ushauri wangu, Fanya biashara ya kununua na kuuza viazi. Njoo Njombe unanunua viaz kwa wakulima na kupeleka mtwara. Aiseeee.... Yaaani..Habari za muda huu, Naombeni ushauri nifanye biashara gani, Nina kiasi cha mil 5 nashindwa kuamua nifanye biashara gani, nahisi naweza katia mtaji mapema. Naombeni ushauri sio matusi na maneno ya kukatishana tamaa. Nipo SONGEA-RUVUMA![]()
Imekaaje hii mkuuFungua akaunti saba kwenye AIM kwa mwaka utajikuta una million zaidi ya 500 without pain and failures