Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua bodaboda wape vijana ajira hicho kitakuwa kiwanda tosha
Hii biashara ni pasua kichwa.Nunua bodaboda wape vijana ajira hicho kitakuwa kiwanda tosha
True brotherWekeza kwenye saluni unafungua ya kike na kiume sehemu moja zinakuwa ni classic saloon zenye wadhifa ..mgahawa wa chakula unalipa pia it just depend eneo na ulivobuni eneo lako watu siku hizi wanapenda kula maeneo hata kama sehemu padogo lakini pavutie hata kwenye kiselfie
Aaah hio kaka nilishaifanya sana tangu 2015 ina usumbufu mwingi vijana wa sa hapo serious so hela unayokua umeitegemea inakua tofaut.Nunua bodaboda wape vijana ajira hicho kitakuwa kiwanda tosha
Nashkuru sana kiongoz. Umenipa nguvu zaid ya uthubutuAs-salamu alaykum! Wazo namba 1 mpaka namba 5 yote ni mawazo mazuri, lakini kwa maono yangu wazo namba 4 ni ngumu kidogo kama siyo sana kulitekeleza kwa kiasi hicho ulichokitaja [ cha milioni 8 ] Labda chagua kuwekeza pesa yako kwenye mgahawa wa chakula, miamala ya kifedha, au duka la vyakula kwangu haya ni machaguo mazuri na ingelikuwa ni mimi kwa kiasia hicho cha shilingi milioni 8 ningelifungua mgahawa mkubwa wa chakula, kama member mwingine hapo juu alivyosema kwa maandishi mtu au watu lazima wale -- mtu anaweza asinunue nguo mwaka mzima, lakini kwenye kipande cha kula ni lazima ale tu. Mkuu, ikiwa mama n'tilie anapika ubwabwa kg 5 na kila kg 1 inatoa vibakuli zaidi ya 10; hapa unaweza kuona ni jinsi gani biashara hii inalipa, lakini changamoto zake pia ni kubwa . . . kila la heri mkuu!
Asithubutu, hii haiwezi kuwa biashara ya maana, labda muendeshaji awe mwenyewe.Nunua bodaboda wape vijana ajira hicho kitakuwa kiwanda tosha
Shukran kiongoz. Na nadhan hata capital yake ni ndogo kuliko hata pesa nilionayoKaka uza chakula mkuu hutojutia ushauri wangu
[emoji115]Habarini wana JF,
Baada ya kupambana kwa kipindi kirefu nimeweza kusave fedha kiasi mpaka kufikisha tsh million nane.Lengo la uzi huu ni kutaka kuwashirikisheni ndugu zangu hapa. Nina mawazo kadhaa ya kibiashara kulingana na eneo nililopo.
Lengo langu sasa ni angalau nipate ushauri which one is the best kati ya hayo mawazo niliyo nayo.
Mawazo hayo ni:
1. Stationery
2. Duka la vyakula/mangi
3. Mgahawa wa chakula
4. Maabara ndogo ya kupima afya
5. Kibanda cha miamala ya kifedha.
NB. Biashara zote nilizotaja hapo juu ninatamani kuongeza thamani kwa kuweka M- Pesa isipokua tu hiyo ya maabara.
KARIBUNI WAKUU.
Mawazo safi nimeyapenda[emoji115]
HIYO HELA IGAWE MAFUNGU MANNE MKUU.
1. CHUKUA MILIONI 3 FUNGUA STATIONERY.
2. CHUKUA MILIONI 3 INGINE FUNGUA DUKA LA DAWA MUHIMU,
HUKU UKIWA NA MALENGO YA KULIENDELEZA ILI MTAJI UKIKUA UFUNGUE MAABARA HAPOHAPO.
3. CHUKUA MILIONI 1 WEKA KWENYE BIASHARA YA MIAMALA YA PEASA,
AMBAYO UTAIFANYIA HAPO KWENYE OFISI YA STATIONERY.
4. MILIONI 1 IWEKE KAMA AKIBA YA DHARURA ZOZOTE ZA KIBIASHARA.
NB:
KUKIWA NA USIMAMIZI MZURI NA LOCATION NZURI KIBIASHARA
NI LAZIMA UTATUSUA.