Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Habarini wana JF,

Baada ya kupambana kwa kipindi kirefu nimeweza kusave fedha kiasi mpaka kufikisha tsh million nane.Lengo la uzi huu ni kutaka kuwashirikisheni ndugu zangu hapa. Nina mawazo kadhaa ya kibiashara kulingana na eneo nililopo.

Lengo langu sasa ni angalau nipate ushauri which one is the best kati ya hayo mawazo niliyo nayo.

Mawazo hayo ni:
1. Stationery
2. Duka la vyakula/mangi
3. Mgahawa wa chakula
4. Maabara ndogo ya kupima afya
5. Kibanda cha miamala ya kifedha.

NB. Biashara zote nilizotaja hapo juu ninatamani kuongeza thamani kwa kuweka M- Pesa isipokua tu hiyo ya maabara.

KARIBUNI WAKUU.
Yoyote kati ha hizo zinzwezekana.
Angalia haya kwanza:-
Je ina wateja? Wateja wakuu watakuwa akina nani?
Sehemu uliyofungulia biashara ikoje, inalipa na je inafikika na kuonwa na wateja?
Wapinzani wako kibiashara ni akina nani, bidhaa zao zikoja na uwezo wao ukoje ukilinganisha na wao?
Bei zako zikoje? unapenda kuuza chache ile upate faida kubwa au unapenda kuuza nyingi ili upate faida hiyohiyo?
Bidhaa zako ni za watu wa daraja gani? Packaging yako ikoje?

CUSTOMER CARE YAKO IKOJE
etc
 
Broo Chiwaso amemaliza maneno yote
Biashara ya chakula changamoto zake
1. Umpate mpishi alie mahiri (hawa lazima uwaachishe kazi sehemu waje kwako)
2. Usanifu wa vyakula (chakula gani kwa muda gani na ubora wake). Ubunifu kulingana na mazingira.
3. Usafi wa hali ya juu kuanzia wapishi jikoni, jiko lenyewe na waiters
4. Wepesi wa kutafuta bidhaa masokoni na kwa wakati (sokoni alfajiri saa 10 fungu ya nyanya chungu 500, sokoni asubuhi saa 2 fungu ya nyanya chungu 1,000. Samaki feri alfajiri nguru mkubwa 40,000, feri saa 1 asubuhi nguru mkubwa 65,000)
5. Control ya wizi wa stock kwa wafanyakazi na hasa wajikoni (msisitizo mkubwa hapo)
Kaza moyo. Mil 8 wewe ni milionea kati ya mamilionea wachache Tz, wengi hatuna hio. Mungu akuongoze
 
Ningekuwa karibu na wewe ningekutafuta tufanye hii Partnership kwenye biashara hii. Kwaniunaonekana mjuzi sana kwenye hili?

Bahati mbaya niko mbali sana mkuuuuuuuuuuu
 
Kaka yangu Chiwaso hata mimi natamani sana siku moja tukae chini unipe elimu hii ya mambo ya biashara nakuona hapa huwa unatusaidia sana vijana tunaotaka kutoka kimaisha kwa michango yako, lakini hata mm nipo mbali pia. Niliwahi kufanya biashara ya kuuza urojo wa kizanzibari maeneo ya Buguruni na nilikuwa nafanya ziara za kuwatembelea wenzangu wenye migahawa, niwe muwazi hapa nilifanikiwa kwakweli. Ila mbeleni niliamua tu kuangalia changamoto nyengine nje ya nchi. Chakula ukiwa makini kidogo tu kinalipa.
 
Mkuu biashara yeyote utakayoamua kufanya usisahau kumtolea MUNGU fungu la kumi hii ndiyo siri ya mafanikio.
Duhhhhhh. Anza basi kumpa wewe ilo fungu la kumi ili aongezee, then akishapata awape fungu la kumi kubwa.
Madili tuuuuuuuuuuuuuuuu, kila sehemu
 
Habarini wana JF,

Baada ya kupambana kwa kipindi kirefu nimeweza kusave fedha kiasi mpaka kufikisha tsh million nane.Lengo la uzi huu ni kutaka kuwashirikisheni ndugu zangu hapa. Nina mawazo kadhaa ya kibiashara kulingana na eneo nililopo.

Lengo langu sasa ni angalau nipate ushauri which one is the best kati ya hayo mawazo niliyo nayo.

Mawazo hayo ni:
1. Stationery
2. Duka la vyakula/mangi
3. Mgahawa wa chakula
4. Maabara ndogo ya kupima afya
5. Kibanda cha miamala ya kifedha.

NB. Biashara zote nilizotaja hapo juu ninatamani kuongeza thamani kwa kuweka M- Pesa isipokua tu hiyo ya maabara.

KARIBUNI WAKUU.
Ukiweza kuweka maabara na duka la dawa muhimu alafu chagua location iliyochangamka.pesa yako itachanua fasta.ni biashara nzuri sana sababu huduma za afya kwenye government ni finyu so ni bonge la fursa.
Kila la kheri hustler mwenzangu.
 
Kaka yangu Chiwaso hata mimi natamani sana siku moja tukae chini unipe elimu hii ya mambo ya biashara nakuona hapa huwa unatusaidia sana vijana tunaotaka kutoka kimaisha kwa michango yako, lakini hata mm nipo mbali pia. Niliwahi kufanya biashara ya kuuza urojo wa kizanzibari maeneo ya Buguruni, niwe muwazi hapa nilifanikiwa kwakweli. Ila mbeleni niliamua tu kuangalia changamoto nyengine nje ya nchi. Chakula ukiwa makini kidogo tu kinalipa.
Thanks kama miwazo yangu huwa inasaidia. Asante sana.
Hakuna ambacho huwa akilipi kama umedhamilia na kuthubutu.
Big up, pamoja sana mkuu.
Inshaaaaaaaaaaallah, one day.
 
Chakula... ni lazima watu wale ukipata eneo zuri.

Maabara (uweke na duka la dawa).... kila siku watu wanaumwa.

Stationary, kama ukipata maeneo yenye chuo na maofisi.

Ila siri mojawapo ya biashara, usiingize hela yote kwa mara moja.
Nimependa ulivyomalizia mkuu.
 
Broo Chiwaso amemaliza maneno yote
Biashara ya chakula changamoto zake
1. Umpate mpishi alie mahiri (hawa lazima uwaachishe kazi sehemu waje kwako)
2. Usanifu wa vyakula (chakula gani kwa muda gani na ubora wake). Ubunifu kulingana na mazingira.
3. Usafi wa hali ya juu kuanzia wapishi jikoni, jiko lenyewe na waiters
4. Wepesi wa kutafuta bidhaa masokoni na kwa wakati (sokoni alfajiri saa 10 fungu ya nyanya chungu 500, sokoni asubuhi saa 2 fungu ya nyanya chungu 1,000. Samaki feri alfajiri nguru mkubwa 40,000, feri saa 1 asubuhi nguru mkubwa 65,000)
5. Control ya wizi wa stock kwa wafanyakazi na hasa wajikoni (msisitizo mkubwa hapo)
Kaza moyo. Mil 8 wewe ni milionea kati ya mamilionea wachache Tz, wengi hatuna hio. Mungu akuongoze
Ubarikiwe sana mkuu.
 
Ukiweza kuweka maabara na duka la dawa muhimu alafu chagua location iliyochangamka.pesa yako itachanua fasta.ni biashara nzuri sana sababu huduma za afya kwenye government ni finyu so ni bonge la fursa.
Kila la kheri hustler mwenzangu.
Shukran kiongoz
 
Duhhhhhh. Anza basi kumpa wewe ilo fungu la kumi ili aongezee, then akishapata awape fungu la kumi kubwa.
Madili tuuuuuuuuuuuuuuuu, kila sehemu
Kutoa fungu la kumi kwa MUNGU ni dilii?!!!
Haya ni maajabu mengine, hata hivyo nimetoa ushauri tu kwa mleta mada, yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho. Nime share jambo jema nalolifahamu.
 
Wakuu habari,

Nina kiasi cha 10m, nipo dar, nifanye biashara gani itakayonipa faida ya kuendeleza gurudumu la maisha.

Mimi ni muajiriwa

Nawasilisha
Umelenga kupata faida ya walau kiasi gani kwa kila siku baada ya uwekezaji....??
Ukinijibu hilo, nitakupa ushauri wa fursa nilio iona hapo Dar, na hakika utafanikiwa
 
Wakuu habari,

Nina kiasi cha 10m, nipo dar, nifanye biashara gani itakayonipa faida ya kuendeleza gurudumu la maisha.

Mimi ni muajiriwa

Nawasilisha
LOAN AGAINST SALARY UKICHEZEA UMELIWA
ULIPASWA KUWA NA BUSINESS IDEA KABLA YA KUTAFUTA MTAJI.
NDOMANA WASHINDI WENGI WA:-
BBA
BSS
MISS TZ
SPORTPESA
TATUMZUKA
BIKO
N.K

HUISHIA KUSIKOJULIKANA BILA KUACHA ALAMA YOYOTE
 
Back
Top Bottom