Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji115]Mawazo safi nimeyapenda
KARIBU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji115]Mawazo safi nimeyapenda
Hiyo sio bishara wala ukiwa na hela yko usijaribuNunua bodaboda wape vijana ajira hicho kitakuwa kiwanda tosha
Yoyote kati ha hizo zinzwezekana.Habarini wana JF,
Baada ya kupambana kwa kipindi kirefu nimeweza kusave fedha kiasi mpaka kufikisha tsh million nane.Lengo la uzi huu ni kutaka kuwashirikisheni ndugu zangu hapa. Nina mawazo kadhaa ya kibiashara kulingana na eneo nililopo.
Lengo langu sasa ni angalau nipate ushauri which one is the best kati ya hayo mawazo niliyo nayo.
Mawazo hayo ni:
1. Stationery
2. Duka la vyakula/mangi
3. Mgahawa wa chakula
4. Maabara ndogo ya kupima afya
5. Kibanda cha miamala ya kifedha.
NB. Biashara zote nilizotaja hapo juu ninatamani kuongeza thamani kwa kuweka M- Pesa isipokua tu hiyo ya maabara.
KARIBUNI WAKUU.
Ningekuwa karibu na wewe ningekutafuta tufanye hii Partnership kwenye biashara hii. Kwaniunaonekana mjuzi sana kwenye hili?Broo Chiwaso amemaliza maneno yote
Biashara ya chakula changamoto zake
1. Umpate mpishi alie mahiri (hawa lazima uwaachishe kazi sehemu waje kwako)
2. Usanifu wa vyakula (chakula gani kwa muda gani na ubora wake). Ubunifu kulingana na mazingira.
3. Usafi wa hali ya juu kuanzia wapishi jikoni, jiko lenyewe na waiters
4. Wepesi wa kutafuta bidhaa masokoni na kwa wakati (sokoni alfajiri saa 10 fungu ya nyanya chungu 500, sokoni asubuhi saa 2 fungu ya nyanya chungu 1,000. Samaki feri alfajiri nguru mkubwa 40,000, feri saa 1 asubuhi nguru mkubwa 65,000)
5. Control ya wizi wa stock kwa wafanyakazi na hasa wajikoni (msisitizo mkubwa hapo)
Kaza moyo. Mil 8 wewe ni milionea kati ya mamilionea wachache Tz, wengi hatuna hio. Mungu akuongoze
Ningekuwa karibu na wewe ningekutafuta tufanye hii Partnership kwenye biashara hii. Kwaniunaonekana mjuzi sana kwenye hili?
Bahati mbaya niko mbali sana mkuuuuuuuuuuu
Duhhhhhh. Anza basi kumpa wewe ilo fungu la kumi ili aongezee, then akishapata awape fungu la kumi kubwa.Mkuu biashara yeyote utakayoamua kufanya usisahau kumtolea MUNGU fungu la kumi hii ndiyo siri ya mafanikio.
Ukiweza kuweka maabara na duka la dawa muhimu alafu chagua location iliyochangamka.pesa yako itachanua fasta.ni biashara nzuri sana sababu huduma za afya kwenye government ni finyu so ni bonge la fursa.Habarini wana JF,
Baada ya kupambana kwa kipindi kirefu nimeweza kusave fedha kiasi mpaka kufikisha tsh million nane.Lengo la uzi huu ni kutaka kuwashirikisheni ndugu zangu hapa. Nina mawazo kadhaa ya kibiashara kulingana na eneo nililopo.
Lengo langu sasa ni angalau nipate ushauri which one is the best kati ya hayo mawazo niliyo nayo.
Mawazo hayo ni:
1. Stationery
2. Duka la vyakula/mangi
3. Mgahawa wa chakula
4. Maabara ndogo ya kupima afya
5. Kibanda cha miamala ya kifedha.
NB. Biashara zote nilizotaja hapo juu ninatamani kuongeza thamani kwa kuweka M- Pesa isipokua tu hiyo ya maabara.
KARIBUNI WAKUU.
Thanks kama miwazo yangu huwa inasaidia. Asante sana.Kaka yangu Chiwaso hata mimi natamani sana siku moja tukae chini unipe elimu hii ya mambo ya biashara nakuona hapa huwa unatusaidia sana vijana tunaotaka kutoka kimaisha kwa michango yako, lakini hata mm nipo mbali pia. Niliwahi kufanya biashara ya kuuza urojo wa kizanzibari maeneo ya Buguruni, niwe muwazi hapa nilifanikiwa kwakweli. Ila mbeleni niliamua tu kuangalia changamoto nyengine nje ya nchi. Chakula ukiwa makini kidogo tu kinalipa.
Nimependa ulivyomalizia mkuu.Chakula... ni lazima watu wale ukipata eneo zuri.
Maabara (uweke na duka la dawa).... kila siku watu wanaumwa.
Stationary, kama ukipata maeneo yenye chuo na maofisi.
Ila siri mojawapo ya biashara, usiingize hela yote kwa mara moja.
Ubarikiwe sana mkuu.Broo Chiwaso amemaliza maneno yote
Biashara ya chakula changamoto zake
1. Umpate mpishi alie mahiri (hawa lazima uwaachishe kazi sehemu waje kwako)
2. Usanifu wa vyakula (chakula gani kwa muda gani na ubora wake). Ubunifu kulingana na mazingira.
3. Usafi wa hali ya juu kuanzia wapishi jikoni, jiko lenyewe na waiters
4. Wepesi wa kutafuta bidhaa masokoni na kwa wakati (sokoni alfajiri saa 10 fungu ya nyanya chungu 500, sokoni asubuhi saa 2 fungu ya nyanya chungu 1,000. Samaki feri alfajiri nguru mkubwa 40,000, feri saa 1 asubuhi nguru mkubwa 65,000)
5. Control ya wizi wa stock kwa wafanyakazi na hasa wajikoni (msisitizo mkubwa hapo)
Kaza moyo. Mil 8 wewe ni milionea kati ya mamilionea wachache Tz, wengi hatuna hio. Mungu akuongoze
Shukran kiongozUkiweza kuweka maabara na duka la dawa muhimu alafu chagua location iliyochangamka.pesa yako itachanua fasta.ni biashara nzuri sana sababu huduma za afya kwenye government ni finyu so ni bonge la fursa.
Kila la kheri hustler mwenzangu.
Kutoa fungu la kumi kwa MUNGU ni dilii?!!!Duhhhhhh. Anza basi kumpa wewe ilo fungu la kumi ili aongezee, then akishapata awape fungu la kumi kubwa.
Madili tuuuuuuuuuuuuuuuu, kila sehemu
Umelenga kupata faida ya walau kiasi gani kwa kila siku baada ya uwekezaji....??Wakuu habari,
Nina kiasi cha 10m, nipo dar, nifanye biashara gani itakayonipa faida ya kuendeleza gurudumu la maisha.
Mimi ni muajiriwa
Nawasilisha
LOAN AGAINST SALARY UKICHEZEA UMELIWAWakuu habari,
Nina kiasi cha 10m, nipo dar, nifanye biashara gani itakayonipa faida ya kuendeleza gurudumu la maisha.
Mimi ni muajiriwa
Nawasilisha
Kwa mwezi niwe na angalau faida ya kuanzia laki tatu mpaka tano.Umelenga kupata faida ya walau kiasi gani kwa kila siku baada ya uwekezaji....??
Ukinijibu hilo, nitakupa ushauri wa fursa nilio iona hapo Dar, na hakika utafanikiwa
mimi mgeni dar ila nina ideas mkuu tatizo hamuaminiki.Kwa mwezi niwe na angalau faida ya kuanzia laki tatu mpaka tano.
Nipe hiyo idea, funguka ndugu yangumimi mgeni dar ila nina ideas mkuu tatizo hamuaminiki.