Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Ufugaji wa kuku chaguo langu
Ila utizame vitu 3 ambavyo ni soko ; aina (wa mayai au nyama); ukoo ( kigeni au chotara au wale wa kienyeji). Utakapotizama soko litakupa hayo mawili pomoja vitu vingine kama bei; upana wa soko nk
Cc. Veca
 
Hizi thread za kuwa nina kiasi hiki ni biashara gani nifanye zimekuwa nyingi sasa. Wazo la kufanya biashara fulani unapaswa kwanza uwe nalo wewe mlengwa, kwani hakuna biashara inayolipa au isiyolipa ndiyo maana watu hawafanyi biashara ya kufanana. Biashara A inaweza kuwa inalipa eneo Z, wakati biashara hiyo hiyo eneo X hailipi kabisa. Hivyo maisha ( biashara) ni kujitoa na ku take risks mkuu. Kuna factors nyingi zinazoweza kusabaisha biashara ishamili au ife, hivyo kikubwa ni kuamua kufanya au laah, make hata hizo factors ni ngumu kuzifahamu mpaka uwe kwenye game. Kingine sio kila mtu ni mfanyabiashara, wengine tunapaswa kuwa wavuvi, wakulima, nk
 
Mkuu madereva wa bajaji wanapasua vichwa.

We jamaa unataka biashara yenye guarantee 100% bila usumbufu wa aina yeyote? Utaipatia wapi karne hii wakati wote tunapambania resource hizo hizo? Labda uwe mwekezaji tena uje na nothing less than 10 billion Tshs. Sidhani kama katika madereva 100 wa bajaji utakosa 20 walio waaminifu!!!???🤔
 
Hii nd'o take home au ni basic?

Kama ni take home,
Vumilia mpaka uwe na balance ya 20 M nd'o uje kujiunga na sisi wavuja jasho huku mtaani.
ume mshauri vizuri aje na mtaji mkubwa na pia biashara awe ameisha ianza tayari lasi hivyo ataikumbuka hiyo 1.2 kila kukicha
 
Wajameni eeh,

Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.

Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake).

=======
U-uzaji wa CONDOM.
Zinunue kwa jumla, peleka maeneo ya UDSM, ARDHI UNIVERSITY na IFM, utapata faida.
chukua kondom classic zenye ladha za matunda, ukiona mtu na couple wake waite, waambie ni tahadhari watachukua, uza paketi inayokaa kondom 6 kwa elfu tano tu, mtu yupo na dem wake hawezi bageinia starehe , utapata faida sana, hii biashara inalipa.


Pisa biashara ya MOCHWARI BINAFSI, unaanzsha na unakuwa meneja mwenyewe, unatafuta wateja kwenye wodi za wagonjwa, wakifa unawaweka kwako, inalipa
 
Habari wana JF,

Naomba tuchangie wazo la biashara yoyote ya ndani au nje ya nchi ambayo ni win-win ndani ya miezi mitatu, ukiwa na bajeti ya dola 5000 au 10000 elfu (milioni 10 mpaka 20).

Twende kazi.
 
Pitia huku unaweza anza ila wewe kwa mtaji mkubwa

Mtaji wa Sh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?
 
Habari za muda huu.

Mimi ni kijana wa miaka 19 katika kupambana kwangu nimeweza kupata kiasi cha 10,000,000/=(million kumi). Kwa wazoefu wa uwekezaji naomba mniambie naweza kuwekeza kwenye nini ili niwe napata consistent profits.

Nawasilisha kwenu.
 
Swali, je moyo wako siku zote unatamani kufanya nini?? Je ni zipi changamoto zake!? Anzia hapo kwanza! Ukitaka NTU akushauri cha kufanya itakua ngumu
 
Swali, je moyo wako siku zote unatamani kufanya nini?? Je ni zipi changamoto zake!? Anzia hapo kwanza! Ukitaka NTU akushauri cha kufanya itakua ngumu
Napenda sana kuwa mfanya biashara pia investor
 
Back
Top Bottom