Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafanya forex nataka niwe na kitega uchumi kingine cha ziadaHukohuko ulikopambana kupata hizo 10M unaweza kuongeza juhudi zaidi ndugu.
Okay hapo sawa...Nafanya forex nataka niwe na kitega uchumi kingine cha ziada
Mkuu Hii milion kumi umeipata kwenye forex au unaondoa mtaji kwenye forex? Huku mitandaoni utapewa nadharia zaidi ya uhalisia. Iweke fixed deposit kwa miez mitatu huku ukichunguza business opportunities, miezi mitatu ikiisha hujapata ongeza mingine. Utakapopata biashara ya kufanya usiwekeze mtaji wote kwa pupa, Weka kiasi nyingine rudisha fixed deposit kwa miez kadhaa ndani ya huo muda utakuwa umejua ni capital injection ya kiasi gani inahitajika kwenye biashara yako. Kama haina faida utakuwa bado hujapoteza mtaji woteNafanya forex nataka niwe na kitega uchumi kingine cha ziada
Nimeipata kwenye forex mkuuMkuu Hii milion kumi umeipata kwenye forex au unaondoa mtaji kwenye forex?
Nimependa wazo lako ntalifanyia kaziMkuu Huku mitandaoni utapewa nadharia zaidi ya uhalisia. Iweke fixed deposit kwa miez mitatu huku ukichunguza business opportunities, miezi mitatu ikiisha hujapata ongeza mingine. Utakapopata biashara ya kufanya usiwekeze mtaji wote kwa pupa, Weka kiasi nyingine rudisha fixed deposit kwa miez kadhaa ndani ya huo muda utakuwa umejua ni capital injection ya kiasi gani inahitajika kwenye biashara yako. Kama haina faida utakuwa bado hujapoteza mtaji wote
Ok boss' ni vizuri kuamisha mtaji. Usiache mayai yote kwenye kapu moja.Nimeipata kwenye forex mkuu
Na bado naendelea kupambana na forex
Ndio ninachotaka kufanya mkuuOk boss' ni vizuri kuamisha mtaji. Usiache mayai yote kwenye kapu moja.
Pamoja na uzefu wangu kwenye maswala ya fedha Ila Sijawahi kufanya forex' najua ni biashara halali Ila naona kama kwa sababu risk ya kupoteza ipo juu sana inasababisha iwe kama gambling. Ww umeweza vipi kucontrol risk?Ndio ninachotaka kufanya mkuu
Mimi nilimlipa mtu akanifundishaPamoja na uzefu wangu kwenye maswala ya fedha Ila Sijawahi kufanya forex' najua ni biashara halali Ila naona kama kwa sababu risk ya kupoteza ipo juu sana inasababisha iwe kama gambling. Ww umeweza vipi kucontrol risk?
Ukiingia bila right knowledge utaona kama gambling Na pia utapoteza hela nyingisababu risk ya kupoteza ipo juu sana inasababisha iwe kama gambling.
Poa mkuu. ShukranUkiingia bila right knowledge utaona kama gambling Na pia utapoteza hela nyingi
Mtu atapigwa muda si mrefu.Mimi nilimlipa mtu akanifundisha
Na mara nyingi nakuaga chini ya uangalizi wake ninapo trade
🤣🤣Mtu atapigwa muda si mrefu.
Hebu nicheki PM ndugu tutete jambo kama hutojali.Ukiingia bila right knowledge utaona kama gambling Na pia utapoteza hela nyingi
Habari za muda huu.
Mimi ni kijana wa miaka 19 katika kupambana kwangu nimeweza kupata kiasi cha 10,000,000/=(million kumi). Kwa wazoefu wa uwekezaji naomba mniambie naweza kuwekeza kwenye nini ili niwe napata consistent profits.
Nawasilisha kwenu.
Habari za muda huu.
Mimi ni kijana wa miaka 19 katika kupambana kwangu nimeweza kupata kiasi cha 10,000,000/=(million kumi). Kwa wazoefu wa uwekezaji naomba mniambie naweza kuwekeza kwenye nini ili niwe napata consistent profits.
Nawasilisha kwenu.
Mkuu nilitaka kukupm kwa bahati mbaya umefungaNdugu zangu wana jamvi naombeni ushauri, wanasema penye wengi hapakosi jambo.
Mimi ni mwajiriwa, nimekuwa nikitamani kuacha kazi na kufanya biashara lakini nakuwa muoga, nikiwa na mawazo je ikifeli?
Nimejaribu kusave na kufungua salon nikiwa bado job nikashindwa, vijana walikuwa sio waaminifu.
Sasa hivi nataka niache kazi kabisa biashara nitakayoifanya niisimamie mwenyewe, lakini naumiza sana kichwa. Je, kwa mtaji wa 6,000,000 au 7,000,000 naweza kufanya biashara gani ambayo angalau itanipatia faida ya 30,000 kwa siku?
Nashukuru sana kwa mawazo yenu mazuri.