Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Du, hii thread ni bomba ile mbaya!
Ila nahisi michango mingi yenye maana inahitaji mtaji zaidi ya hii mil 10, hivyo bado inaliacha swali la msingi kuwa halijajibika. Kingine, nilikuwa najaribu kuangalia kama muheshimiwa Mbu amejibu maswali aliyoulizwa mwanzoni lakini sioni.
Wengi wanaopata bahati ya kupata mitaji midogo kama hii wanakuwa wanahitaji mavuno ya muda mfupi, ikiwa na maana kama utapatikana mradi ambao licha kumuingizia pesa na yeye atatumia hapo hapo.
Mfano ni mradi wa kuuza maji, achimbe kisima labda kwa mil 4 au 5 na auze maji. Ingawa inategemea sehemu uliyopo, lakini sehemu kubwa ya Dar ina shida ya maji. Kama eneo unaloishi nalo linashida ya maji unaweza kuwa mradi mzuri wenye risk kidogo kuliko miradi mingine.
Huu ndio mchango wangu, nawakilisha.
 
Umemaanisha "miradi yenye maana"?

Yeyote atakayependa kujibu maswali yangu....
Miradi ya namna gani sio ya maana?

Mtu akianza kufuga kuku au bata mzinga, sio lazima afanye kazi hiyo milele. Baadae anaweza kujifunza mambo mapya, mfano uhusiano na wateja, soko linapatikana wapi, discipline ya fedha n.k afikie kuamua kwamba kusambaza kuku au mayai ina risk ndogo. Ananunua kwa wafugaji na kusambaza kwa wateja. Huo ni mfano tu.

Mradi wa kupiga picha tuuweke kwenye kundi la miradi ya 'maana'? Jibu ndiyo au hapana na ueleze kwa nini.
 
Mbu,
Sikiliza ushauri wangu. 'UZA MCHELE'
Katika kufanya utafiti wangu kuhusu ni kitu gani watu wa DAR hasa waliowengi wanatumia nimegundua wengi wana nunua sana mchele. Ukiangalia nyumba zilizonyingi hapa DAR jioni wanakula WALI. Sasa kama ni hivyo waletee huo Mchele wale. Ukitaka kuhakikisha hilo, jianzie wewe mwenyewe ni mara ngapi kwa wiki unakula wali?jirani yako je? unapokwenda kutembelea ndugu, jamaa na marafiki jioni wanakula nini? Kama wengi wnakula wali sasa fanya biashara ya kuleta mchele. Nimeangalia soko sasa na wewe umiza kichwa ni wapi unapatikana, gharama za kuupata na kuusafirisha. Ningezipata mimi hizo 10M, ungenisikia tuu!
 
Umemaanisha "miradi yenye maana"?

Yeyote atakayependa kujibu maswali yangu....
Miradi ya namna gani sio ya maana?

Mtu akianza kufuga kuku au bata mzinga, sio lazima afanye kazi hiyo milele. Baadae anaweza kujifunza mambo mapya, mfano uhusiano na wateja, soko linapatikana wapi, discipline ya fedha n.k afikie kuamua kwamba kusambaza kuku au mayai ina risk ndogo. Ananunua kwa wafugaji na kusambaza kwa wateja. Huo ni mfano tu.

Mradi wa kupiga picha tuuweke kwenye kundi la miradi ya 'maana'? Jibu ndiyo au hapana na ueleze kwa nini.
MIchango yenye maana, nilikuwa nazungumzia michango iliyozungumzia miradi. Maana thread inazungumzia miradi lakini waheshimiwa wengine, hawakuwa wameguswa kuzungumzia miradi. Sasa kwangu michango hii si ya maana ktk thread hii, miradi yote iliyotajwa ni ya maana tena sana. Ni jinsi tu ya mtu kuchagua ule unaomfaa.
 
Fungua au anzisha casino! Italipa sana hasa kwa hapo ulipo.
 
Mbu. Nafikiri kwanza uwe na interest ya kufanya Biashara, then uangalie vitu kama location, Business competitors, Source of marchendize, clients, pricing e.t.c. Maana huwezi kuanzisha biashara ya bar karibu na shule, ua kitimoto kwenye moslem community. maeneo ya shule utauza pipi na chips zaidi kuliko pombe. Lakini cha mhimu kwanza uwe na Business plan. 10M. ni kiasi kikubwa kuazza nacho kama hujawahi kufanya biashara ya aina yoyote. Weke pesa yako benki wakati unatafta cha kuzifanyia
 
Naona uvivu kupitia thread nzima. Kuna mtu anakumbuka kuona au kugundua interest (passion) ya Mbu ikiwa alieleza kwenye hii thread?

Ikiwa hakugusia kwenye hili, nimuulize Mbu, "what are you passionate about?" (something that you could turn into a business venture).
 
Ni kweli usemayo,mmoja ilibidi tumwache baada ya kuona analeta politiki wakati sisi tuna maanisha. Alipokuja gundua tuko mbali alilia sana ili arudi kundini ikawa/na imekuwa nguma kukubalika tena.

Bwana Malila, kilimo cha kutegemea mvua matatizo sana bwana! Nimepanda mitiki yangu huku bagamoyo mwezi wa 3/4 uliopita, sasa hili jua linavyopiga napoteza mmoja mmoja kila kikicha; wenzangu mnafanya nini kuhusu huu ukame kuiponyesha hiyo miti?
 
Lazima uwe na timing nzuri sana ya mvua.....! ninavyofahamu mimi, mti ukishaupanda ukapata mvua moja tu...kwa sehemu inayotunza maji kama kule IR hivi....una uhakika inapona tu!

Kwa huku pwani ni ngumu kidogo coz udongo unapitisha maji fasta sana, so unahitaji mvua za kama siku mbili au tatu mfululizo...then miti haikauki kabisa!

Lakini usikate tamaa mkuu....ungeweza hata kumwagilia kwa wiki mmoja ndo gharama za uwekezaji hizo!
 
Bwana Malila, kilimo cha kutegemea mvua matatizo sana bwana! Nimepanda mitiki yangu huku bagamoyo mwezi wa 3/4 uliopita, sasa hili jua linavyopiga napoteza mmoja mmoja kila kikicha; wenzangu mnafanya nini kuhusu huu ukame kuiponyesha hiyo miti?

Mkuu pole sana, kwa ujumla tatizo lako ni kubwa kidogo,hasa kama uko Bagamoyo yenye ukame, Mvua za mwaka huu zilikuwa kidogo sana,na wengi wameathirika na hili. Soil capillary ikiwa kubwa kwa miti ni hasara sana kama una poor timing. Kama ulifuatilia sana maada hii,mitiki inafanya vizuri sana Morogoro (Kilombero plain,Mtibwa,Ifakara,Mahenge,mikumi,kilosa),Tanga,kwa mkoa wa Pwani ni wilaya ya Mkuranga, Rufiji.

Nani alifanya root prunning ya miche yako? na ulichukua miche hiyo baada ya kufanyiwa root pruning kwa muda gani? Ukiweza kujibu maswali haya mawili basi hasara hiyo hutapata tena.
 
Nani alifanya root prunning ya miche yako? na ulichukua miche hiyo baada ya kufanyiwa root pruning kwa muda gani? Ukiweza kujibu maswali haya mawili basi hasara hiyo hutapata tena.

Inawezekana hata hili halikufanyika.....ni mambo ya kitaalam mkuu! mi mwenyewe sijui unamaanisha nini kwa kusema ''root prunning'' ...mi ningeenda pale mbags au pale kibaha kamata miche yangu, then shambani!
 
Kwa mtindo wa kamata miche,kisha nduki shambani,lazima mle hasara taslimu. Kitaalamu unatakiwa kufanya root prunning mwezi mmoja au hata wiki tatu kabla ya kupanda,hasa kwa maeneo yenye mvua kidogo au za wastani.

Mche ulio ktk kitalu,mizizi yake inakwenda chini na kushikamana na udongo mwingine. kwa hiyo ni lazima/muhimu kuhakikisha mizizi inakatwa na kisu kikali kwa umakini mkubwa na baada ya hapo umwagiliaji unaendelea mpaka vidonda vya mizizi vipone. Kazi hii hufanyika pale ktk kitalu.Hii ndio root prunning kwa ufupi. Miti iliyofanyiwa root prunning mwezi mmoja kabla ikienda shambani inapona yote. Usipofanya root prunning, unapohamisha miche kupeleka shamba,mingi hufa kwa sababu,ilipata vidonda na wakati huo huo umebadilisha mazingira yake,effect of PH,drought,temperature etc.

Sababu nyingine ni size ya shimo,kina na upana,water logging etc.
 
Bwana Malila, kilimo cha kutegemea mvua matatizo sana bwana! Nimepanda mitiki yangu huku bagamoyo mwezi wa 3/4 uliopita, sasa hili jua linavyopiga napoteza mmoja mmoja kila kikicha; wenzangu mnafanya nini kuhusu huu ukame kuiponyesha hiyo miti?[/QUOTE]

Naomba uniambie umri wa miche uliyopanda.
 
[/QUOTE]

Naomba uniambie umri wa miche uliyopanda.

Kwa kweli sijui umri wake, niliinunua kwa wauza miche hapo Mbezi tangi bovu na sikuwauliza kuhusu umri. Nilitakiwa ninunue ya umri gani?
 
Kwa kweli sijui umri wake, niliinunua kwa wauza miche hapo Mbezi tangi bovu na sikuwauliza kuhusu umri. Nilitakiwa ninunue ya umri gani?

Kuna kitu kinaitwa Nursery seedlings life span, mara nyingi huwa ni miezi sita kwa miche mingi ya miti, kuna mingine huwa chini ya hapo au zaidi kidogo kutegemea mazingira,sasa ukipata mche fresh wa mtiki na ukapeleka ktk shamba ambalo ni kame kidogo na mvua zikikosekana,mzee miti hiyo utaikosa, bali ukipata mitiki ambayo ina over one year ktk kitalu na imefanyiwa root prunning mwezi mmoja au miwili kabla ya kupanda utafanya sherehe kubwa ya kujipongeza,inaota mingi kwa asilimia kubwa sana.

Yaani kama shamba ni kame,tafuta miche iliyokomaa vizuri(iliyolalia),fanya root prunning kabla ya kupanda miezi miwili au mmoja hivi,chimba walau shimo la ft moja upana na kina,omba mvua inyeshe.

Ila kama unataka kupanda miti kibiashara ni-pm
 
Mkuu Malila tunashukuru sana kwa masomo unayotoa.....please weka vitu hapa hapa mwanangu.........mambo ya pm wengine tutakosa kujua.....please
 
Malila,

Mimi Ogah, ninaomba kujiunga na kikundi chenu ili tuendeleze libeneke la miti....au unasemaje Mkuu
 
Mradi mwingine mzuri wa bei nafuu ni mradi wa kukamua alizeti. Mwaka jana nilipata bahati ya kutembelea Singida kwa ziara ya kitume. Nikapata muda nikaenda mitaa ya sido. Nilitembelea viwanda vidogo vya kukamulia alizeti. Nikatafiti gharama za mradi wote ule. Kwa mujibu wa Sido,mtambo wenyewe unafikia Tsh 6,000,000/ kwa mwaka jana. Ila mitambo ya mitaani inaweza kuwa chini ya hapo. Gharama za jengo zinategemea sehemu.Ukiweza kufunga kimtambo hicho,mikopo ya upanuzi toka Sido ni mingi bila urasimu.

Wale jamaa wanatengeneza hela sio mchezo. Nimegundua pia kuwa watu wanarudi ktk matumizi ya mafuta ya nafaka sana na ukulima wa alizeti/ufuta unaongezeka sana.

Mr MBU think on this also

Malila,

unajua maeneo ya kwetu ardhi tabu sana nimepata ekari 60 maeneno ya Mbeya, nafikiria iwe nusu alizeti na nusu MITI....niambie Mkuu wangu
 
Back
Top Bottom