Shedafa
JF-Expert Member
- May 21, 2008
- 802
- 175
Du, hii thread ni bomba ile mbaya!
Ila nahisi michango mingi yenye maana inahitaji mtaji zaidi ya hii mil 10, hivyo bado inaliacha swali la msingi kuwa halijajibika. Kingine, nilikuwa najaribu kuangalia kama muheshimiwa Mbu amejibu maswali aliyoulizwa mwanzoni lakini sioni.
Wengi wanaopata bahati ya kupata mitaji midogo kama hii wanakuwa wanahitaji mavuno ya muda mfupi, ikiwa na maana kama utapatikana mradi ambao licha kumuingizia pesa na yeye atatumia hapo hapo.
Mfano ni mradi wa kuuza maji, achimbe kisima labda kwa mil 4 au 5 na auze maji. Ingawa inategemea sehemu uliyopo, lakini sehemu kubwa ya Dar ina shida ya maji. Kama eneo unaloishi nalo linashida ya maji unaweza kuwa mradi mzuri wenye risk kidogo kuliko miradi mingine.
Huu ndio mchango wangu, nawakilisha.