Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
- Thread starter
-
- #61
Mimi nichukue tu hili hapa, hayo mengine watayabeba wengine.
Kwa maana ya huyo 'mtalii', Ujerumani, China, Japan, Korea Kusini wasiojua Kiingereza ni hohehai kwa maendeleo!
Kuna watu wajinga sana (mashabiki), sijui kati yao na wewe mleta mada ni mmoja wao!
kwa waliofika Marekani, wanajua kuwa akili za African americans sio sawa na akili za Wazungu. akija mzungu hapo angeongea vitu vya maana. hao ma black americans siku zote huwa wanawaza ngono tu hata maendeleo hawana, na si ukute alinyimwa kitu na dada zetu hawa akachukia nchi nzima.mi nadhani yeye alitakiwa ajivunie kuona watu wanazungumza kiswahili kwakua ndio lugha ya africa kwa sasa sasa anazunguzia lugha mbona waarabu awajui kingereza na wamepiga hatua kubwa sana hao ndio watalii wa mchongo wa LGBTQ
Sijui kama umeweka fumbo hapa kwa pande zote mbili?Aje baada ya miaka kumi ijayo ndo atashangaa
Ujinga wake ni upi?Wewe na yeye nani mjinga?Aende akauze kalio huko , mjinga sana huyo mtalii
Nashukuru kwamba umenielewa barabara.mama yako
Nashukuru kwamba umenielewa barabara.
Kuhusu "mama yangu", hayupo hapa JF. Usiwe mwoga, njoo tu mimi ninatosha kukukabili mtu kama wewe mwenye akili ndogo sana kichwani.
EEeeenHeeeee!Nimewatandika wajinga kama ww hapa JF na nje ya JF na kukuonyesha kuwa ww ni maandazi tu nitakutandika halafu ukiwa chini unalialia nitakushika mat@kro yote mawili huku nayabinyabinya
Aisee!kwahyo kwa akili zako unaona ugali ni chakula?
EEeeenHeeeee!
Unawaaibisha sana wahaya kwa akili za aina hii. Nawafahamu sana watu makini wanaotokea sehemu hizo siyo kama wewe. Bila shaka wewe ni pandikizi tu!
Mleta uzi pamoja na huyo mzungu njaa ni wasengerema
Wewe ni mbuzi tu, huna kitu kichwani mwako.we kariri hvyohvyo.
umezoea wahaya waoga wanaotukanwa na kukaa kimya. siyo mimi dogo.
hovyooo
ona na huyu nae mpiji ni dar sasa??Hapo kwenye Road network namuunga mkono kwasababu huwa najiuliza Jiji kubwa la Dar es salaam ambalo ni kitovu cha biashara/ uchumi lakini lakini kuna sehemu kibao hazina lami na maji, mfano ni huku kwetu mbezi ya Mpiji, makabe na msumi.
Wewe ni mbuzi tu, huna kitu kichwani mwako.
HaaahaaaNgoja mvua zinyeshe uone Dar ilivyo dar
Inategemea na mtazamo wake kwake hivyo kulingana na eneo alipofikia kwa hapa tz unaweza kuta alitua kia akafika arusha from nairobi lazima ataona tupo nyuma miaka 30.Jambo jambo?
Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC.
Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo.
Lakini tusisahau kuwa sisiem wanatuambia kuwa nchi inafunguka na maendeleo tunayoyafanya yanaendana na nchi nyingi Afrika.
Mtaalii huyo ameenda mbali na kusema Kenya ni kama Indonesia kwa kuchapa maendeleo huku Tanzania ni kama Cambodia miaka 30 nyuma.
Ametetea point yake kwa kulinganisha yafuatayo:
- Internet Kenya iko kasi na ni very cheap huku Tanzania internet iko slow licha ya mitandao ya simu kuwa mingi na ni ghali.
- Road network Kenya na Uganda ziko vizuri huku Tanzania hali ikiwa tete mpaka kuna maeneo mjini hayana miundombinu mizuri.
- Lugha ya Kiingereza Kenya inazungumzwa kwa ufasaha na kwa wingi tofauti na Tanzania na Kenya wageni hawapati taabu.
- Ushirikiano kati ya diaspora na African Americans waliopo nchini Tanzania ni mfinyu sana huku Kenya na Uganda ikitupiga gepu.
- Mengine jazia kwa video.
My Take: Sitaki kufuatilia sana upande wa pili lakini ni dhahiri kuwa nchi hii sisiem wametuchelewesha sana na rasimali zetu zinapigwa minada waziwazi huku tukijinasibu kuwa tuna miaka 60 ya uhuru na hata Jiji la Mwanza mpaka leo halina maji licha ya kuwa jirani na Ziwa.
#Royotuwa
#Anaupigamwingi
#anafunguanchi
#nani kama mama
TULIJIROGA WENYEWE
View attachment 2670315
Kwasasa
Kahama,Tanzania