Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

Suala la Internet ni kweli, Hiyo ishu ni majanga hapa nchini na ni kero kubwa kwa watalaii.

Ila suala la lugha anatakiwa aache ushamba, kila mtu na lugha yake, hakuna ulazima wa kila mtu ajue kuzungumza kiengereza vizuri, sisi tunapokea watalaii malaki ambao hata hicho kiongereza hawakijui. Na pia hatuna shida na African Americans sisi.

Hawa watu weusi wakishafia Nchi za Magharibi nawao hujiona kama wazngu vile Pumbav kabisa.
 
Inategemea na mtazamo wake kwake hivyo kulingana na eneo alipofikia kwa hapa tz unaweza kuta alitua kia akafika arusha from nairobi lazima ataona tupo nyuma miaka 30.

ila ukweli bado upo palepale hizi nchi za east Africa hazitofautiani sana.
Acha UMBUMBUMBU wewe. Eti nchi za EA hazitofautiani
 
Huyo muongo... Mazingira ya tz duni kuliko uganda? Muongo
 
Kuna maeneo nakubaliana naye 100%.
Rais mwenyewe alikiri kwa kusema watalii (wageni) wanaorudi nchini ni 30% au pungufu!
Maana yake ni kuwa wengi wanaondoka na negative experience.
Lakini humu kuna watu watamkaanga huyo mtalii!
 
Yote aliyosema yanahusu exposure pekee (digital civilization)lkn maendeleo ni mjumuisho wa vitu vingi,sio mabundle ya internet na Barabara pekee.kuna kipato Cha mtu na nchi,ustawi na maisha bora,na huduma muhimu za kijamii.
 
Yote aliyosema yanahusu exposure pekee (digital civilization)lkn maendeleo ni mjumuisho wa vitu vingi,sio mabundle ya internet na Barabara pekee.kuna kipato Cha mtu na nchi,ustawi na maisha bora,na huduma muhimu za kijamii.

sasa hvyo vipato Tanzania ukijifananisha na kenya utatoboa??
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Duh kama minyama vile hadi morphology yetu ipo hovyo sana.
 
Sasa kama watu wenyewe ni kama mtoa mada mnawaza upumbavu hata pale ambapo hamna uwezo wa kutenda hamtaki kusaidiwa mnaanza kuzusha upuuzi wenu wa Kijamaa mara ooh tunapigwa sijui majizi mara tumeuzwa nk

Kwa jinsi Tanzania ilivyojaa uswazi na jinsi Miundombinu yetu Mingi inafanywa kienyeji enyeji Kwa siasa uchwara Yuko sahihi Kwa sababu inaonesha kwamba zaidi ya nusu ya Watalii wakija Tzn Huwa hawarudi..

Mwisho mlaumuni Babu yenu wa Taifa ambae aliona ni Bora kusaidia.Nchi zingine Kwa rasilimali za Taifa na watu wake badala ya kusaidia watu wa Tanzania.
 
Hapo kwenye Road network namuunga mkono kwasababu huwa najiuliza Jiji kubwa la Dar es salaam ambalo ni kitovu cha biashara/ uchumi lakini lakini kuna sehemu kibao hazina lami na maji, mfano ni huku kwetu mbezi ya Mpiji, makabe na msumi.
Sasa sio Jiji la Utalii,huko huko kwenye Majiji ya Utalii mambo ni hovyo,hata mnazoita lami ni upuuzi vibarabara vya kienyeji enyeji.
 
Kwa Barabara Wako mbele ya Tanzania sana tuu
 
Kenya Internet ni ghali sana, nimeishi huko

Kenya barabara ni finyu sana na mbovu sana, ukitaka nenda Nai, Eld ndo utaelewa
Inawezekana wale wanaonunua mabando makubwa Kuna nafuu ila.kwa bando za kawaida wako too expensive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…