Mtandao wa barabara za lami alizojenga Mstaafu Kikwete katika kipindi chake cha uongozi

Hayo mambo makubwa hakuna alichokamilisha hata Kimoja licha ya kusimamisha maendelea sekta zingine 🤣🤣

Mnazunguka zunguka wewe,jibu ni kwamba hakuwa na hela na hakuwa na hizo akili za kutafuta hela kama Rais Samia,mtu asiye na connection ni hasara
 
Nasikia kwenye kujenga barabara shinyanga-nzega-manyoni....udongo uliochimbuliwa ulipelekwa South...

Stories za kijiweni
 
 
Tunamshukuru sana Hayati Magufuli Kwa uzalendo wake. Unaachaje kumtaja waziri wa miundo mbinu
 
Eti kaweka na Musoma-Mwanza, hata hajui imejengwa lini huyu!
 
Hata ya Mwanza-Musoma ni kamba!

Nilipita August 2005 ilikuwa lami tayari.

Hiyo Tinde-Isaka imejengwa na mkandarasi GreenAcres na hicho kipande ni sehemu tu ya kazi yake ya Nzega-Tinde-Shinyanga-Maganzo hadi uunganishe na lami ya mkoa wa Mwanza ni enzi za Mkapa.
 
Pesa zetu wenyewe sifa wapewe wengine Kwa nini tusijisifu SISI kama watanzania Kwa ulipaji Kodi mpaka zikawezesha tujenge hiyo miundombinu?
 
We mpuuzi unaleta ushindani usiokua na maana kujifanya Magu hakufanya chochote.

Njombe-Makete ile lami umeijenga wewe????

Barabara alizojenga unaemshabikia hazijamaliza hata miaka kumi zimefumuliwa zinajengwa upya.
Ref, Dodoma-Iringa
Njombe Makete imeanza kipindi cha Kikwete Magufuli ameingia madarakani amewakuta wakandarasi wanaendelea na kazi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi hicho Hayati JPM alikuwa Waziri wa Ujenzi, ilipelekea siku moja hadi akateleza ulimi akasema BARABARA ZA LAMI TULIZOJENGA HAPA UKIZIHAMISHIA RWANDA NCHI YOTE INAKUWA LAMI WANAKOSA PA KULIMA
Nilicheka mno siki hiyo! JK alifanya kazi kubwa mno; hasa kwenye upande huu wa infrastructures pamoja na elimu
 
JK alijenga Barabara zikakamilika,Kuna yule mwingine eti yeye alikuwa anaanzisha [emoji16][emoji16]
Mmoja katawala miaka 10 na mwingine miaka 5 tu,unawezaje kuwalinganisha.Ungeweza kuwaweka kwa mzania mmoja uwapime kama na huyu mwingine angetawala kwa miaka 10 na hizo alizoanzisha akashindwa kuzimaliza kwa kipindi hicho.
 
Mmoja katawala miaka 10 na mwingine miaka 5 tu,unawezaje kuwalinganisha.Ungeweza kuwaweka kwa mzania mmoja uwapime kama na huyu mwingine angetawala kwa miaka 10 na hizo alizoanzisha akashindwa kuzimaliza kwa kipindi hicho.
Miradi aliyokamilisha nadni ya miaka 10 Iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…