ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Samia ndio Rais atawafunika wote waliowahi kuongoza Tzn ,Mungu ampe uhai by 2030 mtaniambiaAlijengea mdomoni sana kuliko uhalisia.Jk na Samia hawaongei sana,ni vitendo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia ndio Rais atawafunika wote waliowahi kuongoza Tzn ,Mungu ampe uhai by 2030 mtaniambiaAlijengea mdomoni sana kuliko uhalisia.Jk na Samia hawaongei sana,ni vitendo tu
Hayo mambo makubwa hakuna alichokamilisha hata Kimoja licha ya kusimamisha maendelea sekta zingine 🤣🤣JPM alikuwa na mambo makubwa ndiyo maana mnaona kama kwenye barabara hajafanya kitu! Hebu ona, daraja la tanzanite, daraja la Busisi, Meli 2 za ziwa Victoria (1 ukarabati 1 mpyaaaaa), Meli mpya ziwa Nyasa, utitiri wa ndege za ATCL, Bwawa la umeme, SGR, Flyover kila mahali, Bomba la mafuta kutoka Uganda n.k. Hakika JPM asilinganishwe na takataka!
Siwezi kuelezea mambo yote aliyoyafanya mzee wetu mstaafu mh. sana Jakaya Mrisho Kikwete, leo napenda kuorodhesha baadhi ya barabara za lami alizojenga ktk kipindi cha uongozi wake. Nafanya hivi pengine kuwakumbubusha au kuwajulisha kwa wale ambao hawafahamu maana kuna sijui vitoto au watu wazima kwa makusudi wanamkejeli Kikwete kana kwamba hakuna lolote ila Magufuli ndiyo kafanya mambo mengi.
Watu wamejaa uwongo na upotoshaji wa hovyo. Kwa taarifa yenu Magufuli hakuna miradi ya maana alikamilisha, isipokuwa michahe sana ambayo baadhi nitaitaja vilevile.
Mzee Kikwete alijenga mitandao ya barabara zifuatazo:
Mwanza-Geita-Bukoba
Nzega-Tabora
Manyoni-Itigi-Tabora
Dodoma-Iringa
Singida-Babati-Minjingu
Minjingu-Arusha
Arusha-Namanga
Babati-Kondoa-Dodoma
Songea-Namtumbo-Tunduru-Nanyumbu-Masasi
Tanga-Mkinga-Horohoro
Himo-Holili
Himo-Marangu-Rombo-Tarakea
Songea-Mbinga
Mbeya-Sumbawanga
Sumbawanga-Mpanda
Bagamoyo-Msata
Tinde-Isaka-Kahama-Kasamwa-Ngara
Mwanza-Musoma
Baadhi ya miradi aliyokamilisha JPM
Kijazi Interchange
Mhaville Flyover
Mbezi Louis Bus Terminal
Barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi
Stand kuu ya mabasi nanenane-Dodoma
Chato International Airport
Miradi mingine mingi aliiacha chini ya 50%, SGR Dar-Moro nafikiri kwenye 80%
Anatokea mtu anasema Kikwete hajafanya kitu ila Hayati Magufuli, kiukweli Magufuli alikamilisha mambo machache sana, na hii inatokana na ukweli kuwa hakuwa na mipango mizuri, alikuwa anaanzisha miradi kwa pupa na kwa sifa ndiyo hiyo inamtesa mama mpaka sasa.
Hata yeye nafikiri anashukuru Mungu amemficha asingeweza kuikamilisha, alishaharibu mahusiano ya kimataifa pesa angepata wapi? Wajinga humu watanitukana ila message sent and delivered na ndiyo ukweli ambao wenye akili wanaujua. Huyu Rais wetu wa sasa Dr. Samia Suluhu Hassan ana akili nyingi sana, ni mjanja sana ndiyo maana anafanya maajabu makubwa usiyoweza kuyaamini. Ndiyo Rais atakayekuja kuvunja rekodi zote zilizopita, tuombeni uzima tufike 2030 tutajionea.
Mpaka sasa hivi ameshakaribia kuikamilisha miradi yote mikubwa sana ya kimkakati ya matrilioni ya pesa aliyoanzisha Magufuli kwa pupa ambayo yeye mwenyewe asingeweza kuikamilisha.
Kila eneo huyu Rais ni wonders, mi siyo chawa wala siko kwenye mambo ya siasa hata sifahamiki kokote, ila nina viungo vya kuona na kusikia.
Nimepanga siku nirushe baadhi ya mambo ambayo ameshayafanya ndani ya miaka hii miwili na ushee aliyohudumu.
Kila mtu ataandika hadithi yake Mungu amlinde rais wetu atakuja kuandika hadithi ndefu isiyo kifani.
Tunamshukuru sana Hayati Magufuli Kwa uzalendo wake. Unaachaje kumtaja waziri wa miundo mbinuSiwezi kuelezea mambo yote aliyoyafanya mzee wetu mstaafu mh. sana Jakaya Mrisho Kikwete, leo napenda kuorodhesha baadhi ya barabara za lami alizojenga ktk kipindi cha uongozi wake. Nafanya hivi pengine kuwakumbubusha au kuwajulisha kwa wale ambao hawafahamu maana kuna sijui vitoto au watu wazima kwa makusudi wanamkejeli Kikwete kana kwamba hakuna lolote ila Magufuli ndiyo kafanya mambo mengi.
Watu wamejaa uwongo na upotoshaji wa hovyo. Kwa taarifa yenu Magufuli hakuna miradi ya maana alikamilisha, isipokuwa michahe sana ambayo baadhi nitaitaja vilevile.
Mzee Kikwete alijenga mitandao ya barabara zifuatazo:
Mwanza-Geita-Bukoba
Nzega-Tabora
Manyoni-Itigi-Tabora
Dodoma-Iringa
Singida-Babati-Minjingu
Minjingu-Arusha
Arusha-Namanga
Babati-Kondoa-Dodoma
Songea-Namtumbo-Tunduru-Nanyumbu-Masasi
Tanga-Mkinga-Horohoro
Himo-Holili
Himo-Marangu-Rombo-Tarakea
Songea-Mbinga
Mbeya-Sumbawanga
Sumbawanga-Mpanda
Bagamoyo-Msata
Tinde-Isaka-Kahama-Kasamwa-Ngara
Mwanza-Musoma
Baadhi ya miradi aliyokamilisha JPM
Kijazi Interchange
Mhaville Flyover
Mbezi Louis Bus Terminal
Barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi
Stand kuu ya mabasi nanenane-Dodoma
Chato International Airport
Miradi mingine mingi aliiacha chini ya 50%, SGR Dar-Moro nafikiri kwenye 80%
Anatokea mtu anasema Kikwete hajafanya kitu ila Hayati Magufuli, kiukweli Magufuli alikamilisha mambo machache sana, na hii inatokana na ukweli kuwa hakuwa na mipango mizuri, alikuwa anaanzisha miradi kwa pupa na kwa sifa ndiyo hiyo inamtesa mama mpaka sasa.
Hata yeye nafikiri anashukuru Mungu amemficha asingeweza kuikamilisha, alishaharibu mahusiano ya kimataifa pesa angepata wapi? Wajinga humu watanitukana ila message sent and delivered na ndiyo ukweli ambao wenye akili wanaujua. Huyu Rais wetu wa sasa Dr. Samia Suluhu Hassan ana akili nyingi sana, ni mjanja sana ndiyo maana anafanya maajabu makubwa usiyoweza kuyaamini. Ndiyo Rais atakayekuja kuvunja rekodi zote zilizopita, tuombeni uzima tufike 2030 tutajionea.
Mpaka sasa hivi ameshakaribia kuikamilisha miradi yote mikubwa sana ya kimkakati ya matrilioni ya pesa aliyoanzisha Magufuli kwa pupa ambayo yeye mwenyewe asingeweza kuikamilisha.
Kila eneo huyu Rais ni wonders, mi siyo chawa wala siko kwenye mambo ya siasa hata sifahamiki kokote, ila nina viungo vya kuona na kusikia.
Nimepanga siku nirushe baadhi ya mambo ambayo ameshayafanya ndani ya miaka hii miwili na ushee aliyohudumu.
Kila mtu ataandika hadithi yake Mungu amlinde rais wetu atakuja kuandika hadithi ndefu isiyo kifani.
Eti kaweka na Musoma-Mwanza, hata hajui imejengwa lini huyu!Manyoni- Itigi-Tabora, 2015 December,nimepita ikiwa ni vumbi barabara yote,..kama hili umedanganya,ninaamini zipo barabara nyingi umetaja kwa kudanganya maana lengo lako ni kumpaisha mtu flani dhidi ya mwingine..
Kwa kuwa unajua upo uwezekano wa sisi sote tulioko humu, hatukupita kwenye barabara zote ulizotaja hadi kufikia November 2015, unadhani utatudanganya kirahisi tu
Hata ya Mwanza-Musoma ni kamba!Manyoni- Itigi-Tabora, 2015 December,nimepita ikiwa ni vumbi barabara yote,..kama hili umedanganya,ninaamini zipo barabara nyingi umetaja kwa kudanganya maana lengo lako ni kumpaisha mtu flani dhidi ya mwingine..
Kwa kuwa unajua upo uwezekano wa sisi sote tulioko humu, hatukupita kwenye barabara zote ulizotaja hadi kufikia November 2015, unadhani utatudanganya kirahisi tu
Njombe Makete imeanza kipindi cha Kikwete Magufuli ameingia madarakani amewakuta wakandarasi wanaendelea na kaziWe mpuuzi unaleta ushindani usiokua na maana kujifanya Magu hakufanya chochote.
Njombe-Makete ile lami umeijenga wewe????
Barabara alizojenga unaemshabikia hazijamaliza hata miaka kumi zimefumuliwa zinajengwa upya.
Ref, Dodoma-Iringa
Kipindi hicho Hayati JPM alikuwa Waziri wa Ujenzi, ilipelekea siku moja hadi akateleza ulimi akasema BARABARA ZA LAMI TULIZOJENGA HAPA UKIZIHAMISHIA RWANDA NCHI YOTE INAKUWA LAMI WANAKOSA PA KULIMASiwezi kuelezea mambo yote aliyoyafanya mzee wetu mstaafu mh. sana Jakaya Mrisho Kikwete, leo napenda kuorodhesha baadhi ya barabara za lami alizojenga ktk kipindi cha uongozi wake. Nafanya hivi pengine kuwakumbubusha au kuwajulisha kwa wale ambao hawafahamu maana kuna sijui vitoto au watu wazima kwa makusudi wanamkejeli Kikwete kana kwamba hakuna lolote ila Magufuli ndiyo kafanya mambo mengi.
Watu wamejaa uwongo na upotoshaji wa hovyo. Kwa taarifa yenu Magufuli hakuna miradi ya maana alikamilisha, isipokuwa michahe sana ambayo baadhi nitaitaja vilevile.
Mzee Kikwete alijenga mitandao ya barabara zifuatazo:
Mwanza-Geita-Bukoba
Nzega-Tabora
Manyoni-Itigi-Tabora
Dodoma-Iringa
Singida-Babati-Minjingu
Minjingu-Arusha
Arusha-Namanga
Babati-Kondoa-Dodoma
Songea-Namtumbo-Tunduru-Nanyumbu-Masasi
Tanga-Mkinga-Horohoro
Himo-Holili
Himo-Marangu-Rombo-Tarakea
Songea-Mbinga
Mbeya-Sumbawanga
Sumbawanga-Mpanda
Bagamoyo-Msata
Tinde-Isaka-Kahama-Kasamwa-Ngara
Mwanza-Musoma
Baadhi ya miradi aliyokamilisha JPM
Kijazi Interchange
Mhaville Flyover
Mbezi Louis Bus Terminal
Barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi
Stand kuu ya mabasi nanenane-Dodoma
Chato International Airport
Miradi mingine mingi aliiacha chini ya 50%, SGR Dar-Moro nafikiri kwenye 80%
Anatokea mtu anasema Kikwete hajafanya kitu ila Hayati Magufuli, kiukweli Magufuli alikamilisha mambo machache sana, na hii inatokana na ukweli kuwa hakuwa na mipango mizuri, alikuwa anaanzisha miradi kwa pupa na kwa sifa ndiyo hiyo inamtesa mama mpaka sasa.
Hata yeye nafikiri anashukuru Mungu amemficha asingeweza kuikamilisha, alishaharibu mahusiano ya kimataifa pesa angepata wapi? Wajinga humu watanitukana ila message sent and delivered na ndiyo ukweli ambao wenye akili wanaujua. Huyu Rais wetu wa sasa Dr. Samia Suluhu Hassan ana akili nyingi sana, ni mjanja sana ndiyo maana anafanya maajabu makubwa usiyoweza kuyaamini. Ndiyo Rais atakayekuja kuvunja rekodi zote zilizopita, tuombeni uzima tufike 2030 tutajionea.
Mpaka sasa hivi ameshakaribia kuikamilisha miradi yote mikubwa sana ya kimkakati ya matrilioni ya pesa aliyoanzisha Magufuli kwa pupa ambayo yeye mwenyewe asingeweza kuikamilisha.
Kila eneo huyu Rais ni wonders, mi siyo chawa wala siko kwenye mambo ya siasa hata sifahamiki kokote, ila nina viungo vya kuona na kusikia.
Nimepanga siku nirushe baadhi ya mambo ambayo ameshayafanya ndani ya miaka hii miwili na ushee aliyohudumu.
Kila mtu ataandika hadithi yake Mungu amlinde rais wetu atakuja kuandika hadithi ndefu isiyo kifani.
Mmoja katawala miaka 10 na mwingine miaka 5 tu,unawezaje kuwalinganisha.Ungeweza kuwaweka kwa mzania mmoja uwapime kama na huyu mwingine angetawala kwa miaka 10 na hizo alizoanzisha akashindwa kuzimaliza kwa kipindi hicho.JK alijenga Barabara zikakamilika,Kuna yule mwingine eti yeye alikuwa anaanzisha [emoji16][emoji16]
Miradi aliyokamilisha nadni ya miaka 10 Iko wapi?Mmoja katawala miaka 10 na mwingine miaka 5 tu,unawezaje kuwalinganisha.Ungeweza kuwaweka kwa mzania mmoja uwapime kama na huyu mwingine angetawala kwa miaka 10 na hizo alizoanzisha akashindwa kuzimaliza kwa kipindi hicho.
Oh sorry,kumbe ni mwingine.Nilidhani ni huyu wa awamu ya tano.Sina jibu sababu simfahamu 'huyo mwingine'Miradi aliyokamilisha nadni ya miaka 10 Iko wapi?