How mkuuAfadhali maana tulikua tunaishi kwa mashaka mno.
Dawa ya deni ni kulipa. Lipa deni mkuu.Madeni wanayotudai inakuwaje?
Kesi ya Lisu ipo palepaleKampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.
Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
View attachment 3162159
Ndo imetoka hiyo.Madeni wanayotudai inakuwaje?
Hawajakwepa kitu 🤣Nyash
Oyaa, nyash tenaYas-pesa ukiweka kidogo herufi nyash yani bado wako mulemule 😁