Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

Mpuuzi mkubwa wewe, magari zaidi ya 200 kwa siku kwenda kufungua dispensary ya milioni 100 ni akili hiyo huku watu wanakufa kwa kukosa matibabu mpaka wanachangiwa na Malisa. Shame on you
Rais ni kiongozi mkubwa wa nchi lazima apewe heshima yake hata kama anaenda kuzindua darasa moja la shule ya vidudu
 
Sio Record ya kumuza uchumi na kumaliza umaskini?

Chawa mna shida gani lakini?

Deni la Taifa kwa mikopo tusioyoona kazi yake?
 
Punguzeni kuropoka.

Tangu march 2021 mpaka Leo July 2024 nchi imetulia na mambo yanaendelea vizuri .

Umeshiba zako magimbi unapayuka tu Kwa sababu ya kukosa malezi .

Nafasi ya urais ni ngumu kuliko mnavyofikiria.
Wanadhani uRais ni kitu kidogo sana. Hawajui tu.
 
Rais ni kiongozi mkubwa wa nchi lazima apewe heshima yake hata kama anaenda kuzindua darasa moja la shule ya vidudu
Wewe dada angu rudi FB kwa wanawake wenzio huku akili yako haitoshi, kwamba akienda na gari 4 au 5 atakuwa amevunjiwa heshima? jinga sn wewe
 
Punguzeni kuropoka.

Tangu march 2021 mpaka Leo July 2024 nchi imetulia na mambo yanaendelea vizuri .

Umeshiba zako magimbi unapayuka tu Kwa sababu ya kukosa malezi .

Nafasi ya urais ni ngumu kuliko mnavyofikiria.

..Mama Abduli angekuwa mpinzani angefika hapo, au hata bungeni?

..Ccm kuna kubebwa sana. Wengi hawana uwezo.
 
Sio Record ya kumuza uchumi na kumaliza umaskini?

Chawa mna shida gani lakini?

Deni la Taifa kwa mikopo tusioyoona kazi yake?
Umewahi kupata huduma ya SGR DSM to Dom ama DSM to Moro?

Au kuna ndugu yako yeyote kawahi kupata? au hata rafiki yako?

Hio ni kazi mojawapo ya mikopo
 
..Mama Abduli angekuwa mpinzani angefika hapo, au hata bungeni?

..Ccm kuna kubebwa sana. Wengi hawana uwezo.
Kama mnajidanganya endeleeni.

2025 pamanieni nafasi nyingine lakin Samia muacheni Kama alivyo maana hata kumtikisa hamtaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ