Wafuasi wa Rais
Senior Member
- May 31, 2023
- 151
- 147
- Thread starter
- #21
Rais ni kiongozi mkubwa wa nchi lazima apewe heshima yake hata kama anaenda kuzindua darasa moja la shule ya viduduMpuuzi mkubwa wewe, magari zaidi ya 200 kwa siku kwenda kufungua dispensary ya milioni 100 ni akili hiyo huku watu wanakufa kwa kukosa matibabu mpaka wanachangiwa na Malisa. Shame on you