Mtanzania mwingine apigwa risasi Afrika Kusini

Ushauri uliotoa ni mzuri sana, lkn ndugu zetu huwa hawapendi kushauriwa mambo ya maana kama haya.

Wanapenda uwashauri namna ya kula tunda kimasihara au njia za panya anazoweza kutumia kuingiza madawa ya kulevya katika nchi za watu.
 
Warundi mbona hawafi hovyo na kwasouth wanaaminika sababu wanajituma na wengi wako kihalali na work permit wao ni fasta wanapata, lazima watanzania tubadilike unakuta mtu analipuka tu kwenda south hajui hata akafanye nini
Nakwambia raia wa nchi zaidi ya 50 wako hapa na hawauwawi hovyo kwa sababu wanafanya kazi za mikono yao, wanatumia vyema akili zao. Ila wabongo, wazim na mashangani ndio majanga.

Wabongo kinachowaponza zaidi ni usela mavi wa manzese na mbagala.
 
Tusiwalaumu jamaa tu peke yao. Tujilaumu na sisi wenyew kwa kukosa kuwa na njia nyingine ya kujipatia rizki kihalali.
Sahihi kabisa , ukiona hadi unaingia kwenye anga za hao washika bunguki , "ama 7 phezulu" jua na wewe sio msafi .
Wabongo tujifunze njia ndefu za kutafuta maisha , sio illigal shorcuts
 
Hahaha ulichoongea ni kweli. Hii nchi unafursa nyingi kama utajua kuzitumia vyema fursa zilizopo utatoboa tu. Mbona wasomali wanatoboa kwa biashara mbali mbali.

Sasa mbongo hataki kazi ya mikono, na ukimpa duka auze anakutia ndimu ya macho kwa kukimbia na msingi wa duka.
 
Wabongo Wana sifa mbaya Sana Sauzi, wezi, vibaka, wauza unga, nk. Awaaminiki zaidi ya kukata viuno na kufungua chupa za bia hawana kingine.
Wasomali waethiopia wakenya Nigeria dunia nzima wakienda ni kutafuta na kupeleka nchi mwao.
 
Watz wengi waliopo sauzi ni watu waliokimbia matukio bongo ya wizi Jamii inawasaka iwaue so sauzi ni kama chimbo wakifika huko ukutana na wazulu vichwa vibovu tabia zao ufanana na wabongo hawataki Kazi Wanataka shortcut.
 
Nimeweka kiti kabisa namsubiri yoyote mwenye ufahamu na ishu hii niliyoiandika.
Uyo jamaa ni msela angu tumekuwa naye mitaa ya sombetini tumeuza Sana bangi à.k.a mpepe au shada maeneo ya singida na mwanza wakati uo tunashafirisha kupitiya magari ya magazeti na mizigo.
Badae akapotea zake sauzi
R.I.P my G😭😭😭
 

Huyu dogo sijui nini kimemkuta maana Brother ake mkongwe hapo kitambo na nina uhakika ana ramani na address zote za J'berg.
 
Mnaenda south nendeni, si Wala kufikilia na ndugu zetu wamendoka na makaburu toka mwaka 1993, wameondoka huku solomoni malangu wameolewa na kuzaa, wapo waliotelekezwa kuachwa kwenye mataa, na waliondoka nao, na mwezi wa sita ndugu zetu wanakuja Ila hatuwazi kwenda nao, tumezoea michunga kule unapata wapi.[emoji16]
 
Makaburu walikuwa sahihi, huwezi ishi na watu primitives mkaenda sawa.
Kweli kabisa mkuu. Lakini pia na ndugu zetu wabongo wanazingua sana ndo maana kila siku wanakufa wao tu.

Ushaona unaishi katika nchi ya watu wa aina gani kwahiyo ni vizuri kutafuta njia nzuri ya kuishi nao ili usidhurike.

Nimekuja Kaburu mwaka 2004 nikiwa dogo tu. Ila mpaka leo sijawahi kudhuriwa kwa sababu najua jinsi ya kuishi na watu wa aina zote.

Hapa nilipokaa naandika sasa hivi niko na jamaa zangu wasouth afrika tunapiga story huku naandika na hawanifanyi chochote, wanacheka cheka tu wenyew na mambo yao.
 
Wabongo upeleka uselemavi wanaiga wenyeji
Kata K, leso nyuma linaning'inia, sigara yake mkononi anadundika mwenyew anaona ujanja kwamba anaweza kumpiga mtu yoyote ndole aondoke na sim. Matokeo yake sim anaiacha anaondoka yeye duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…