Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Pole,Salaam wanajukwaa, nimekua nikitafakar maisha miez mitatu ijayo binafs Niko kwenye utalii Hali ni mbaya sana Lakin ni kila mahali, naombeni mawazo wazee tunafanyaje Familia ziendelee kupata milo mitatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariakoo nyumba nayofanyia shughuli zangu kwa juu ilikuwa hotel mmiliki kafunga hotel kabadilisha vitasa kaondoa mpaka walinzi,huo ni ushuhuda mmoja na hotel nyingine lazima wataiga hatua hii hawawezi ku-survive kwa kuuza chai na ubwabwa huku wakiendelea kulipa licence wasizozifanyia kazi.Hujaelewa hata anachoongelea umekurupuka kujibu, anaongelea uchumi, we unaongelea hisia zako za kishetani.
CO----CORONASalamu wanajukwaa ,,, Nina swali tafadhali hivi kirefu cha neno covid_19 nin !?[emoji2969]
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam wanajukwaa, nimekua nikitafakar maisha miez mitatu ijayo binafs Niko kwenye utalii Hali ni mbaya sana Lakin ni kila mahali, naombeni mawazo wazee tunafanyaje Familia ziendelee kupata milo mitatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu wanajukwaa ,,, Nina swali tafadhali hivi kirefu cha neno covid_19 nin !?[emoji2969]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣Baba Mungu kamuumba kila Mja na Rizq yake! Hamad Ally - Seneida View attachment 1435794
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole,
1st step adjusts, milo mitatu ibaki kwa watoto tuu,the rest ni mwendo wa kuwasindikiza Waislamu, futari ya saa 12:00 hadi kesho yake 12:00 jioni
P
Wenzako walianza miaka mingi, Ni tiba kuu.Kuna wakati unatoa point, PM. Hii na mimi naichukua.
Na wewe pia hujaelewa kama Mimi! Hawatakiwi kususa kuna jambo la kufanya, kwani kwa mzee Baba kule Zimbabwe walipoona mambo yanaenda kombo walifanyaje?Basi ata wewe hujaelewa kinacho endelea..tatizo jiwe hashauriki mkuu sasa unafanyaje kama mtu unae mshauri ni mbish?
Wenzako walianza miaka mingi, Ni tiba kuu.
Bora tu shoga uue hao!Katika Nchi nyingi hata Huko uchina huu ugonjwa umeua sana wanaume kuliko wanawake, hata Katika nchi ya marekani wengi wanaokufa ni wanaume
Nini siri ya Corona?
Si tutabaki masingo maza tupu jamaniBora tu shoga uue hao!
Bora tu shoga uue hao!
Wanaume WA sasa hamuwezi hayo makitu, zamani mwanaume mmoja hata wanawake kumi anaweza kuhandle tu bila shida
Mama watu tumekua tunakula ugari wa mtama,kisamvu,maziwa, maboga ,nk,4-6 kawaida, usihofu,majabari tupoWanaume WA sasa hamuwezi hayo makitu, zamani mwanaume mmoja hata wanawake kumi anaweza kuhandle tu bila shida