Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Pole,Salaam wanajukwaa, nimekua nikitafakar maisha miez mitatu ijayo binafs Niko kwenye utalii Hali ni mbaya sana Lakin ni kila mahali, naombeni mawazo wazee tunafanyaje Familia ziendelee kupata milo mitatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
1st step adjusts, milo mitatu ibaki kwa watoto tuu,the rest ni mwendo wa kuwasindikiza Waislamu, futari ya saa 12:00 hadi kesho yake 12:00 jioni
P