technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Imewaonya watu wote wanaotumia madawa ambaya hayajapitishwa na wataalamu wa afya kuwa uenda wakapa matatizo kupitia dawa hizo imesema mpaka sasa hakuna dawa inayoweza kutibu corona watu waache mara moja kutumia dawa ambazo ni hatari kiafa.
Sasa sisi wanyonge tumuamini nani Nyungu, Kujifukiza, Za Madagascar au malimao na tangawizi? wizara imesema hakuna dawa mpaka sasa na tuwapuuze.
My Take: 'Nchi ipo njia panda'

Dawa ingetoka kwa Trump ungeamini ila inatoka kwa muafrika(Madagascar) mwenzako umuamini.NCHI YA VIONGOZI WAROPOKAJI KILA MMOJA ANASEMA AWEZAVYO
HAWAJUI WANATUCHANGANYA SISI WANANCHI
Kila mtu amsikilize anayemtaka 😂😂Huku Rais anaagiza dawa Madagascar. Tufuate la nani ?
Wizara ya afya haijawahi kuwataka watu wajifukize ujueDuh viongozi wakuu wanasema hichi
Nyie mnamsema kile... Wengine Sahv wanajifukiza
Mbona Miluzi ni mingi mnawapoteza watu sasa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaemuamini.Imewaonya watu wote wanaotumia madawa ambaya hayajapitishwa na wataalamu wa afya kuwa uenda wakapa matatizo kupitia dawa hizo imesema mpaka sasa hakuna dawa inayoweza kutibu corona watu waache mara moja kutumia dawa ambazo ni hatari kiafa.
Sasa sisi wanyonge tumuamini nani Nyungu, Kujifukiza, Za Madagascar au malimao na tangawizi? wizara imesema hakuna dawa mpaka sasa na tuwapuuze.
My Take: 'Nchi ipo njia panda'