#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Imewaonya watu wote wanaotumia madawa ambaya hayajapitishwa na wataalamu wa afya kuwa uenda wakapa matatizo kupitia dawa hizo imesema mpaka sasa hakuna dawa inayoweza kutibu corona watu waache mara moja kutumia dawa ambazo ni hatari kiafa.

Sasa sisi wanyonge tumuamini nani Nyungu, Kujifukiza, Za Madagascar au malimao na tangawizi? wizara imesema hakuna dawa mpaka sasa na tuwapuuze.

My Take: 'Nchi ipo njia panda'
 
Wanatuchanganya sana,tuko busy kupiga nyungu na tumepewa tumaini kuwa dreamliner litaenda Madagascar kubeba tiba ya Corona!Sasa inamaana tusikilize wizara au tumsikilize Rais?Full confusion!
 
Naamini Madagascar ingelikuwa ni Nchi ya Wazungu basi Waafrika kama wewe musingeandika ujinga kama huu.

Lakini kwavile Madagascar ni Waafrika basi hamtokaa muamini wanachokisema ingawa imeprove right kuwa wagonjwa wao wa Corona wamepona kupitia dawa asili yao wanayoitumia.

Haya subiri Mzungu akutangazie dawa
 
Weka source au kamdanganye mwanao
Imewaonya watu wote wanaotumia madawa ambaya hayajapitishwa na wataalamu wa afya kuwa uenda wakapa matatizo kupitia dawa hizo imesema mpaka sasa hakuna dawa inayoweza kutibu corona watu waache mara moja kutumia dawa ambazo ni hatari kiafa.

Sasa sisi wanyonge tumuamini nani Nyungu, Kujifukiza, Za Madagascar au malimao na tangawizi? wizara imesema hakuna dawa mpaka sasa na tuwapuuze.

My Take: 'Nchi ipo njia panda'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote waliokaa kikao hicho wanakula mkwaju soon, hawana kazi atawafukuza
Imewaonya watu wote wanaotumia madawa ambaya hayajapitishwa na wataalamu wa afya kuwa uenda wakapa matatizo kupitia dawa hizo imesema mpaka sasa hakuna dawa inayoweza kutibu corona watu waache mara moja kutumia dawa ambazo ni hatari kiafa.

Sasa sisi wanyonge tumuamini nani Nyungu, Kujifukiza, Za Madagascar au malimao na tangawizi? wizara imesema hakuna dawa mpaka sasa na tuwapuuze.

My Take: 'Nchi ipo njia panda'
 
NCHI YA VIONGOZI WAROPOKAJI KILA MMOJA ANASEMA AWEZAVYO
HAWAJUI WANATUCHANGANYA SISI WANANCHI
 
Dawa ingetoka kwa Trump ungeamini ila inatoka kwa muafrika(Madagascar) mwenzako umuamini.
 
Nadhani wizara inamaanisha Watanzania wasidanganywe na yule mzushi na mwongo mbobezi aliyejificha Chato!
 
Hili ni ombi langu kwenu , achaneni na wapotoshaji wazalendo , miluzi mingi hupoteza Mbwa.

Jikingeni na virusi vya gonjwa hatari la Corona kwa kufuatilia ushauri wa WHO kama raia wa Mataifa mengine yaliyostaarabika wanavyofanya.

Mkifuata ushauri wa kishirikina mtapukutika bila huruma .

Majuto ni Mjukuu
 
Imewaonya watu wote wanaotumia madawa ambaya hayajapitishwa na wataalamu wa afya kuwa uenda wakapa matatizo kupitia dawa hizo imesema mpaka sasa hakuna dawa inayoweza kutibu corona watu waache mara moja kutumia dawa ambazo ni hatari kiafa.

Sasa sisi wanyonge tumuamini nani Nyungu, Kujifukiza, Za Madagascar au malimao na tangawizi? wizara imesema hakuna dawa mpaka sasa na tuwapuuze.

My Take: 'Nchi ipo njia panda'
Unaemuamini.
 
Back
Top Bottom