technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Imewaonya watu wote wanaotumia madawa ambaya hayajapitishwa na wataalamu wa afya kuwa uenda wakapa matatizo kupitia dawa hizo imesema mpaka sasa hakuna dawa inayoweza kutibu corona watu waache mara moja kutumia dawa ambazo ni hatari kiafa.
Sasa sisi wanyonge tumuamini nani Nyungu, Kujifukiza, Za Madagascar au malimao na tangawizi? wizara imesema hakuna dawa mpaka sasa na tuwapuuze.
My Take: 'Nchi ipo njia panda'
Sasa sisi wanyonge tumuamini nani Nyungu, Kujifukiza, Za Madagascar au malimao na tangawizi? wizara imesema hakuna dawa mpaka sasa na tuwapuuze.
My Take: 'Nchi ipo njia panda'