Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo tuwashukuru viongozi kwa kutuhakikishia hakuna maambukizi mapya?
Tunatakiwa kuwaamini wanao hudumia hosipitali ambako wagonjwa hupokelewa na siyo watu wa mitaani.Ukiisikiliza serekali unaona corona imeisha ukiingia page ya mange/kigogo/coronavirus Tanzania unajikuta akili inarudi unakumbuka kuchukua Tahadhari.
Ughwe ukuti fiki!Tufwile mwe, tukupela ikisa
mkuu wa nchi ndio kaharibu , kuingilia mambo ya wataalam mwishowe takwimu hamna na watu wanarelax
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata serikali nayo imepiga marufuku watu kuzikwa usikuHaki ya maeneo mengi Dar yameanza kurudi kama ilivyokuwa mwezi wa 12 (Desemba) mwaka jana, watu wengi wamevua barakoa na walioweka ndoo za maji ya kuosha mikono nao wameziondoa au kama zipo hazina maji.
Biashara ya barakoa nayo Haina wateja kwa sasa baada ya watu kupata taarifa nzuri toka kwa viongozi, hapa naomba niwapongeze kwa kuimaliza Corona haraka sana kukiwa na vivo 16 tu, pongezi kwenu.