NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
bado,atakaa sana tena minataka azidi kukaa chato sana ili mzidi kuumiaSiku 50+ huko aliko bado anajifunza Kuishi nao? Mwambieni arudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado,atakaa sana tena minataka azidi kukaa chato sana ili mzidi kuumiaSiku 50+ huko aliko bado anajifunza Kuishi nao? Mwambieni arudi
Tangu nikiwa mdogo najua Corona ni mashine ya kufua mkonge na gari TOYOTA corona modeli ya miaka ya sitini mpaka sabini kabla ya TOYOTA Corolla na ni taji la binti mfalme.
Kwa hiyo ninachokiona ndiyo kiashilio kuwa ilitangazwa Corona imeisha!
Tatizo, ukisema sana utaonekana mbaya.Mtu anapenda kuchukua tahadhari lakini wanaomzunguruka wameacha! Maeneo mengi zimebaki ndoo bila maji na sabuni baada ya kusikia hakuna maambukizi na vifo vipya.
Imani ya mtu hauwezi kumchagulia, unachokitaka wewe kuna mtu akikiona atakikashifu na mwingine atakisifia sana, vivyo hivyo na ndivyo tunavyozifuata dini.inategemea ni mbadala wa nini.mange kimambi ni wa kukuelekeza hali iliyopo tz kweli!!!
na umeridhika tu!!
Mwambie bwana wako aache kujificha. Leo siku ya 50 kajificha Chattle.Corona ni mafua tu Sema kuna watu walijazwa uwoga na media za Mabeberu
Kuna Tanzania mbili,Ile ya mitandaoni na hii halisi sasa hapo inabidi Halmashauri yako ya kichwa ifanye kazi Kweli kweli.Ukiisikiliza serekali unaona corona imeisha ukiingia page ya mange/kigogo/coronavirus Tanzania unajikuta akili inarudi unakumbuka kuchukua Tahadhari.
Kwahiyo Mafua yanauwa wenye magonjwa nyemelezi? Walikuwepo wanaosema kama wewe Leo hata kuingiza kitu kinywani wanashindwa usimeze ujinga utakuwa mjinga na utakufa kijinga, huyo aliyekuaminisha kakimbia mji, mwambie arudi maana ni Mafua!Wachache waliofariki walikuwa na magonjwa nyemelezi mda mrefu
Ni kweli corona imeisha. Adui namba. 1 aliyebaki ni CHADEMA!
Na matumbo ya Mapolisi waoccm ni chama kinacho angalia matumbo yao
Sasa kwanini mmefunga shuleHakuna sehemu iliyosongamana kama Mbagala, fanyeni utafiti muone ya Corona uko, Kama kuna athari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu Rais Daud Bashite wameachia watu waache kunawa mikono wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani waambukizane kwa wingi wafe kwa wingi ili wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuHivi sasa watu wengi wameacha kuvaa barakoa, wanashikana miili na wachache wanaweka maji ya kuosha mikono. Harakati za jiji zimerudi kama ilivyokuwa mwaka jana na hii ni baada ya kusikia kauli za viongozi zikiashiria hakuna maambukizi mapya wala vifo. Tanzania tumefanikiwa kuishinda Corona ndani ya muda mfupi sana, hii ni rekodi nzuri na inabidi tuwapongeze viongozi wetu. Nikiangalia mitaani kwangu watu wameisahau Corona ndani ya siku chache na maisha yamerudi kama zamani.
Swali, nani ametangaza kuwa Corona imekwisha?