Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Siku 50+ huko aliko bado anajifunza Kuishi nao? Mwambieni arudiWHO washasema corona ni kama HIV kwa maana ugonjwa utakuwepo tu, pia washasema hauwezi isha leo wala kesho...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku 50+ huko aliko bado anajifunza Kuishi nao? Mwambieni arudiWHO washasema corona ni kama HIV kwa maana ugonjwa utakuwepo tu, pia washasema hauwezi isha leo wala kesho...
Chukua tahadhari,nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, epuka kushikana mikono, vaa barakoa, stay home.mkuu wa nchi ndio kaharibu , kuingilia mambo ya wataalam mwishowe takwimu hamna na watu wanarelax
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote ukikosa chanzo sahihi cha habari, lazima utafute chanzo mbadala.halafu unakuta mbaba mzima ana watoto anasomesha anamsikiliza mange na kigogo.
Huyu ni kiazi
tutapukutikaHivi sasa watu wengi wameacha kuvaa barakoa, wanashikana miili na wachache wanaweka maji ya kuosha mikono. Harakati za jiji zimerudi kama ilivyokuwa mwaka jana na hii ni baada ya kusikia kauli za viongozi zikiashiria hakuna maambukizi mapya wala vifo. Tanzania tumefanikiwa kuishinda Corona ndani ya muda mfupi sana, hii ni rekodi nzuri na inabidi tuwapongeze viongozi wetu. Nikiangalia mitaani kwangu watu wameisahau Corona ndani ya siku chache na maisha yamerudi kama zamani.
Swali, ndani ametangaza kuwa Corona imekwisha?
Kama ni mafua tu hao waliofariki wanhekuwepo saaa hivi.Corona ni mafua tu Sema kuna watu walijazwa uwoga na media za Mabeberu
Corona ni mafua tu Sema kuna watu walijazwa uwoga na media za Mabeberu
Mtu anapenda kuchukua tahadhari lakini wanaomzunguruka wameacha! Maeneo mengi zimebaki ndoo bila maji na sabuni baada ya kusikia hakuna maambukizi na vifo vipya.Chukua tahadhari,nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni,epuka kushikana mikono,vaa barakoa,stay home.
Chuykua tahadhari mwenyewe mzee unataka nani akuchukulie,kama ushajua hali ilivyo unasubiri nini tena,
inategemea ni mbadala wa nini.mange kimambi ni wa kukuelekeza hali iliyopo tz kweli!!!Siku zote ukikosa chanzo sahihi cha habari, lazima utafute chanzo mbadala.
Kama ni mafua tu hao waliofariki wanhekuwepo saaa hivi.
Haya sio mafua ni zaid ua mafua
Sent using Jamii Forums mobile app