Mzee brevis lina mafuta?
 
Kwa hiyo ukimwi umeisha mpaka sasa?
Maana kwa mtindo wako sijasikia watu wakiongelea hii kitu.
 
hawawezi kubali.hasa wazushi na kuizishia tanzania uongo kila media

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kufa mbona tulishatangaziwa siku nyingi sana na WHO embu jiulize zile siku zao na makisio ya maiti kuokotwa mtaani zimekuwaje?
Kama.huna Mungu shauri yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, hii si itakuwa ni mbinu tu ya mbuni kuficha kichwa ardhini ili kukwepa kuona ukweli katika hali halisi! Majanga kama haya hukabiliwa na njia za kisayansi tu na wala si vinginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna bwana mmoja nilimsikia akijinasibu kwamba hii korona inaweza kuwa kama magonjwa mengine kama HIV, malaria, TB ambayo tumeendelea kuishi nayo, kwa hiyo isiwatie hofu sana. Sasa nikajiuliza hivi kuishi na magonjwa kimekuwa kama kitu cha kujivunia, kiasi kwamba tupuuze njia za kuyatokomeza kisa tunaweza kujifunza kuishi nayo!?
 
I have to laugh and to take it as a joke.

A satire flinged at Magufuli and Trump perhaps?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasaka tonge tumejitangazia mkuu.[emoji2] Hatuwazii noma tena Aluta continua
 
Wote tumepona yamebaki mapapai na mbuzi ndo bado kupona.
 
Hali ndiyo hiyo kama tunavyoshuhudia, tahadhari zimetelekezwa lakini viongozi wanasifiana kwa kuidhibiti Corona, mbona tumenyamaza wakati mitandao na vyombo vya habari vipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…