Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Mzee brevis lina mafuta?Nimekaa nikatafakari kwa kina sana, nikagundua kwamba, dawa ya ugonjwa kama Corona inaweza ikawa ni kutouzungumzia kabisa, utashangaa ugonjwa unayeyuka wenyewe na hata wagonjwa wanapotea kabisa, hii phenomena bado naifanyia utafiti, nitatolea andiko la kina sana.