Kabla ya kurudisha watoto shule, Wazazi wasainishwe fomu kama za Theater... Kwamba liwalo na liwe.. Mtt akirudi kwenye 'kabati' sawa, akirudi mzima, OK


Ili wale wazazi wenye kitete, wanao wapenda sana watoto wao wa dawa, waendelee kukaa nao nyumbani.. Na sie wazazi tunaokaa na watoto wa kambo huku tukijiuliza hii mitoto itaondoka lini nyumbani irudi shule, tupatiwe fursa watoto warudi shule.
Hiyari yashinda utumwa.
Korona itaisha baada ya miezi 15 ijayo (kulingana na maoni ya Analyst ninayemuamini sana) sasa sijui itakuwaje!
 
Ugonjwa ulianza pole pole ukitokea jiji la Arusha kwa yule dada isabela
Ukafika zanzibar
hatimaye jiji la Dar

Mimi Naungana na mh Rais pamoja na mkuu wa mkoa wa dar

Tusitishane
Wagonjwa waliopimwa covid 19
Wamefikia 25 ripoti ya kifo ni mtu mmoja

Hofu ya corona inatoka wapi?

Leo tunaambiwa nchini Kenya wagonjwa wa covid 19 wamefikia 186, ripoti ya vifo ni mtu 1

Hofu inatoka wapi!?

Wengine wanalalamika Wizara iongeze vipimo vya kupima covid19
Ofu ya kelele hizo inatokana na nini?

Mbona mbaka sasa hatujasikia mripuko wa watanzania kufa kwa wingi kama italy au spain,,

Watanzania mbona tunapenda sana shobo. M, Mungu anawanyoosha wazungu kwa sababu DINI Awana na wala awana hofu ya Mungu,

Kwanini tunajitisha wenyewe kama wehu hivi. Tuendelee kuabudu mungu kwa nguvu zetu zote tuache kufuata mkumbo eti kwa sababu wazungu wanakufa kule kwa mamia,

Hivi dunia nzima inaamini watu wakinawa pombe sanitizer ndio salama ya kuepuka corona
Au wengine wanaamini sabuni na maji ndio kinga ya covid 19 kuliko kinga ya kumuamini Mungu mmoja kwa moyo wako wote bila kumshirikisha na chochote kile

Mm nawapa matumaini Watanzania corona sio tishio Tanzania japo tahadhari zichukuliwe lakini tusijengeane hofu kihivyo.

Kuweni na Aman moyoni mwenu.. Msiwe kama wazungu ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ujasikia kuwa cov 19 There's 1000+ case of corona which found in Tz ....and case is local transmission from one person to another. Hivyo shule mpaka mwezi wa 10
Hizi takwimu umeziokoteza wapi? Hata kukiwa na cases elfu 50!
Anything that affect less than 1% of population, is not out of proportion.
 
Si wote wenye simu mzee [emoji122]

Au simu zinazo support wengine wapo nanjilinji huko network zero

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kuna sehemu hakuna network, HALOTEL ndo mpango mzima hadi huko nanjilinji. Kuhusu simu, wananzo kama hana smart, sidhani kama kuna kijiji hakina mtu mwenye smart, watz ni wazalendo tunaazimana
 
Mkuu uwezekano wa watoto kusoma mwaka huu mpaka mwezi wa 10 .
Virusi vya Corona havina uwezo wa kuzaliana (fecundity rate) kiasi cha ku affect idadi kubwa ya watu kiasi hicho mnachokifikiria. That means hata kama Watanzania wote tutafungiwa kwenye chumba kimoja, hatuwezi wote kuambukizwa Corona! . Na mkiamua kuogopa, mwishowe mioyo itachomoka.
Kabla ya Corona mliogopeshwa sana kuhusu nzige.. Tukawaambia hao nzige hawana fecundity rate ya kuweza kuzaliana kiasi cha ku affect nchi nzima.. Sasa story ya nzige imeshapotea, sasa mnachezeshwa kwata na Corona!
Ikiisha CD ya Corona, mtaletewa kibao kingine.... So mtaendelea kuhishi kwenye hofu maisha yenu yote!
 

Jiandae kurudi chuo trh 20/4/2020. Inatosha muda ulio pumzika Tutaekdelea Na masomo huku tukiemdelea kujikinga Na korona. Mikakati ya kuthibiti iwekwe. Wizara iandae utaratibu madhubuti wa kujikinga masomo yaemdelee
Hatuwezi kuedekeza uoga huku tunaamgamia zaidi
 
zwazwa kweli, eti kenya wan kifo kimoja, inaonekana hufuatilii mambo pole sana, unayetea ibada za wakoloni ambazo kwao wamezipiga marufuku? sebuse hizi ambazo hazina dini? shamba kweli wewe
 
Samahani mkuu nimejikuta nacheka tu kwa nguvu juu ya bandiko lako.
 
Umesikia kauli ya waziri wa afya kuhusu korona aliyoitoa leo?
 
Hapa Busara sifuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…