Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Kabla ya kurudisha watoto shule, Wazazi wasainishwe fomu kama za Theater... Kwamba liwalo na liwe.. Mtt akirudi kwenye 'kabati' sawa, akirudi mzima, OK
Ili wale wazazi wenye kitete, wanao wapenda sana watoto wao wa dawa, waendelee kukaa nao nyumbani.. Na sie wazazi tunaokaa na watoto wa kambo huku tukijiuliza hii mitoto itaondoka lini nyumbani irudi shule, tupatiwe fursa watoto warudi shule.
Hiyari yashinda utumwa.
Korona itaisha baada ya miezi 15 ijayo (kulingana na maoni ya Analyst ninayemuamini sana) sasa sijui itakuwaje!