Shida mnakurupuka kujibu,week ya nne kanisani siendi mm,mnachoshindwa kuelewa ni hatari ya huu ugonjwa.....reasoning yenu ni mm kutokwenda kanisani mnadhani ndiyo mnanijibu......think outside the box kwenye hiyo mikusanyiko wote wana elimu nzuri juu ya Corona? Sawa siyo lazima kwenda unadhani kunatahadhari yoyote imechukuliwa,ninapokaa nakaa karibu na kanisa la Evangelist (Yale business za watu) tangu juzi wanakesha tu.....mmoja aliponiona napita nimevaa mask akaniita vitu alivyoniambia nivyakijinga jinga tu(hana elimu kabisa)
Sasa ni wangapi wanaakili ya kutohitaji sanitizer?