Mpaka sasa binafsi hata viongozi wa dini wa Tz sina hamu nao kabisa,kwa kuchanganya siasa na afya zetu........Ngara pekee ndiyo kuna viongozi wale walitoa ile barua jana,ila hawa wanaosukumwa na upepo wa kisiasa,hapana nimewadharau sana na PHD zao
Kusali ni hiari hulazimishwi kama hutaki.kwenda usiende unangoja askofu akwambie usiende au raisi akwambie uende kanisani au usiende? Imani ni mambo yako binafsi hulazimishwi na hakuna anayelazimisha MTU kwenda nyumba za ibada .Jiamulie mwenyewe
 
Watawala walio wengi hawajalitambua hili leo,wanajidanganya na majeshi yanayowalinda,na hakika CORONA ikichangamka ikaanza tafuna watoto na ndugu wa hao Askari Pengine na wao wenyewe na Uhakika Wananchi na Askari tutaongea lugha moja dhidi ya watala wabinafsi wasiojali usalama wa Raia #Muda utajaongea
 
Binafsi siwezi kukataa unalotabiri ila sio kwa Tanzania.
 

Nina uhakika 100%utabiri wako utatimia.
 
Kusali ni hiari hulazimishwi kama hutaki.kwenda usiende unangoja askofu akwambie usiende au raisi akwambie uende kanisani au usiende? Imani in.mambo yako binafsi hulazimishwi na hakuna anayelazimisha MTU kwenda nyumba za ibada .Jiamulie mwenyewe
Shida mnakurupuka kujibu,week ya nne kanisani siendi mm,mnachoshindwa kuelewa ni hatari ya huu ugonjwa.....reasoning yenu ni mm kutokwenda kanisani mnadhani ndiyo mnanijibu......think outside the box kwenye hiyo mikusanyiko wote wana elimu nzuri juu ya Corona? Sawa siyo lazima kwenda unadhani kunatahadhari yoyote imechukuliwa,ninapokaa nakaa karibu na kanisa la Evangelist (Yale business za watu) tangu juzi wanakesha tu.....mmoja aliponiona napita nimevaa mask akaniita vitu alivyoniambia nivyakijinga jinga tu(hana elimu kabisa)

Sasa ni wangapi wanaakili ya kutohitaji sanitizer?
 
Asante sana kwa kuona mbali.
 
Polisi wanaishi kwenye close quarters(police quarters), wajiandae. Kwanza wameshaanza baadhi yao kupoteza maisha.
 
...uko sahihi kwa hapa kwetu tz Corona imeonyesha jinsi tulivyo na vyama vya siasa vinavyojali kuchangiwa fedha vinapopata shida za kisiasa au mali na kubembeleza kura wakati wa uchaguzi lakini kwenye majanga Kama haya vinapiga kimya Kama havipo....mfano hakuna chama chochote kilichowaza kutengeneza barakoa ata kwa nembo ya chama husika na kuwagawia wananchi wote ili kuwanusuru na mlipuko wa Corona...wanasubili kampeni zifike watuletee misharti na mikofia yao...iyo mijezi yao utawasaidia Nini wananchi watakaokuwa wamepoteza wapendwa wao kwakukosa nyenzo za kujikinga.....
 
Umbeya huo Acha umbeya mtoto Wa kiume pambana na hali yako
 
Umbeya huo Acha umbeya mtoto Wa kiume pambana na hali yako
Nadhani nawewe ni mmoja ya wajinga kama hao,hiyo Bible mnasoma na kuchanganyikiwa,Mungu ametupa akili na maarifa ya kutafakari sasa hamtaki kutumia akili zenu,mtakanyaga sawa mafuta kwa akili hizi
 
Uzuri itakuua ww kwanza kwa hiyo hautajua kuwa unayoyatabiri yalitokea au hayakutokea kwa hiyo kazi buree bora usitabiri tu
 
Wanabodi,

Sio siri kuwa tangia dunia kupatwa na hili janga la ugonjwa huu wa Covid -19, hali ya uchumi wa dunia umeyumba na utaelendea kuyumba

Mataifa ya dunia ya kwanza mpaka sasa yanapitia changamoto kubwa za kiuchumi kutokana na janga hili

Kwa sasa nchi yetu ya Tanzania kwa njia moja au nyingine tumeanza kuona madhara ya ugonjwa huo (kiuchumi), kukosa mapato ya watalii, baadhi ya biashara kufungwa (kukosa kodi)

Sasa kama tukiwa kama wana JamiiForums, tutumie jukwaa hili kutoa maoni, mapendekezo, ushauri wa nini kifanyike ili kuokoa / kulinda uchumi wa taifa letu

Ni vizuri kama ushauri wetu ukasimama kwenye malengo ya hii mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…