Corona is REAL.Naunga mkono hoja
P
Lakini suala la Afya sio la Muungano mkuuMkuu, Mheshimiwa Ummy Mwalimu ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mheshimiwa Kassim Majaliwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mheshimiwa John Magufuli ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kuna tofauti kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Tanzania Bara.
Na Hamad Rashid Ni Waziri wa Afya wa Nchi ganiUmi Mwalim ndio waziri wa afya wa Tanzania ,
Tanzania =Tanaganyika(Tanzania bara) + Zanzibar.(Tanzania visiwani)
Kwa hiyo anahaki ya kufanya hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikujua kama una ujinga kiasi hiki. "Watu watengenezewe utaratibu na maisha yaendelee" TUNAOMBA HUO UTARATIBU BASI TUUFATE NA MAISHA YAENDE.Nilisema toka zamani kuwa kinachofanyika sasa hivi ni principals of natural selection by Darwinism kwamba the environment will create features which will tend to naturally select unfit organisms from the environment.
Carrying capacity ya nature imeelemewa kinachofanyika ss hivi ni kufagia uchafu wa mazingira na kubakia kilicho fit ndicho kinachoendeleza uhai
Wanasayansi hasa madaktari wamekosea sn kuwashauri wanasiasa Duniani kimsingi kufanya Lockdown ni kosa kubwa ambalo madaktari wa kipindi hiki watalaukia kizazi hadi kizazi
How could they suggest to lockdown 4.5billion people, ukifanya lockdown unaimmunocompromise watu yaani it is a highest level of stigmatization ever existed in the world
Watu wangetengenezewa utaratibu endelevu kwamba maisha yaende huku tukipambana pia na Corona
Mashaka,mashaka ya ....RAIS ANA MASHAKA NA BARAKOA, ANA MASHAKA NA UPULIZIAJI WA DAWA, YANA KWA UJUMLA ANA MASHAKA NA MBINU ZA SERIKALI ZA KUPAMBANA NA CORONA
Hiyo ya mashine ya kupulizia ni ujinga, sababu ukipata corona inakaa ndani ya mwili wako yaani kwenye mapafu ukipumua ndio mwingine ana pata, sasa unapulizia ili iwe nini?. ni ujinga mkubwa sana.Kasema kuna uwezekano wa hizo barakoa kuwa zinapandikizwa corona mbona baada ya matumizi idadi imepanda?
Ana mashaka hata na upulizaji wa madawa (fumigations) kunaweza kuwa kumetumika kupandikiza virusi na ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze, kuna haja tena ya kupuliza madawa?
Huyo ndio Rais wetu maarufu kama Jiwe! hajaribiwi hata kidogo.
Sasa lile agizo la kutaka kuvaliwa barakoa katika ofisi za umma, mabenki na daladala halina maana kwani barakoa haziaminiki tena na kwa nini watu wavae vitu wasivyo na uhakika kama ni salama?
Hayo ya kujipulizia madawa ya kuua mende, Rostam naye akachukue mamashine yake aliyofunga. Kwanza nani kamruhusu kufunga (hata kama ni Majaliwa) mbona yeye hana taarifa huko Chato mapumzikoni?
Haya sasa kwa wale mlio sema kakaa kimya sana! Kasema sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona Sasa GT wameingia!Ummi Mwalimu ni wazir wa Afya wa Tanganyika ZANZIBAR ni Nchi huru iliyojitawala na kuwa na kiti UN
Suala la Afya SI suala la Muungano Tanganyika wana uchu wa kuitawala ZANZIBAR kimabavu kambo ambalo hamyafanikiwa
Watanganyika ni wavamuzi tuu kama Muengereza alivyotuvamia
ZANZIBAR ina Rais
ZANZIBAR ina katiba
ZANZIBAR ina Mahaka
ZANZIBAR ina Wimbo wa Taifa
Muungano huu ni Muungano wa KIHUNI
Watanganyika siku zote wanatutukana na kuikejeli ZANZIBAR na sisi tunapo jitetea au kuunyoshea kidole udhalimu wao basi tunaozea Magerezani
WATANGANYUKA NI WAKOLONI WEUSI ambao ni wabaya mara 1000000000000
Kiliko wakolon wa kireno kuliko wakoloni wa kijerumani kuliko wakoloni wa kiengereza
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kaongea vituko vitupu! Mtu anawezaje kumeza mvuke wa 100 Celsius? Aanze yeye tumuone!Kasema kuna uwezekano wa hizo barakoa kuwa zinapandikizwa corona mbona baada ya matumizi idadi imepanda?
Ana mashaka hata na upulizaji wa madawa (fumigations) kunaweza kuwa kumetumika kupandikiza virusi na ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze, kuna haja tena ya kupuliza madawa?
Huyo ndio Rais wetu maarufu kama Jiwe! hajaribiwi hata kidogo.
Sasa lile agizo la kutaka kuvaliwa barakoa katika ofisi za umma, mabenki na daladala halina maana kwani barakoa haziaminiki tena na kwa nini watu wavae vitu wasivyo na uhakika kama ni salama?
Hayo ya kujipulizia madawa ya kuua mende, Rostam naye akachukue mamashine yake aliyofunga. Kwanza nani kamruhusu kufunga (hata kama ni Majaliwa) mbona yeye hana taarifa huko Chato mapumzikoni?
Haya sasa kwa wale mlio sema kakaa kimya sana! Kasema sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Miujiza baada ya maombi.. Wengine wamejivukiza mvuke wa mitishamba.. Hata mimi pia nimefanya hivyo
Jr[emoji769]
Wizara ya Afya imepigwa biti kukusanya Watu karantini Hostel za Magufuli badala ya kuachwa wachape kazi
Mie namuunga Mkono Rais nachapia kazi kijijini kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaopona ni wale wenye afya imara, kama kinga ya mwili haijatetereka corona akiingia atakutingisha kidogo ila mwisho utaibuka kidedea.... wala afya za kuedit hakuna namna ni kujificha tu kwa kweli.
Ndio maana wakasema tujifukize, nami pia nimefanya hivyo.