WHO wanaitambua Tanzania,sio ZanzibarWaziri ea Afya Bara,Da Ummy anajumuisha takwimu za Zanzibar anapotoa Taarifa za Korona .Wakati upande wa pili nako Kuna Waziri anafanya kazi hiyohiyo!?
Nawasilisha.
Tatizo lipo palepale mkanganyiko wa Muungano ndio unaoleta kizungumkuti ndio maana tume zote zilizoundwa kushughulikia kero za Muungano zilikuja na wazo la serikali tatuWHO wanaitambua Tanzania,sio Zanzibar
Kwa hiyo Ummy mwalimu lazima uchukue takwimu za bara na zanzibar ajumlishe ziende WHO,kama takwimu za Tanzania
ZANZIBAR ina serikali yakeeWewe, utakuwa mbaguzi. Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wetu Magufuli ni slow learner, uelewa wake uko taratibu mno na washauri wake ni waoga kupitiliza yaani hawawezi fungua midomo yao kumshauri rais kitu kuhusu corona, wao kila kitu anachosema rais wanashangilia na kupiga makofi ya pongezi
Mtakumbuka, hapo awali rais alibisha kwamba huu ugonjwa ni "kakoloona kagonjwa kadogo tu" hawezi kuzuia watu watoke nje
Watu wameendelea kupukutika, wanazikwa na serikali kimya kimya ndio rais ubongo wake umeshituka kidogo kwa kuanza kutoa njia za kutibu covid19 eti ni kujivukisha na mvuke... Hii imemuingia na kumstua kwamba corona ipo
Next time mpaka aje afikirie kwamba corona ni hatari na suluhisho ni lockdown watanzania tutakuwa tumekwisha! Corona inatutafuna kwa kasi
Inasikitisha sana unaumwa halafu unazungushwazungushwa bila sababu yoyote ilrWizara ya afya chukueni hatua mapema. Wagonjwa wenye dalili zifuatazo wanapata shida. Soon mteuzi wenu anaweza badili kalamu.
1. Wanao kohoa.
2. Wenye mafua.
3. Wenye shida ya kupumua.
Wasaidieni watu wapate tiba kamili sio kuwazungusha Mara.. Amana; Temeke; Sinza; Mlonganzila.. n.k. ikifikia hapo mgonjwa hupata stress na mwisho wa siku anakufa hata kama so kwa Korona.
Wakati huu wa Vita hii ngumu na Kirusi Covid ,Mambo yanakwenda Kasi kijamii,kisiasa,kiuchumi na kiusalama.Hakika hakuna anayejua ya kesho kws mtu mmoja mmoja Wala Taifa.
Jana niliuliza swali la kizushi,kuwa Kama sanitizer zinausanitize mwili ukiwa hai..zinashindwaje kusanitize maiti,then ifungiwe kwenye jeneza watu wamuage marehemu Kama kawaida huku eakizingatia kukaa mbalimbali!?
Magreater Thinker walichsngia wengine wakanikejeli...ila kwa kuwa sisi Darasa la Saba ...greti sinkers' tumevhinganya huku na Greater Thinkers wenyewe mtuvumilie tu!
Wakati mjadala mkali ukiendelea kuhusu Wataalamu wa Afya na Wakemia kuhusu Kirusi huyu mbaya leo Kuna swali limekuja kichwani...Hivi inakuwaje Waziri ea Afya Bara,Da Ummy anajumuisha takwimu za Zanzibar anapotoa Taarifa za Korona .Wakati upande wa pili nako Kuna Waziri anafanya kazi hiyohiyo!?
Nawasilisha.
Umeeleweka boss.Pamoja na majibu ya wadau hapo juu naomba kuongezea kidogo.
Ni kweli Afya sio jambo la muungano lakini TAKWIMU ni jambo la Muungano.
Anachotanganza Ummy Mwalimu ni ''takwimu za CoViD 19'' za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hivyo ni lazima zijumuishe maeneo yote ya jamhuri hiyo ikiwemo Zanzibar).
Anachotangaza Mh Hamad Rashid kimsingi anawatangazia Wazanzibari wenzake na pia analeta malighafi ya kuchanganya na idadi ya huku bara ili kupatikana takwimu z ugonjwa wa Corona za JMT anazozitangaza Ummy Mwalimu.
Unganisha hotuba yake na kuchomwa, kwa ghala la vifaa tiba kule Temeke.. Kuna kitu kinaendelea sio bure
Yeye mwenyewe hajawahi kuzivaaKasema kuna uwezekano wa hizo barakoa kuwa zinapandikizwa corona mbona baada ya matumizi idadi imepanda?
Ana mashaka hata na upulizaji wa madawa (fumigations) kunaweza kuwa kumetumika kupandikiza virusi na ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze, kuna haja tena ya kupuliza madawa?
Huyo ndio Rais wetu maarufu kama Jiwe! hajaribiwi hata kidogo.
Sasa lile agizo la kutaka kuvaliwa barakoa katika ofisi za umma, mabenki na daladala halina maana kwani barakoa haziaminiki tena na kwa nini watu wavae vitu wasivyo na uhakika kama ni salama?
Hayo ya kujipulizia madawa ya kuua mende, Rostam naye akachukue mamashine yake aliyofunga. Kwanza nani kamruhusu kufunga (hata kama ni Majaliwa) mbona yeye hana taarifa huko Chato mapumzikoni?
Haya sasa kwa wale mlio sema kakaa kimya sana! Kasema sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri sana. Lakini sijui kama litafanyiwa kazi kaka. Tuombe uzima
Corona ni janga la kimataifa, linapokuja swala la kimataifa hakuna Tanzania bara na Tanzania visiwani bali kuna Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo waziri wake ni Ummy.Lakini suala la Afya sio la Muungano mkuu
Kuwa na wasiwasi na Barakoda toka nje inatubidi tujiulize maswali mengi. Uzuri tu ni kuwa hizo allegations hazijalenga nchi specifically. Ila kilichotokea Jana ni Sawa na story za kiafrika za fulani anataka kuniloga au jirani ni mchawi. Kwa kawaida Wafrika wengi wakizeeka huwa hawaaminiki wengine. Mawazo yao ni kurogwa tu.Kasema kuna uwezekano wa hizo barakoa kuwa zinapandikizwa corona mbona baada ya matumizi idadi imepanda?
Ana mashaka hata na upulizaji wa madawa (fumigations) kunaweza kuwa kumetumika kupandikiza virusi na ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze, kuna haja tena ya kupuliza madawa?
Huyo ndio Rais wetu maarufu kama Jiwe! hajaribiwi hata kidogo.
Sasa lile agizo la kutaka kuvaliwa barakoa katika ofisi za umma, mabenki na daladala halina maana kwani barakoa haziaminiki tena na kwa nini watu wavae vitu wasivyo na uhakika kama ni salama?
Hayo ya kujipulizia madawa ya kuua mende, Rostam naye akachukue mamashine yake aliyofunga. Kwanza nani kamruhusu kufunga (hata kama ni Majaliwa) mbona yeye hana taarifa huko Chato mapumzikoni?
Haya sasa kwa wale mlio sema kakaa kimya sana! Kasema sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wavamizi ni hao waliotoka Oman mwaka 1840Ummi Mwalimu ni wazir wa Afya wa Tanganyika ZANZIBAR ni Nchi huru iliyojitawala na kuwa na kiti UN
Suala la Afya SI suala la Muungano Tanganyika wana uchu wa kuitawala ZANZIBAR kimabavu kambo ambalo hamyafanikiwa
Watanganyika ni wavamuzi tuu kama Muengereza alivyotuvamia
ZANZIBAR ina Rais
ZANZIBAR ina katiba
ZANZIBAR ina Mahaka
ZANZIBAR ina Wimbo wa Taifa
Muungano huu ni Muungano wa KIHUNI
Watanganyika siku zote wanatutukana na kuikejeli ZANZIBAR na sisi tunapo jitetea au kuunyoshea kidole udhalimu wao basi tunaozea Magerezani
WATANGANYUKA NI WAKOLONI WEUSI ambao ni wabaya mara 1000000000000
Kiliko wakolon wa kireno kuliko wakoloni wa kijerumani kuliko wakoloni wa kiengereza
Sent using Jamii Forums mobile app