#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Waziri ea Afya Bara,Da Ummy anajumuisha takwimu za Zanzibar anapotoa Taarifa za Korona .Wakati upande wa pili nako Kuna Waziri anafanya kazi hiyohiyo!?
Nawasilisha.
WHO wanaitambua Tanzania,sio Zanzibar
Kwa hiyo Ummy mwalimu lazima uchukue takwimu za bara na zanzibar ajumlishe ziende WHO,kama takwimu za Tanzania
 
WHO wanaitambua Tanzania,sio Zanzibar
Kwa hiyo Ummy mwalimu lazima uchukue takwimu za bara na zanzibar ajumlishe ziende WHO,kama takwimu za Tanzania
Tatizo lipo palepale mkanganyiko wa Muungano ndio unaoleta kizungumkuti ndio maana tume zote zilizoundwa kushughulikia kero za Muungano zilikuja na wazo la serikali tatu
Athari yake ndio hii kiuhalisia Ummy ni wazir wa Afya wa Tanganyika
Hamad Rashid wazir wa Afya wa ZANZIBAR
Na hakuna wazir wa Afya wa Muungano
Udhaifu huo ndio unawafanya watanganyika kujutwisha Hilo joho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimataifa inatambulika TANZANIA kwa hiyo tukitoa takwimu za Tanzania bara pekee zitaonekana kama ndio za Tanzania
 
Rais wetu Magufuli ni slow learner, uelewa wake uko taratibu mno na washauri wake ni waoga kupitiliza yaani hawawezi fungua midomo yao kumshauri rais kitu kuhusu corona, wao kila kitu anachosema rais wanashangilia na kupiga makofi ya pongezi

Mtakumbuka, hapo awali rais alibisha kwamba huu ugonjwa ni "kakoloona kagonjwa kadogo tu" hawezi kuzuia watu watoke nje

Watu wameendelea kupukutika, wanazikwa na serikali kimya kimya ndio rais ubongo wake umeshituka kidogo kwa kuanza kutoa njia za kutibu covid19 eti ni kujivukisha na mvuke... Hii imemuingia na kumstua kwamba corona ipo

Next time mpaka aje afikirie kwamba corona ni hatari na suluhisho ni lockdown watanzania tutakuwa tumekwisha! Corona inatutafuna kwa kasi

Utakuwa umeisha,
Sasa utachukuaje hatua wakati hautakuwapo? Marehemu wanachukua hatua siku hizi? self isolation ni muhimu kwako kabla ya kwisha ndo uchukue hatua,
 
Wizara ya afya chukueni hatua mapema. Wagonjwa wenye dalili zifuatazo wanapata shida. Soon mteuzi wenu anaweza badili kalamu.

1. Wanao kohoa.
2. Wenye mafua.
3. Wenye shida ya kupumua.

Wasaidieni watu wapate tiba kamili sio kuwazungusha Mara.. Amana; Temeke; Sinza; Mlonganzila.. n.k. ikifikia hapo mgonjwa hupata stress na mwisho wa siku anakufa hata kama so kwa Korona.
Inasikitisha sana unaumwa halafu unazungushwazungushwa bila sababu yoyote ilr
 
Wakati huu wa Vita hii ngumu na Kirusi Covid ,Mambo yanakwenda Kasi kijamii,kisiasa,kiuchumi na kiusalama.Hakika hakuna anayejua ya kesho kws mtu mmoja mmoja Wala Taifa.
Jana niliuliza swali la kizushi,kuwa Kama sanitizer zinausanitize mwili ukiwa hai..zinashindwaje kusanitize maiti,then ifungiwe kwenye jeneza watu wamuage marehemu Kama kawaida huku eakizingatia kukaa mbalimbali!?
Magreater Thinker walichsngia wengine wakanikejeli...ila kwa kuwa sisi Darasa la Saba ...greti sinkers' tumevhinganya huku na Greater Thinkers wenyewe mtuvumilie tu!
Wakati mjadala mkali ukiendelea kuhusu Wataalamu wa Afya na Wakemia kuhusu Kirusi huyu mbaya leo Kuna swali limekuja kichwani...Hivi inakuwaje Waziri ea Afya Bara,Da Ummy anajumuisha takwimu za Zanzibar anapotoa Taarifa za Korona .Wakati upande wa pili nako Kuna Waziri anafanya kazi hiyohiyo!?
Nawasilisha.

Pamoja na majibu ya wadau hapo juu naomba kuongezea kidogo.
Ni kweli Afya sio jambo la muungano lakini TAKWIMU ni jambo la Muungano.
Anachotanganza Ummy Mwalimu ni ''takwimu za CoViD 19'' za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hivyo ni lazima zijumuishe maeneo yote ya jamhuri hiyo ikiwemo Zanzibar).
Anachotangaza Mh Hamad Rashid kimsingi anawatangazia Wazanzibari wenzake na pia analeta malighafi ya kuchanganya na idadi ya huku bara ili kupatikana takwimu z ugonjwa wa Corona za JMT anazozitangaza Ummy Mwalimu.
 
wazanzibar wengi wanaouchukia muungano ni masalia ya waarabu coz muungano wa tanganyika na zanzibar ulikua na lengo la kudumisha udugu wetu wa kiasilia, coz 80% ya wazanzibar ni wabara walochukuliwa nyakati za utumwa.
 
Pamoja na majibu ya wadau hapo juu naomba kuongezea kidogo.
Ni kweli Afya sio jambo la muungano lakini TAKWIMU ni jambo la Muungano.
Anachotanganza Ummy Mwalimu ni ''takwimu za CoViD 19'' za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hivyo ni lazima zijumuishe maeneo yote ya jamhuri hiyo ikiwemo Zanzibar).
Anachotangaza Mh Hamad Rashid kimsingi anawatangazia Wazanzibari wenzake na pia analeta malighafi ya kuchanganya na idadi ya huku bara ili kupatikana takwimu z ugonjwa wa Corona za JMT anazozitangaza Ummy Mwalimu.
Umeeleweka boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watazungushwa alafu mwisho wa siku wataambiwa waende kwao wakajifukize.
 
Kasema kuna uwezekano wa hizo barakoa kuwa zinapandikizwa corona mbona baada ya matumizi idadi imepanda?
Ana mashaka hata na upulizaji wa madawa (fumigations) kunaweza kuwa kumetumika kupandikiza virusi na ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze, kuna haja tena ya kupuliza madawa?
Huyo ndio Rais wetu maarufu kama Jiwe! hajaribiwi hata kidogo.
Sasa lile agizo la kutaka kuvaliwa barakoa katika ofisi za umma, mabenki na daladala halina maana kwani barakoa haziaminiki tena na kwa nini watu wavae vitu wasivyo na uhakika kama ni salama?
Hayo ya kujipulizia madawa ya kuua mende, Rostam naye akachukue mamashine yake aliyofunga. Kwanza nani kamruhusu kufunga (hata kama ni Majaliwa) mbona yeye hana taarifa huko Chato mapumzikoni?
Haya sasa kwa wale mlio sema kakaa kimya sana! Kasema sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye mwenyewe hajawahi kuzivaa
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Kufuatia mwendelezo wa hatua za serikali kuhusiana na ugonjwa wa Corona nchini ikiwamo hotuba ya jana ya mheshimiwa rais, ni wazi sasa mheshimiwa anahitaji mawazo mbadala.

Mawazo mbadala hatayapata tokea kwa hao waliomzunguka wala hao wakuu wanaomzunguka ambao kwa sababu zilizo wazi wana matumbo yao yanayohofia tumbuzi.

Ilikuwa muhimu sana, kwa maslahi ya taifa hili mheshimiwa rais akakutana sasa na watu wengine wanaowasilisha mawazo tofauti, angalau kwa mazungumzo tu:

1. Baba Askofu Niwemugizi
2. Askofu Dr. Bagonza
3. Mheshimiwa Zitto Kabwe

Na wengine wa namna hiyo waliojipambanua kuwa hawana maslahi binafsi.

Mkuu watu hawa watakusaidia kuliokoa taifa hili. Kumbuka umoja ni nguvu.

Kwa nini Uganda waweze?

Wazo zuri sana. Lakini sijui kama litafanyiwa kazi kaka. Tuombe uzima

Tunaweza kuhitaji lifanyiwe kazi. Tuweke maslahi ya taifa mbele.

Watatu hawa wamejipambanua kuwa wanatosha sana kuwasilisha mawazo yaliyo mbadala kwa mheshimiwa rais na taifa hili likaipita salama changamoto hii.

Kwa pamoja tunaweza kujenga hili taifa.
 
Kasema kuna uwezekano wa hizo barakoa kuwa zinapandikizwa corona mbona baada ya matumizi idadi imepanda?
Ana mashaka hata na upulizaji wa madawa (fumigations) kunaweza kuwa kumetumika kupandikiza virusi na ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze, kuna haja tena ya kupuliza madawa?
Huyo ndio Rais wetu maarufu kama Jiwe! hajaribiwi hata kidogo.
Sasa lile agizo la kutaka kuvaliwa barakoa katika ofisi za umma, mabenki na daladala halina maana kwani barakoa haziaminiki tena na kwa nini watu wavae vitu wasivyo na uhakika kama ni salama?
Hayo ya kujipulizia madawa ya kuua mende, Rostam naye akachukue mamashine yake aliyofunga. Kwanza nani kamruhusu kufunga (hata kama ni Majaliwa) mbona yeye hana taarifa huko Chato mapumzikoni?
Haya sasa kwa wale mlio sema kakaa kimya sana! Kasema sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na wasiwasi na Barakoda toka nje inatubidi tujiulize maswali mengi. Uzuri tu ni kuwa hizo allegations hazijalenga nchi specifically. Ila kilichotokea Jana ni Sawa na story za kiafrika za fulani anataka kuniloga au jirani ni mchawi. Kwa kawaida Wafrika wengi wakizeeka huwa hawaaminiki wengine. Mawazo yao ni kurogwa tu.

Sasa Hii Tanzania iliyopo Kea msaada toka Enzi za Nyerere, kuanzia bulga, Yanga maarufu kama dona, condoms nk Leo tuje kweli ku question Barakoda...!!? Something somewhere is not right.
 
Ummi Mwalimu ni wazir wa Afya wa Tanganyika ZANZIBAR ni Nchi huru iliyojitawala na kuwa na kiti UN
Suala la Afya SI suala la Muungano Tanganyika wana uchu wa kuitawala ZANZIBAR kimabavu kambo ambalo hamyafanikiwa
Watanganyika ni wavamuzi tuu kama Muengereza alivyotuvamia
ZANZIBAR ina Rais
ZANZIBAR ina katiba
ZANZIBAR ina Mahaka
ZANZIBAR ina Wimbo wa Taifa

Muungano huu ni Muungano wa KIHUNI
Watanganyika siku zote wanatutukana na kuikejeli ZANZIBAR na sisi tunapo jitetea au kuunyoshea kidole udhalimu wao basi tunaozea Magerezani
WATANGANYUKA NI WAKOLONI WEUSI ambao ni wabaya mara 1000000000000
Kiliko wakolon wa kireno kuliko wakoloni wa kijerumani kuliko wakoloni wa kiengereza

Sent using Jamii Forums mobile app
Wavamizi ni hao waliotoka Oman mwaka 1840

Kiasili (kijografia) Zanzibar ni eneo la Tanganyika....mapande hayo ardhi (Unguja na Pemba) yalimeguka kutoka bara
 
Back
Top Bottom