Mabalozi wote wameshaenda kwenye nchi zao atumike ili iwejeNakumbuka msanii MwanaFA ni miongoni mwa watanzania wa mwanzo kabisa kujitangaza kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa Covid 19. Na baadaye RC Makonda alithibitisha hilo pale stendi kuu ya mabasi ya mikoani Ubungo alipozungumza na wananchi kuhusu athari za Corona.
Kwa kuwa mwanaFA amepona kabisa ni vema wizara ya afya ikamtumia kama balozi wa kuelimisha jamii na kuitoa hofu kwa kuiaminisha kwamba Covid 19 inapona.
Aunganishwe na Mrisho Mpoto kwenye zoezi la kuelimisha Umma linaloendelea.
Ni hayo machache,
Maendeleo hayana vyama!
Sent using Jamii Forums mobile app