evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Kwa hiyo hilo joto linaingiaje ndani ya mapafu na kuua hivyo vijidudu?Alisema mvuke unao Toka kwenye nyuzi joto Mia it means maji yalio chenshwa mpaka nyuzi joto Mia ule mosh Wake na mbona ni simple tu joto litakua Kali Ila hauto kudhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha ujinga,maji yakiwa na nyuzi joto Mia unadhani mvuke unaotoka hapo una nyuzi joto ngapi? Jaribu kufanya hivyo na huo ujinga wako uone Kama sura haitabadirika.mmekuwa wajinga hadi kupitilizaAlisema mvuke unao Toka kwenye nyuzi joto Mia it means maji yalio chenshwa mpaka nyuzi joto Mia ule mosh Wake na mbona ni simple tu joto litakua Kali Ila hauto kudhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kufanya hiyo kwenye mvuke wa degree mia Kama ulivyoshaukiwa uone chemical change inavyotokea mkuu
Hivi wizara ya afya ndo imesusa kutupatia updates? Anyway hiyo ilikuwa nje ya mada,Je hao wagonjwa 100+ wa Magufuli waliopona,ni miongoni mwa hao 284 au ni nje ya hapo?Wakuu jana tumemsikia mheshimiwa Rais wakati akizungumza na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kule nyumbani kwake Chato kuwa, wizara ya afya itoe takwimu sahihi za idadi ya watu wanaopona ili kuwatolea watu taharuki. Kwa mjibu wa Mh Rais idadi ya waliopona ni zaidi ya watu 100 ilihali wizara ya afya bado inautangazia umma ya kuwa waliopona ni 11 tu.
Wakuu ikumbukwe kuwa mlipuko huu ulizikumba kwa wakati mmoja nchi za ukanda wa Africa mashariki lakini mpaka Jana idadi ya waliopona Kenya walikuwa watu 85, Uganda 51 na Rwanda zaidi ya 100 huku Tanzania waliopona wakiwa ni wachache zaidi miongoni mwa majirani zetu.
Sasa basi wizara itoe data sahihi kama alivyopendekeza Mh Rais, lakini pia wizara ihakikishe inazuia aina yoyote ya tarifa inayoweza kuzua Taharuki , miongoni mwa taarifa hizo kama ile ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam akisema Kuwa watu wanapukutika hii si Sawa.. .
Wakuu tuchapeni kazi huku tukifaata maelekezo yanayotolewa na wataalamu wetu .
Rais wetu Mungu amsaidie,kuingia kitu chochote ndani ya nchi toka nje iwe mask au kitu chochote kinachoweza kuwaletea madhara watanzania tofasri yake ni moja tu.Serikali imeshindwa kaziKuwa na wasiwasi na Barakoda toka nje inatubidi tujiulize maswali mengi. Uzuri tu ni kuwa hizo allegations hazijalenga nchi specifically. Ila kilichotokea Jana ni Sawa na story za kiafrika za fulani anataka kuniloga au jirani ni mchawi. Kwa kawaida Wafrika wengi wakizeeka huwa hawaaminiki wengine. Mawazo yao ni kurogwa tu.
Sasa Hii Tanzania iliyopo Kea msaada toka Enzi za Nyerere, kuanzia bulga, Yanga maarufu kama dona, condoms nk Leo tuje kweli ku question Barakoda...!!? Something somewhere is not right.