Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili sio kweli, na unajua hivyo. Sayansi haiwezi ikawa ya nchi moja na isiwe na matumizi sehemu nyingine.Katika ugonjwa huu, hakuna garantee kwamba kila kitu kilichofanyika nchi moja kinaweza kufaa nchi nyingine na kufanikiwa. Hii ni vita yako peke yako na watu wako
Akili ndogo, je, unakubaliana na takwimu za nchi yako? Kwa nini watu wanalalama kwenye mtandao kuwa kila siku jiji linapeleka watu ktk eneo lililotengwa?/ndio uone Mungu alivyo wa ajabu!
Wale wenye uwezo kubwa zaidi, Marekani, ndio wanaoongoza kwa kuathirika.
Uwezo wao, utajiri, na utaalam hauja wasaidia sana.
Mkuu sisi silaha yetu ni kusema uongo otherwise kwa strategy zetu hizi tungewapiga gape kubwa sana/ndio uone Mungu alivyo wa ajabu!
Wale wenye uwezo kubwa zaidi, Marekani, ndio wanaoongoza kwa kuathirika.
Uwezo wao, utajiri, na utaalam hauja wasaidia sana.
Huwa nawachemshia kuku wangu majani ya mwarobaini.. aisee ule mvuke ni balaa.. ni mkali sanaJaribu kufanya hiyo kwenye mvuke wa degree mia Kama ulivyoshaukiwa uone chemical change inavyotokea mkuu
Mkuu acha watu wafate mawazo ya mkemia fake Kama wanadhani nyuzi joto 100 ni joto la kusogeza pua?Huwa nawachemshia kuku wangu majani ya mwarobaini.. aisee ule mvuke ni balaa.. ni mkali sana
Hahaha unaweza poteza receptors za harufu hivi hivi... wafanye kutulia yapoe..Mkuu acha watu wafate mawazo ya mkemia fake Kama wanadhani nyuzi joto 100 ni joto la kusogeza pua?
Mkuu soma vizuri na uelewe bandicoot langu.Akili ndogo, je, unakubaliana na takwimu za nchi yako? Kwa nini watu wanalalama kwenye mtandao kuwa kila siku jiji linapeleka watu ktk eneo lililotengwa?
Magu hakukosea kusema chlorine haina athari kivile dhidi ya corona virus bsli bacteria! Na pia hakukosea kusema pombe yaani alcohol kama methyl alcohol 70 % inakidhi zaidi ya chlorine! Pia hakukosea aliposema kufukiza ni tiba mbadala inayotumia joto la mvuke kupunguza kama sio kuondoa madhara ya mafua!Tuliona Rais Yahya Jameah aliwahi kusema kuwa ana dawa ya kutibu HIV
Leo tumesikia Raisi wa Madagascar naye kasema ana dawa ya kienyeji inatibu corona
Mimi nakubariana na mengi ambayo raisi Magufuli amekuwa akiyafanya kipindi hiki cha corona ila kuna mambo ambayo jana yamenifanya kutafakari.
Mfano kusema watu wasifungiwe siku 14 iwapo wakipimwa wakakutwa hawana corona, wataalam wanasema dalili za corona zinatofautina baina ya mtu na mtu kutegemea na kinga yake. Kwa wengine inaweza kutokea siku ya pili na kwa wengine inachukua mpaka siku 13.
Kusema kwaamba kupuliza Chlorine hakuui kirusi cha corona? Hapa pia nina shaka maana niliona anajaribu kuchambua field ya utabibu ambayo sina hakika kama anaimudu.
Pia nimegundua kuwa raisi wetu anapenda sana conspiracy theories.
Siungi mkono watu kufungiwa ndani na namuunga mkono,lakini ninadhani hili lingeendana na hatua muhimu naona kama analicukulia hili jambo kawaida. Huenda siku zijazo akasema shule zifunguliwe.
Mara nyingi kinachoponza Afrika muda mwingine ni kutumia pesa nyingi kuwasomesha wataalam na kuwaajiri tukawalipa mishahara mikubwa, halafu utendaji na maamuz yao ya kitaaluma yakaingiliwa na wanasiasa.
Being a man with a simple mind as you are how can you understand a mind of a genious?Yule jamaa huwa anajiona anajua kila kitu.
Kukaa tu wizara ya UJENZI huwa anajichukulia, ashakuwa ENGINEER kabisa
Acha kuulizauliza, we nenda kajaribu, mbona simple tu!Kwa hiyo hilo joto linaingiaje ndani ya mapafu na kuua hivyo vijidudu?
Kumbe mambumbumbu wa kufukiza ni wengi hivi chuu niyo!!?Mkuu acha ujinga,maji yakiwa na nyuzi joto Mia unadhani mvuke unaotoka hapo una nyuzi joto ngapi? Jaribu kufanya hivyo na huo ujinga wako uone Kama sura haitabadirika.mmekuwa wajinga hadi kupitiliza
Being a man with a simple mind as you are how can you understand a mind of a genious?
Mbona umejibu kitu ambacho sijaandika? Umesoma nilichoandika au umejibu alichosema yeye in general?Magu hakukosea kusema chlorine haina athari kivile dhidi ya corona virus bsli bacteria! Na pia hakukosea kusema pombe yaani alcohol kama methyl alcohol 70 % inakidhi zaidi ya chlorine! Pia hakukosea aliposema kufukiza ni tiba mbadala inayotumia joto la mvuke kupunguza kama sio kuondoa madhara ya mafua!
Kama ni msomaji basi fuata hiyo link! Ukimaliza nitakupa nyingine!
https://www.tandfonline.com/loi/best19
Magu ni kichwa! Watu wenye akili za kushikiwa hamtakuja muelewa!
*NADHANIA* KUANZIA LEO, KILA MTU AVAE MASK, KUVAA MASK IWE LAZIMA UKIWE NDANI YA GARI , NJE, POPOTE PALE, UVAE MASK
GHARAMA ZA MASK ZIWE 1000, maana kale ka 3000 kanakuwa valid for just 4 hours, kwa masaa 12 unatoa 9000
muhimu hii