Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Tulipokosea sana ni pale tulipoamua kuipa taaluma kisogo na kuipa siasa hadhi kubwa.. Sasa maamuzi yote ya kitaaluma yanaamuliwa kisiasa...Ndivyo unavyo weza kufikia uamuzi. Naam, University of Dar es salaam inabidi wajitathimini juu ya ubora wa PhD zao.
Hivi ni kweli hakuna chemicals zinazo ua virus?Fumigation chemicals zinaua bacteria na virus haraka sana.
Changamoto aliyo nayo binadamu kwa hawa corona virus ni pale anapo kuwa ndani ya mwili wa binadamu kwani ni lazima tumuangamize virus bila kuua cells za mwili wa binadamu.
Jana nime shanga mambo mengi sana. Inawezekana kweli?
Kwenye hili tuna athari za sasa za baadae na za muda mrefu
Jr[emoji769]