#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Wandugu, ktk kipindi hiki kwenye maambukizi ya virus vya corona, kumetokea watu wanafanya kila jinsi kujinufaisha kwa kutumia fursa hii! Kuna wengine wanatengeneza vifaa vya kujikinga, wengine tiba mbadala na hata wengine kuagiza vipimio!

Leo ngoja niseme kidogo kuhusu vipimio! Ni kweli upimaji wa maamvukizi ni muhimu na zaidi sana majibu kupatikana kwa wakati! Kipindi hiki kumekuwa na msongamano wa watu kutaka kupima maambukizi! Kwa bahati mbaya idaya ya vipimio na mahitaji ni tofauti sana.

Kuna watu wamekuwa wakipita hospitali zetu za umma wakiwashawishi wakurugenzi kulidhia manunuzi na matumizi ya 'rapid corona test kits' ili kuharakisha upatikanaji wa matokeo ya uchunguzi na pia wigo! Japo kuwa hili inaweza kuonekana zuri machoni pa wengi, nyuma yake kuna matatizo makubwa! Ngoja nieleze mawili tu hapa:

1. Ubora wa kits zenyewe unatia shaka
- waagizaji hawana utaalamu wa kutosha juu ya kits zenyewe...pia njia za 'robbing' wanazotumia zinatia shaka sana

2. Ukweli wa matokeo ya vipimo hivi sio ya kuaminika!
Rapid test kits huwa zina tabia yakuwa na 'sensitivity' ya juu sana na hivyo kupelekea kutoa positive results kwa watu wasio na maambukizi! Hii ni hatari kwani ni njia rahisi ya kuleta taharuki mtaani! Matumizi ya hizo Rapid corona test kits yanapaswa kuangaliwa kwa macho mawilimawili ili kuepusha taharuki huku mtaani! Ngoja niishie hapa kwa sasa!
 
Inasadikika kuna wagonjwa waliokimbia hospitali Azania kwa sababu wamedharau ugonjwa huu kama serikali. Hili ni jambo baya sana katika kujilinda na korona nchi nzima, sie tunaweza kuwekwa karantini nchi nzima na umoja wa mataifa kama tukishindwa kupambana na korona.
 
Tuliona Rais Yahya Jameah aliwahi kusema kuwa ana dawa ya kutibu HIV

Leo tumesikia Raisi wa Madagascar naye kasema ana dawa ya kienyeji inatibu corona

Mimi nakubariana na mengi ambayo raisi Magufuli amekuwa akiyafanya kipindi hiki cha corona ila kuna mambo ambayo jana yamenifanya kutafakari.

Mfano kusema watu wasifungiwe siku 14 iwapo wakipimwa wakakutwa hawana corona, wataalam wanasema dalili za corona zinatofautina baina ya mtu na mtu kutegemea na kinga yake. Kwa wengine inaweza kutokea siku ya pili na kwa wengine inachukua mpaka siku 13.

Kusema kwaamba kupuliza Chlorine hakuui kirusi cha corona? Hapa pia nina shaka maana niliona anajaribu kuchambua field ya utabibu ambayo sina hakika kama anaimudu.

Pia nimegundua kuwa raisi wetu anapenda sana conspiracy theories.

Siungi mkono watu kufungiwa ndani na namuunga mkono,lakini ninadhani hili lingeendana na hatua muhimu naona kama analicukulia hili jambo kawaida. Huenda siku zijazo akasema shule zifunguliwe.

Mara nyingi kinachoponza Afrika muda mwingine ni kutumia pesa nyingi kuwasomesha wataalam na kuwaajiri tukawalipa mishahara mikubwa, halafu utendaji na maamuz yao ya kitaaluma yakaingiliwa na wanasiasa.
 
Ukiwa na confidence kama ya yule mzee hata ukiongea kitu ambacho hujui ni vigumu watu kudhani hujui
 
Yule jamaa huwa anajiona anajua kila kitu.

Kukaa tu wizara ya UJENZI huwa anajichukulia, ashakuwa ENGINEER kabisa
 
Kikubwa ni kujijali wewe mwenyewe na familia yako. Akili za kuambiwa changanya na zako
 
.
IMG_20200423_152401.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujifukive msidharau mawazo na ushauri wa mkuu wa nchi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa mwendo huu nasubiri tuwekewe tunguli tu hospitali.

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Alisema mvuke unao Toka kwenye nyuzi joto Mia it means maji yalio chenshwa mpaka nyuzi joto Mia ule mosh Wake na mbona ni simple tu joto litakua Kali Ila hauto kudhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha ujinga,maji yakiwa na nyuzi joto Mia unadhani mvuke unaotoka hapo una nyuzi joto ngapi? Jaribu kufanya hivyo na huo ujinga wako uone Kama sura haitabadirika.mmekuwa wajinga hadi kupitiliza
 
Wakuu jana tumemsikia mheshimiwa Rais wakati akizungumza na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kule nyumbani kwake Chato kuwa, wizara ya afya itoe takwimu sahihi za idadi ya watu wanaopona ili kuwatolea watu taharuki. Kwa mjibu wa Mh Rais idadi ya waliopona ni zaidi ya watu 100 ilihali wizara ya afya bado inautangazia umma ya kuwa waliopona ni 11 tu.

Wakuu ikumbukwe kuwa mlipuko huu ulizikumba kwa wakati mmoja nchi za ukanda wa Africa mashariki lakini mpaka Jana idadi ya waliopona Kenya walikuwa watu 85, Uganda 51 na Rwanda zaidi ya 100 huku Tanzania waliopona wakiwa ni wachache zaidi miongoni mwa majirani zetu.

Sasa basi wizara itoe data sahihi kama alivyopendekeza Mh Rais, lakini pia wizara ihakikishe inazuia aina yoyote ya tarifa inayoweza kuzua Taharuki , miongoni mwa taarifa hizo kama ile ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam akisema Kuwa watu wanapukutika hii si Sawa.. .

Wakuu tuchapeni kazi huku tukifaata maelekezo yanayotolewa na wataalamu wetu .
Hivi wizara ya afya ndo imesusa kutupatia updates? Anyway hiyo ilikuwa nje ya mada,Je hao wagonjwa 100+ wa Magufuli waliopona,ni miongoni mwa hao 284 au ni nje ya hapo?

Nao walikuwa wanatibiwa kwenye hizi hospital zilizo chini ya wizara ya afya au kahesabu na wale wanaojitibia nyumbani?

Na swali langu la mwisho.Mimi nilitegea wizara ya afya ndo ilitakiwa iwe source ya information anazotoa magufuli,sasa Kama ana alternative source ya information tena anayoiaminj kuliko wizara ya afya.why hajaivunjilia mbali hii wizara?
 
Kuwa na wasiwasi na Barakoda toka nje inatubidi tujiulize maswali mengi. Uzuri tu ni kuwa hizo allegations hazijalenga nchi specifically. Ila kilichotokea Jana ni Sawa na story za kiafrika za fulani anataka kuniloga au jirani ni mchawi. Kwa kawaida Wafrika wengi wakizeeka huwa hawaaminiki wengine. Mawazo yao ni kurogwa tu.

Sasa Hii Tanzania iliyopo Kea msaada toka Enzi za Nyerere, kuanzia bulga, Yanga maarufu kama dona, condoms nk Leo tuje kweli ku question Barakoda...!!? Something somewhere is not right.
Rais wetu Mungu amsaidie,kuingia kitu chochote ndani ya nchi toka nje iwe mask au kitu chochote kinachoweza kuwaletea madhara watanzania tofasri yake ni moja tu.Serikali imeshindwa kazi
 
Back
Top Bottom