Tulipokosea sana ni pale tulipoamua kuipa taaluma kisogo na kuipa siasa hadhi kubwa.. Sasa maamuzi yote ya kitaaluma yanaamuliwa kisiasa...
Kwenye hili tuna athari za sasa za baadae na za muda mrefu

Jr[emoji769]
 
Nyinyi ndiyo sauti ya wasio na sauti Tanzania kwani tunaishi kipindi ambacho hakuna uhuru wa habari (the media is intimidated and therefore dead).

Juzi Mkuu kamwagiza IGP akaze spana mitandaoni Pazeni sauti kwa ajili ya wanyonge. Tuta perish with corona.

Kama Zito ulivyofanya kwenye ishu ya watoto wa shule wenye mimba, ifanye dunia ijue kuwa huku kuna extinction of the "species" inakuja kwa jinsi tunavyo handle corona catastrophe!
 
Kwahiyo hivyo vyama ndo vimebeba uhai wenu? Wewe na wenzako mdai haki zenu, vyama huwa vipo kupigania madaraka
 


Hamna cha kusoma hapo, be serious
 
Retired,
Ni Tanzania pekee duniani ambako wananchi wanawaachia wanasiasa kuleta mageuzi! Kwingine wananchi wenyewe hujipa jukumu hilo, we are cowards.
 
Nashangaa sana wale praise team wanaokuja humu na kuchukulia huu ugonjwa kuwa wa kawaida huku wakidai cases ni ndogo kuliko nchi nyingine.

Swali, je wamepimwa wangapi kujua kama cases ni ndogo? Wenzetu wanapima maelfu ya watu kila siku na kutoa data za uhakika.

Mpaka sasa, waliopimwa hawajafika hata 3% total population. Ila katika iyo 3% tunawagonjwa almost 300. Maana yake ikitokea tukapimwa wote, cases zaweza kufika zaidi 10,000.

Hii kitu sio ya kufanyia mzaha ndugu zangu. Kama Taifa tunatakiwa tuwe kitu kimoja kupambana na hili gonjwa.

Serikali nayo iwe na kauli moja. Sio Rais anasema hivi, kesho anaongea tofauti au watumishi wake wanaongea au kufanya tofauti. Corona ni zaidi ya vita haiangalii chama wala hali ya kiuchumi.

Rais naye achague moja. Kuokoa uchumi au Maisha ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu wakisema serikali ya Tanzania haipo makini katika kuikabili corona tunawabeza ili kujifurahisha nafsi zetu na kujipa matumaini ya uongo

Sasa kama hadi Leo hii raisi wa nchi hajui dawa zinazopulizwa mitaani kuua vijidudu vya corona zimetoka wapi na zina ubora gani maana yake ni kwamba tokea corona imeanza yeye hajawahi kujishughulisha na kuitafuta dawa za aina hiyo

Ili takiwa aseme acheni kupuliza dawa hiyo ubora wake ni mdogo tumieni hii iliyoletwa na serikali lakini kinachoonekana ni kwamba serikali haina hiyo dawa na wala haijawahi agiza hiyo dawa na wala haijui kama dawa ya aina hiyo ipo au haipo duniani

Ndio maana Africa inatabiriwa majanga makubwa yatakayoletwa na corona virus kwamba itafika hatua maiti zitazagaa mitaani



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani wana JF, Naona ingekuwa vyema tukapewa steps za kuzifuata wakati tunapambana na hili likirusi cha Corona. Wengine wamependekeza kujifukiza kwa kutumia miti shamba na wengine wakasema tutumie maji ya moto kwa kuweka chumvi , na weigine wakishauri maji ya moto every after 10 minutes.
Lakini swali langu ni kwamba mtu atumie hivi vitu akiwa kwenye atua gani ya Corona?

Je kama corona ameshakuingia hadi kwenye mapafu stage mbaya unafanyaje?
 
Kikiwo,
Ukiona dalili anza faster ......pia ukiweza jikandike tangawizi ndimu daily na familia ukifika mbali bye bye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…