Chadema wamepuuzwa kila kona DJ hana ushawishi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM Kugawa bure mask kwa wanachama wake - JamiiForums

Jr[emoji769]
 
Kwani Chadema bado ipo? Mbona mlisikika mkisema kuwa Chadema imekufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga kazi huku anayekuambia hivyo yuko huki kajificha na familia yake!Za kuambiwa changanya na zako!Sasa hivi kila mtu anapambana na Corona kimpango wake,mimi familia nimeikimbiza huko kijijini kwa bibi yao!Nimebaki napambana mwenyewe,jiongeze!Kupiga porojo kuinanga CDM haitskusaidia!
 
This monkey's!!!her days are numbered

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
sioni sababu ya watanzania kugombana kuhusu kukaa nyumbani au kuendelea na kazi.
magufuli ameshasema HAKUNA LOCKDOWN..
Sasa uamuzi ni wako KUKAA NDANI AU KUTOKA.

lakini ukianza kuilaumu serikali utakuwa unajiumiza kichwa bure.
Wao ndo wameshasema hivyo.
Utake usitake ndo ishakuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muogope sana mtu anayeombea upatwe na majanga ili tu aseme 'si nilisema'
 
Ilitakiwa na wewe ukimbilie huko kijijini badala ya kutupigia kelele humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ni maoni yake!

hasa akiwaga chakali hupenda kukaa sehemu za Aina hizo na kuanza kutoa kinachotoka mdomoni mwake
 
Yupo sahihi lakini amechelewa kusema maana jamii imeshachukua ushauri wa Rais wetu mpendwa.

corona inaua, nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
 
Lema naye anaotoaga ushauri usio na maana kila mara

Ndio maana serkali inampuuza tu,

Bora kina mbatia wakiongea wanaeleweka
 
Wazee wasioweza kujihudumia huwa wanalelewa katika nyumba za wazee. Huko huwa na vifaa maalum kwa mahitaji yao.

Tangu corona imeingia vifo vingi vya wazee vimetokea. Licha ya wateja bali hata wateja watarajiwa wengi wamekufa.

Biashara ya kulea wazee itaathirika sana baada ya janga kupita. Pia wafanyakazi wengi itabidi wapunguzwe .
 

C
 

Attachments

  • 7e8c66a88440443aad59238b7bbe3ac2.mp4
    1.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…