#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Mitaani kuna mtindo Wa watu kwenda kuchota maji kwenye koki moja nafikiri mmeshanielewa je haikuwa busara kwa kwenye mabomba mitaani kuweka sabuni kabla MTU hajagusa koki?koki zioshwe ziwe safi,maana utakuta Bomba moja wanachota nyumba karibu ilishiriki,ushauri tu ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam Wakuu,

Kutokana na huu Ugonjwa hatari duniani wa Corona, tunaamini kila mmoja ana Mchango wake wa kupambana kuhakikisha huu ugonjwa unatokomezwa. Hivyo tuisaidie Jamii yetu na Serikali

Hii thread iwe Maalum kwa Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19.

Karibuni.

Kwa habari zaidi. soma:

Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga - JamiiForums

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums
Huyu Mkenya ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu CORONAVirus na mbinu/mikakati mbalimbali inayochukuliwa duniani. Msikilize kwa umakini.
 
Habari na poleni kwa mapambano dhidi ya Corona, nasisitiza tuzidi kufata ushauri wa Serikali na wataalamu wa Afya

Ombi au ushauri wangu kwa taasisi na sekta zinazotoa tahadhari kuhusu maambukizi ya gonjwa hili wajaribu kuangalia na kutaadhatisha watu wawe makini na Simu zao za mikononi

Katika kifaa ambacho kama hatutokuwa makini kinaweza kikachochea maambukizi makubwa ni simu za mikononi.

Yaani unaweza kuwafata taratibu zote kama kuna mikono kwa sabuni au sanitizer baada ya hapo ukarudia kuigusa ama kuishika simu ambayo muda mwingine utaipeleka karibu kabisa na midomo ama pua.

Cha kufanya ni waangalie na washauri watu ni kwa namna gani tutaweza kufanya ili simu za mikonini zisiwe kichocheo cha kusambaa kwa Corona iwe kwa kuziosha kwa sanitizer ama kwa namna yoyote watakayo iona itafaa

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia wavuta sigara pia ni rahisi kupata maambukizo ya COVID-19 ikiwa mvutaji atashika sehemu ambayo iko contaminated kisha akashika sigara ambayo pia itapeleka virusi mdomoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alcohol inaweza kuua kirusi ndani ya sekunde 5, basi tukinyunyizia gongo namba one mitaa korofi yote tunaweza kupinguza virus vyote vilivyo mtaani.

Kutengeneza gongo ni kazi rahisi sana hii hatuwezi shindwa mpaka tusubiri wahisani.
 
Ni vema waziri Ummy Mwalimu akawa anatupa up dates za Corona kila siku au kila baada ya saa 24 ili kuyafanya mapambano kuwa hai.

Kadhalika kwa jiji la Dsm RC Makonda angeweka utaratibu madhubuti wa kufuatilia maagizo yote aliyoyatoa ys kudhibiti Covid 19.
Leo nimepanda daladala kutoka Posta hadi Makumbusho nusu ya abiria walikuwa hawajavaa barakoa akiwemo na kondakta.

Viongozi wetu fuatilieni haya mambo kwa karibu, Corona ni janga hatari.

Ramadan kareem!

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwaiyo hawa vinongozi wasipoongea wewe na utu uzima wako unasahau kuwa Corona ipo na inaua mbona haya ni maajabu kwa kweli ina maana sisi mi wewe hatuwezi kujiongoza mpaka ushikiwe fimbo mzee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kutisha watu? Kwa nn waongelee?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unataka kutisha watu? Kwa nn waongelee?

Sent from my iPhone using JamiiForums
F680CD97-98BF-4BA1-A541-25A69374A3A0.jpeg
 
Ni vema waziri Ummy Mwalimu akawa anatupa up dates za Corona kila siku au kila baada ya saa 24 ili kuyafanya mapambano kuwa hai.

Kadhalika kwa jiji la Dsm RC Makonda angeweka utaratibu madhubuti wa kufuatilia maagizo yote aliyoyatoa ys kudhibiti Covid 19.
Leo nimepanda daladala kutoka Posta hadi Makumbusho nusu ya abiria walikuwa hawajavaa barakoa akiwemo na kondakta.

Viongozi wetu fuatilieni haya mambo kwa karibu, Corona ni janga hatari.

Ramadan kareem!

Maendeleo hayana vyama!
Ni Kweli Mkuu

Mamlaka ziwe makini kulazimisha watu wavae barakoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo hawa vinongozi wasipoongea wewe na utu uzima wako unasahau kuwa Corona ipo na inaua mbona haya ni maajabu kwa kweli ina maana sisi mi wewe hatuwezi kujiongoza mpaka ushikiwe fimbo mzee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu tumetofautiana sana bwashee...... ndio maana hata Marekani wanataka kufunguliwa wakati wanakufa kila siku!
 
Ni vema waziri Ummy Mwalimu akawa anatupa up dates za Corona kila siku au kila baada ya saa 24 ili kuyafanya mapambano kuwa hai.

Kadhalika kwa jiji la Dsm RC Makonda angeweka utaratibu madhubuti wa kufuatilia maagizo yote aliyoyatoa ys kudhibiti Covid 19.
Leo nimepanda daladala kutoka Posta hadi Makumbusho nusu ya abiria walikuwa hawajavaa barakoa akiwemo na kondakta.

Viongozi wetu fuatilieni haya mambo kwa karibu, Corona ni janga hatari.

Ramadan kareem!

Maendeleo hayana vyama!
Waziri hawezi kuja kukunawisha mikono kwa sabuni na maji tiririka tutakufa kwa uzembe wetu
 
Back
Top Bottom