Showio
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 254
- 481
Hamna kazi rahisi hapa duniani; hata kama ungeambiwa kazi yako ni kukaa tu, kuna siku utachoka, utatamani usimame ila ndo hutakiwi.
Manurse na madoctor wamekutana na challenge nyingi na wamezizoea ila hii ni challenge kubwa yao na wote tunaona jinsi wanavyopambania maisha yetu japo yao yapo hatarini.
Ukifika wakati unatakiwa usidharau wala usidisi maana wewe sio wao, hujui wanapitia mangapi, wanakosa usingizi mara ngapi, wanachoka kiasi gani ila wanatimiza kiapo cha kulinda Afya zetu basi tusiwaongezee mzigo bali tuwatue mzigo.
Tufate maelekezo ya Madaktari na wataalamu wa afya juu ya kujilinda na corona (covid 19) pia na magonjwa mengine.
#jilinde Na MlindeMwenzio.
#Mkumbushe Mwenzio Anapojisahau
#Tusizarau Bali Tuwe Makini.