#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Hamna kazi rahisi hapa duniani; hata kama ungeambiwa kazi yako ni kukaa tu, kuna siku utachoka, utatamani usimame ila ndo hutakiwi.

Manurse na madoctor wamekutana na challenge nyingi na wamezizoea ila hii ni challenge kubwa yao na wote tunaona jinsi wanavyopambania maisha yetu japo yao yapo hatarini.

Ukifika wakati unatakiwa usidharau wala usidisi maana wewe sio wao, hujui wanapitia mangapi, wanakosa usingizi mara ngapi, wanachoka kiasi gani ila wanatimiza kiapo cha kulinda Afya zetu basi tusiwaongezee mzigo bali tuwatue mzigo.

Tufate maelekezo ya Madaktari na wataalamu wa afya juu ya kujilinda na corona (covid 19) pia na magonjwa mengine.

#jilinde Na MlindeMwenzio.
#Mkumbushe Mwenzio Anapojisahau
#Tusizarau Bali Tuwe Makini.
 
Amna kazi Raisi Hapa Duniani hata kama ungeambiwa kazi yako ni kukaa tu kuna siku utachoka utatamani usimame ila ndo hutakiwi.

Manurse na madoctor wamekutana na challenge nyingi na wamezizoea ila hii ni challenge kubwa yao na wote tunaona jinsi wanavyopambania maisha yetu japo yao yapo hatarini.

Ukifika wakati unatakiwa usizarau wala usidis maana ww sio wao hujui wanapitia mangap, wanakosa usingiz mara ngap, wanachoka kiasi gani ila wanatimiza kiapo cha kulinda Afya zetu basi tusiwaongezee mzigo bali tuwatue mzigo. Tufate maelekezo ya Madaktari na wataalamu wa afya juu ya kujilinda na corona(covid 19) pia na magonjwa mengine.
#jilindeNaMlindeMwenzio.

#MkumbusheMwenzioAnapojisahau
#TusizarauBaliTuweMakini.
 
Ahsante mkuu kwa tahadhari.

Nawa kwa maji yanayotiririka
Vaa barakoa
Tumia sanitizer
Usisahau kujifukiza
Mwisho ukimaliza yote sali sana
 
Je, hizo nchi zimeweza kudhibiti janga hili?

Serikali imetoa maelekezo na wajibu wa kila mtu kuzingatia. Hata ikiamriwa "lockdown" katika hali ya fikra kama zako, bure tu maambukizi yataendelea na watu watakufa kwa hofu, hasira na njaa.
Kweny lockdown je maambukizi yatakwenda kwa speed kama ambayo hakutakuwa na lockdown???

Lengo ni kupunguza idadi ya maambukizi na ndiomana tukasema sisi hatuwezi total lockdown.. Je partial lockdown inatushinda???

Kufunga miji yenye maambukizi mengi kama Zanzibar na dar es salaam Kabla hali haijawa mbaya zaidi imetushinda???

Wenzetu Kenya wanajitahidi..wao wameona total lockdown ni ngumu...lkn wamezuia baadhi ya miji

Leo ni Cku ya nne hapa kwetu hakuna maambukizi lkn taarifa zinadai watu walitoroka amana wakaingia mitaani.. Leo hii Uganda Inasema madereva wetu wanne wamekutwa na corona...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hizo ni wajinga kwa sababu pamoja na uwezo walio nao, ikiwa ni pamoja na kuweka ulinzi, gonjwa linaendelea kuwachachafya.
Mkuu

China walikuwa wajinga?

Swali la kujiuliza hapa kwetu

Je hao waliotumia total lockdown na wanavifaa tiba vya kutosha lkn bado gonjwa limewatesa sisi ni nani lisitutese?

Lkn wao walichelewa kuchukua hatua.. Kwann sisi tumeshindwa kuchukua hatua madhubuti Mapema???

Hali kuwa mbaya hapa kwetu is just a matter of time... Siombei hilo lkn kwa hali ilivyo ndipo tunapoelekea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujanja ni...kukimbia mji tu.

Makonda alihamasisha watu wachukue tahadhari kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kila wakati... lakini baada ya hotuba ya Magu hakuna anaeona umuhimu na hatari ya corona tena.

Kwa sasa maeneo mengi ya Dar es Salaam hususa ni barabara ni Kilwa imepoa sana hakuna magari mengi kama hapo mwanzo kupo kimya zaidi ya Dec. Nimejaribu kuchunguza nikaambiwa wengi wa watu wanakimbilia mikoani ndio kwenye usalama zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kariakoo ile barabara kuu kuelekea gerezani waweza ucheze mpira was miguu
 
Leo weekend Mkuu watu wapo kanisani, wengine wapo kwenye swaumu
 
Hii siyo sawa! watu wanakufa wahusika wanasingizia presha , malaria etc. Kwanini tuna stigmatise civid-19 kama tulivyofanya kwenye HIV-AIDS?

Hili litafanya huu ugonjwa uenee zaidi maana mtu anaogopa kunyanyapaliwa akijitokeza!
 
Mkuu

China walikuwa wajinga?

Swali la kujiuliza hapa kwetu

Je hao waliotumia total lockdown na wanavifaa tiba vya kutosha lkn bado gonjwa limewatesa sisi ni nani lisitutese?

Lkn wao walichelewa kuchukua hatua.. Kwann sisi tumeshindwa kuchukua hatua madhubuti Mapema???

Hali kuwa mbaya hapa kwetu is just a matter of time... Siombei hilo lkn kwa hali ilivyo ndipo tunapoelekea

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina uuhakika 100% Tanzania itavuka salama katika vita ya COVID-19. Ushahidi ni mimi na familia yangu tunachukua kila tahadhari tusiambukizwe. Ikitokea vinginevyo, ambayo haitakuwa hivyo, tutatumia njia mbadala za kumshinda kirusi korona.

WEWE JE?

JILINDE UMLINDE JIRANI.
 
these tanzanians not seriously very stupidly ,
mfano mdogo watu bado wapo kwenye vijiwe vya kucheza draft na kahawa huku wakibishana na kurushiana mate
 
these tanzanians not seriously very stupidly ,
mfano mdogo watu bado wapo kwenye vijiwe vya kucheza draft na kahawa huku wakibishana na kurushiana mate
Yaani, wacha tu. Wakiambukizana wanailaumu Serikali!

Ni umpumbavu na ulofa, kama siyo ujinga, mtu mzima kwenda baa kulewa ukijua huwezi kunywa pombe umevaa barakoa.
 
Statements kama hizo kwa umma wenye uelewa mdogo wa haya magonjwa yaletwayo na microscopic germs which are highly infectious/ contagious ni kosa KUBWA SANA! Watanzania wengi kama 98% nikiwepo na mimi hapa tuna uelewa mdogo wa maambukizi ya magonjwa.
Angeliweza kusema kuwa ugonjwa huu ni hatari, chukua tahadhali so andso.... Lakini pamoja na hayo kama una mitishamba yako ya kujifukiza, jifukize, LAKINI UKITANGULIZA TAHADHALI ZA KITAALAMU TUNAZOPEWA.
Tatizo letu tumechukulia kujifukiza as the cure of corona and hence to most of us disregarding precautionary measures in place as per WHO (of course with some modification to suit our environment).
Take care please!
 
Usijali mkuu, sasa hivi tunaishi kwa kutegemea taarifa za Zanzibar.
 
Back
Top Bottom