Sasa mlitakiwa tutamkiwe na Trump wa Marekani, au huamini kuwa hili gonjwa halina Dawa hebu jikinge kaa chonjo
Tafadhalini kila mtanzania ajipambanie mwenyewe, Mambo ya kumlaumu binadamu mwenzako hata Baba yako na wewe kusubiria dawa kwa janga km haya, matetemeko, vimbunga nk ni bure
Chukua watoto wako UKAJIFUSHE (sio kujifukiza kwa Udi na mavumba) na mvuke wa mu40 au
Epuka kushikana mikono, jifungieni majumbani muogena na kunawa na
Your browser is not able to display this video.

maji mengi
 
Ameweka na Ameweka na Limau?
 
Ameweka na
Ameweka na Limau?
nimesikia na parachichi na sufuria lina majani ya maembe badala ya mu40
sasa ngoja wapone au wajikinge na Corona km hutasikia Trump akaomba mkorogo huo wa familia

🙄🙄🙄
 
nimesikia na parachichi na sufuria lina majani ya maembe badala ya mu40
sasa ngoja wapone au wajikinge na Corona km hutasikia Trump akaomba mkorogo huo wa familia

🙄🙄🙄
Tutapata majibu
 
Nilidhani ni mimi peke yangu namuoa hivyo!
Sasa hivi nafurahia kusoma posts zake! Naishia kucheka tu, yaani namuona kama mjanjamjanja flani hivi! Mpwa wangu Bia yetu big up unanisaidia kupunguza stress. Mie nimejifungia nafanyia kazi home.
 

Attachments

  • IMG_20200427_104211_207.jpg
    193.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…