Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mlitakiwa tutamkiwe na Trump wa Marekani, au huamini kuwa hili gonjwa halina Dawa hebu jikinge kaa chonjoStatements kama hizo kwa umma wenye uelewa mdogo wa haya magonjwa yaletwayo na microscopic germs which are highly infectious/ contagious ni kosa KUBWA SANA! Watanzania wengi kama 98% nikiwepo na mimi hapa tuna uelewa mdogo wa maambukizi ya magonjwa.
Angeliweza kusema kuwa ugonjwa huu ni hatari, chukua tahadhali so andso.... Lakini pamoja na hayo kama una mitishamba yako ya kujifukiza, jifukize, LAKINI UKITANGULIZA TAHADHALI ZA KITAALAMU TUNAZOPEWA.
Tatizo letu tumechukulia kujifukiza as the cure of corona and hence to most of us disregarding precautionary measures in place as per WHO (of course with some modification to suit our environment).
Take care please!
Ameweka na Limau?Sasa mlitakiwa tutamkiwe na Trump wa Marekani, au huamini kuwa hili gonjwa halina Dawa hebu jikinge kaa chonjo
Tafadhalini kila mtanzania ajipambanie mwenyewe, Mambo ya kumlaumu binadamu mwenzako hata Baba yako na wewe kusubiria dawa kwa janga km haya, matetemeko, vimbunga nk ni bure
Chukua watoto wako UKAJIFUSHE (sio kujifukiza kwa Udi na mavumba) na mvuke wa mu40 au
Epuka kushikana mikono, jifungieni majumbani muogena na kunawa na
View attachment 1432651
maji mengi
nimesikia na parachichi na sufuria lina majani ya maembe badala ya mu40Ameweka na
Ameweka na Limau?
Tutapata majibunimesikia na parachichi na sufuria lina majani ya maembe badala ya mu40
sasa ngoja wapone au wajikinge na Corona km hutasikia Trump akaomba mkorogo huo wa familia
🙄🙄🙄
Maambukizi yapo tu. The difference ni kwamba hawatangazi tena.Mkuu mbona tiba ipo vizuri tu
We hauoni hatuna maambukizi mapya mkuu
Tangawizi na limau
Kila nikiona post zako naishia kucheka tuCorona Sio ugonjwa tishio kwa wa Africa sema hofu Ndio iliwatala
Waambie wa south africa ambao wamepoteza raia wengi kwa corona kuliko nchi yotote africa.Corona Sio ugonjwa tishio kwa wa Africa sema hofu Ndio iliwatala
Kwa vile hawatangazi, sawaMkuu mbona tiba ipo vizuri tu
We hauoni hatuna maambukizi mapya mkuu
Tangawizi na limau
na magufuli asingelijificha Chato! Ni kifo kimemkimbiza Dar!Waambie wa south africa ambao wamepoteza raia wengi kwa corona kuliko nchi yotote africa.
Kama ingekuwa sio ugonjwa tishio nchi zisingefunga shule... nyumba za ibada.. au kusitisha shughuli zozote za mikusanyiko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
Kila nikiona post zako naishia kucheka tu
Kwa vile hawatangazi, sawa
You're so funnyKwanini unacheka jamaa angu wa ufipa
Nilidhani ni mimi peke yangu namuoa hivyo!You're so funny
Sasa hivi nafurahia kusoma posts zake! Naishia kucheka tu, yaani namuona kama mjanjamjanja flani hivi! Mpwa wangu Bia yetu big up unanisaidia kupunguza stress. Mie nimejifungia nafanyia kazi home.Nilidhani ni mimi peke yangu namuoa hivyo!