Maambukizi yapo tu. The difference ni kwamba hawatangazi tena.
Tulikuwa na utaratibu wa kutangaza status kila baada ya siku mbili.
Lakin sasa toka rais apige bit. Hata dada umu atangazi tena

Sent using Jamii Forums mobile app

Ummy mbona anatangaza na leo wametangaza msaada wa bilioni za hela...
Ila wagonywa hakuwataja ....sasa kwa nilivoambiwa na wanajamvi wagonjwa wameisha...
Si unaona ile video kina pierre wanakula keki pale amana
 
na magufuli asingelijificha Chato! Ni kifo kimemkimbiza Dar!
Jamani mbona anauguliwa na Mama yake? hivi unaujua uchungu wa Mama, au Mwana?
Urais mbona ni Taasisi tu tena ni ya kupita, Ofisi zipo hazitapita Kikatiba
lkn Mama ni mmoja, achana na mabazazi wasio na huruma au radhi ya Mama
achana na stori za Chato, Ofis ya rais ipo Magogo, Chamwino na wizara zilizo chini ya Ofisi
ila yeye anaweza toa tamko popote hata ndani ya Ndege
Trump akifanya hivyo kwenye Twitter Dunia nzima tunapokea, mbona kwetu hampokei
 
Ummy mbona anatangaza na leo wametangaza msaada wa bilioni za hela...
Ila wagonywa hakuwataja ....sasa kwa nilivoambiwa na wanajamvi wagonjwa wameisha...
Si unaona ile video kina pierre wanakula keki pale amana
Hawa wanaolalamika kuwa huduma Tanzania hazipo sijui wanataka USA au Rwanda, au Uganda au China watuponde
acha wahamie huko
Ugonjwa au Kifo sikia kwa mwezio lkn wangejua Magonjwa ya maambukizi km Tauni, Colerra, vinashambulia kuliko nzige wa njaa yaani vinafyeka Bara kwa bara
 
Ummy mbona anatangaza na leo wametangaza msaada wa bilioni za hela...
Ila wagonywa hakuwataja ....sasa kwa nilivoambiwa na wanajamvi wagonjwa wameisha...
Si unaona ile video kina pierre wanakula keki pale amana
Ametangaza kupokea msaada.
Si kuongezeka kwa wagonjwa.. au kuongezeka waliopona.
Yaan ww unaona video ya pierre unadhani wengine wako hivyo. Be serious man.. huu si wkt wa utani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani, wacha tu. Wakiambukizana wanailaumu Serikali!

Ni umpumbavu na ulofa, kama siyo ujinga, mtu mzima kwenda baa kulewa ukijua huwezi kunywa pombe umevaa barakoa.
Naamini hii ni kwasababu serikali haiweki wazi balaa la corona nchini, siku ya nne sasa hawaja tangaza update zozote juu ya ugonjwa huu.

Kuna mtu alidondoka na kupoteza maisha jana Kariakoo, cha ajabu mpaka leo maiti ilikua imesuswa. Si polisi wala nani aliehangaika kuiokota.

Watu hawachukulii serious.
 
Nimepita katika jiji la Arusha na kukuta raia wake wapo wapo tu kama mifugo hivi, wenye kuonesha kujali japo kwa kuvaa barakoa kwa hesabu za haraka haraka ni 2 kati ya 100.

Nakutana na picha ya mmiliki wa super market moja kongwe ambaye ameaga kwa kooona na aliyekuwa afisa elimu katika jiji hilo, picha zinatrend katika WhatsApp za watu wa Arusha.

Kwa nilivyo ona hali ya Arusha, watapukutika kama mende waliomwagiwa sumu.

Arusha badilikeni, mgeni yupo chumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hawatangazi
Huko naona waziri HK anaongea utumbo tu
Eti tuuzoee ugonjwa....poor mind
Ni sawa na kuwaambia raia kupigana vita gizani, bila tochi wala kibatali.

Nina amini "SERIKALI" yetu inapaswa kushtakiwa mahakamani kwa kuanza kuleta "TAHARUKI" kwa raia juu ya hilo janga la Covid-19. Kukaa kwao kimya ndio kunatutia taharuki raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…