google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
akili za huyu mtu ni za kutilia mashaka sana kwa mambo anayoongea kila mara mbele ya mic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto akichezea wembe mpe!!Mungu mbariki Lema
Tunanunua Wabunge na MadiwaniHakuna msaada ambao serikali ya ccm inaweza kuutoa kwa wananchi kama hauna faida kwao. Ingekuwa ni uchaguzi wangegawa t-shirts, kanga kofia kwa almost watu wote nchi nzima lakini hawawezi kutoa barakoa kwa wananchi wake.
Juzi nilisoma kuwa ventilator ni shs 56 m. Unashangaa serikali inashindwaje kuweka hata kumi kwa kila hospital iliyotengwa kushughulika na wagonjwa wa corona ili watu waweze kupata huduma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakaoumia au kupoteza zaidi ni CCM! Kumejaa wazee na WagonjwaLema amepima lakini?
Kuna tetesi bunge zima liko kwenye karantini!
Tuliyoshangaa tupo wengi bhasi!Hakuna msaada ambao serikali ya ccm inaweza kuutoa kwa wananchi kama hauna faida kwao. Ingekuwa ni uchaguzi wangegawa t-shirts, kanga kofia kwa almost watu wote nchi nzima lakini hawawezi kutoa barakoa kwa wananchi wake.
Juzi nilisoma kuwa ventilator ni shs 56 m. Unashangaa serikali inashindwaje kuweka hata kumi kwa kila hospital iliyotengwa kushughulika na wagonjwa wa corona ili watu waweze kupata huduma.
Sent using Jamii Forums mobile app